Vipi kuhusu makombora ya NATO kule Yugoslavia?makombora ya rusia kwenda Ukraine yamelenga
shule za kijeshi
barabara za kijeshi
mabembea ya watoto ya kijeshi
vituo vya kulelea watoto yatima wa kijeshi.
vituo vya umeme wa jeshi na
stendi za daladala za kijesh.
SHAME ON RUSSIAN
Umeongee mkuu December twenzetu tukahesabiweNikiangalia mwenendo wa hii vita naweza sasa kusema kitu. UKRAINE imekubali kuwa PRACTICAL FIELD, yaan nchi zote zitaenda kujalibia umadhubuti wa silaha zake pale kwa mgongo wa msaada.
Urusi pia anatest kama makombora yake yana accuracy nzuri kwenye shabaha nk.
Urusi mwanzoni kabisa alijaribia kutumia makombora yake mapya na yakafanikiwa na hajayatumia tena, Juzi alitumia silaha za Mionzi kuzima Setelaiti na alifanikiwa na nahisi hatotumia.
USA alituma HIMARS kutest ubora wake ambapo zimempa 50/50 hivyo nadhani wanaingia maabara kuziboresha.
Nchi nyingi wanapeleka drone ili kupima uwezo wake, ili baadae watafute soko la maana.
Hali hii inapelekea USA kutaka kucheleweshwa kwa mzozo huu ilia aendelee kutest ufanisi wa aina mbalimbali za silaha zake
Urusi anapofanikiwa kupiga makombora sehemu zenye Air defense za kutosha ana akafanikiwa basi aina hiyo ya makombora hatumii tena, na ikitokea yametunguliwa mengi basi wanarudi maabara na watakuja nayo tena.
UKRAINE wawe makini sana, tena sana
Bahati nzuri ktk jamii mpo wachache sana wenye kipaji cha kutukana. Kipaji nadra kama wenye Group la damu O-ve.Ungekuwa na Iq ungekuwa unaandika utopolo hapa ? , mbw@ wewe
Kwahiyo ulitaka upigwe wapi? Vita Haina machomakombora ya rusia kwenda Ukraine yamelenga
shule za kijeshi
barabara za kijeshi
mabembea ya watoto ya kijeshi
vituo vya kulelea watoto yatima wa kijeshi.
vituo vya umeme wa jeshi na
stendi za daladala za kijesh.
SHAME ON RUSSIAN
Habar njemamakombora ya rusia kwenda Ukraine yamelenga
shule za kijeshi
barabara za kijeshi
mabembea ya watoto ya kijeshi
vituo vya kulelea watoto yatima wa kijeshi.
vituo vya umeme wa jeshi na
stendi za daladala za kijesh.
SHAME ON RUSSIAN
Mkuu huyo ni Miongoni mwa wale wagonjwa wetu bado hajamaliza dozi muache tu ukimtibua atakunya jukwaani [emoji2960][emoji2960]Bahati nzuri ktk jamii mpo wachache sana wenye kipaji cha kutukana. Kipaji nadra kama wenye Group la damu O-ve.
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2386700
Elon Musk no longer wants to pay for the Internet for the Armed Forces of Ukraine, writes CNN.
"SpaceX satellite services are critically important for the Ukrainian army."
Approximately 20 thousand Starlink devices were donated to Ukraine. It cost SpaceX $80 million and will exceed $100 million by the end of the year.
SpaceX warned the Pentagon in a letter that it could stop funding the service in Ukraine if the US military did not take the costs on itself.
It is difficult to overestimate the impact of Starlink on combat operations. The Ukrainian Armed Forces use it not only for voice and electronic communication, but also for drone control and video transmission to adjust artillery fire.
In July, General Zaluzhny wrote a letter to Musk, praised the "exceptional usefulness" of Starlink and said that the Ukrainian Armed Forces deployed about 4,000 terminals. However, during the fighting, about 500 pieces per month are destroyed. Therefore, he asks for another 8 thousand devices.
SpaceX's demand that the
Wamemminya kidogo huko Angani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Urussi wamemfanya nini Elona??[emoji23][emoji23]
Zikienda hazitakiwi kurudi... Hatari sana