Msije kuanza kulialia humu Iskander zikianza kuanguka Kiev!Yule General mliyemsifia Monday yuko wapi mbona harushi tena rocket kama mvua au na yeye ameamua kutumia nguvu 5% ya jeshi lake kama boss[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuliwaambia zile mbwembwe zinaisha Tuesday hutasikia tena wakirushwa maana targets zitakaangwa vibaya
Mji gani,na kama anatumia hayo Magari,mbona majimbo yameenda yote?
Hayo yalioenda Ukraine ilikuwa wapi?majimbo hayajaenda yote bado
Jamaa wameishiwa pumzi..,wako desperate sana. ..,wanachofanya Kwa Sasa ni kuficha aibu ya kipigo anachopokea huko field,majimbo hayajaenda yote bado
Hizo iskander zilikuwa nguvu ya soda tu Ili kuficha aibu ya kipigo na kuwafuhisha bahadhi ya nyumbu hambao bado wanaamini urusi ni super pawer [emoji848]makombora ya rusia kwenda Ukraine yamelenga
shule za kijeshi
barabara za kijeshi
mabembea ya watoto ya kijeshi
vituo vya kulelea watoto yatima wa kijeshi.
vituo vya umeme wa jeshi na
stendi za daladala za kijesh.
SHAME ON RUSSIAN
Kuna pro Russia humu alikuwa anauliza kwamba mbona siku hizi hawaoni Tena video kutoka front line [emoji2]Baada ya kichapo kikali jana jamaa wameamua kuweka silaha chini mwendo wa mateka huko Kherson tazama video wangegima tungewakaanga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bush master kama hizi zilizo geuzwa supuUkraine anatumia Bushmaster gari za vita nyie mnatumia noah na Corolla ndio maana mnakaangwa kirahisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ha ha haaaa!!! General na warussia wenzake ni binadamu wenye Akili na utu!!! Ndiyo maana wanaagaika na NATO wasio na utu, na watawafundisha utu. Tuombe uzima tushuhudie jambo hilo.Jumatatu mlimwagika sana humu hata waliopotea miezi walirudi na mshaanza kupoteana tu General mlimwona mwokozi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanini ukrine asitungue hayo makombora ya urusi?makombora ya rusia kwenda Ukraine yamelenga
shule za kijeshi
barabara za kijeshi
mabembea ya watoto ya kijeshi
vituo vya kulelea watoto yatima wa kijeshi.
vituo vya umeme wa jeshi na
stendi za daladala za kijesh.
SHAME ON RUSSIAN
Katika vitu nilivyofurahia kwako ni usomaji wa vitabu. Ikikupendeza nipe bro in soft, kama hivyo vya global politics, espinoage, warfare, hususan Warfare na espinoage. ThnksWewe dogo kusoma hicho kitabu cha economic hitman juzi ndio unajiona master au sio ?
Hicho kitabu nimekisoma Kabla hujajua hata kusoma au kuandika , nimesoma vitabu tena zile volumes za page 800+ tena vitabu volumes za manguli WA uchambuzi kama akina Noam Chomsky ,sidhani hata kama ulishalisikia hili jina na si utopolo wenu huo WA vitabu vya page 100, vitabu ambavyo nishavisoma nikianza kuvi upload humu unaweza kimbia dogo ,Nina harddrive nzima ya vitabu kuanzia global politics , warfare ,sciences ,history ,economics , espionage ,novels , NK na vyote nishavimsliza na bado kila wiki kuna kitabu nakisoma na kukimaliza ,nyie madogo bado ni weupe mno .
So be humble kid .