Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Dogo?[emoji16][emoji16] ...mzee usipaniki we are just talking
Ki ukweli nilikiwa sijui kuwa john perkins aliandika hiki kitabu miaka ya 1900s na hapo naanza kuwa na shaka ya kile unachokifahamu inaonekana ni mbobevu sana kwenye elimu ya imagination kwa sababu ume imagine mpaka umri wangu na miaka niliyozaliwa
 
Ni mijadala Tu ,usipaniki .
Cheers
 
Ila wadau hii Ngoma it's not a joke ,itachukua muda Sana Huu mgogoro kuisha
Na kutakuwa na effects mbaya Kwa pande zote (Russia/Ukraine) either kiuchumi au physical loss kubwa ya civilians na infrastructure
 
Kuna wazalendo wamepotea kabisa humu. Ni majukumu, kukosa hoja sababu ya nchi zao kuzidiwa au matusi yamezidi? Itakuwa ni majukumu huwezi shinda humu kuna wakati kazi zinakuita. 🙂 sioni sababu ya kuwatag.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…