Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Ukiona wanakuandama hivyo ujue dawa inawaingia baraabara..,Mnaposema video za kuokota manamaanisha nini wakti zinatumwa na wanajeshi walio frontline
Tunajua hizo video zinavyowaumiza pro Russia.., tulieni tu wakuu,hiyo ndio Hali halisi, urusi ana Hali mbaya..,Hilo halina ubishi..., maana amebanwa kila KonaVunjo jistukie na mavideo yako hayasaidii kutoa picha na MWENENDO ingekuwa round kwenye ring SAWA but for war frontline it's rather funny

Last time i checked usa pia ni mtumiaji wa silaha za nchi nyingineSupa pawa anapokopa vi drones toka Iran...inatia mashaka makubwa..
Bado china anampelekea moto kwenye uchumi.Marekani atapasuka msamba mwaka huu kule North Korea wamelipua roketi huku Iran yupo bize na Nuke akigeuka anakuta Russia anawaua Wanamgambo wa Ukraine na kulipua maghala ya silaha za msaada akitaka kusinzia anakuta Saudi Arabia amegoma kuzalisha mapipa mengi ya mafuta [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] akitaka kukata gogo anaambiwa Nyambizi Hatari ya Russia haionekani tena kwenye rada [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji23] kilichobaki ni kupewa kupigo tuView attachment 2388049
US Believes Iran Nuclear Deal Reboot “Highly Unlikely” – report
White House Middle East coordinator Brett McGurk has said the chances of reviving the 2015 nuclear pact with Iran are “highly unlikely” after months of stop-start negotiations and a war of words between Tehran and Washington, Axios has reported.
A top adviser to President Joe Biden, McGurk reportedly blamed Iran’s indecision for the impasse, claiming it wants the US to “add something to the pot” and alter the terms of the deal, though did not specify what that might entail.
NSC Coordinator for Strategic Communications John Kirby and a French presidency official have both indicated the ball is firmly in Tehran’s court to accept terms after US negotiations were declared complete.
Subscribe to RT
Hili balaa sasa wengine wanasema tunatumia wengine wanasema "aka sisi hatutumiaa kabisaa" everybody run for your liveHii imewakera sana Magharibi na [emoji631]
Macron hana kupepesa macho na ukweli mchungu
Wa kuelewa amuelewe
Iwapo Mrusi atatumia nuclear wao hawatajibu mapigo View attachment 2387270
Wote tunajua hawawezi labda kama watawasimanga wanajeshi wa urusi mpaka wafeWewe ndo unakuwa mgumu kuelewa hata NATO wameweka wazi kwamba iwapo urusi atatumia nyukria wao hawatamjibu kwa kutumia nyukria,Bali walisema iwapo Putin atafanya kitendo hiki basi jeshi lake lililoko Ukraine littaangamizwa..,litaangamizwaje??
Bila shaka majibu watakuwa nayo NATO wenyewe,
Au kama una ushaidi kwamba NATO walisema kwamba wataiadhibu urusi Kwa nyukria,basi uweke hapa
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Very fact walitupatia elimu elimu inatufumbua macho na kuonaView attachment 2388108
[emoji288][emoji635][emoji1099]Chairman of the African Energy Chamber Nj Ayuk-"Europe should not tell us, we resist it, we need a fair and inclusive energy transition…
We need to provide electricity to 600 million people, 900 million people still do not have access to a normal stove to cook food. In Africa, almost 60% of the population does not have access to electricity… We need to build up our partnership with our friends in Russia in order to create sustainable resource exchange chains.… Of course, Russia has a huge potential and experience in this: you are the best in the world at refining and reducing the carbon footprint, implementing infrastructure projects and investing in energy," Chairman of the African Energy Chamber Anjay Ayuk said.
Ayuk believes that the energy crisis in Europe has become a lesson for Africa, showing the need to increase cooperation with Russia.
The art of war hit where it hurts the mostHamna kitu mule mzee wangu...ni sawa na wewe unapigqna na mtu afu anakimbia kuchoma nyuma yako...
Ni wa kusamehe...he is a loser already.
Sio rahisi ila am sure tuta surviveNgano isije kwetu uone kama hatutaishi. Urusi hata ikifutwa kwenye uso wa dunia no one will even care. Tanzania ina ngano, ina mashamba yenye rutuba ya kuzalisha ngano mpaka ya kuuza nje, kama ilivyokuwa NAFCO.
Russia inashinda Vita hii katika maeneo yote: kiuchumi, kijeshi, kijamii na kisaikolojia.....hata kisiasa na kidiplomasia Russia imo mbioni kushinda pamoja na mikwara ya West na vikaragosi wao....multipolar is slowly on the rise.....Tunajua hizo video zinavyowaumiza pro Russia.., tulieni tu wakuu,hiyo ndio Hali halisi, urusi ana Hali mbaya..,Hilo halina ubishi..., maana amebanwa kila Kona
Naweza kukiri kwamba hata marekani pamoja na uwezo wake kijeshi hawezi kupigana vita katika mazingira kama anavyopigana Russia Kwa Sasa na akashinda,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Russia inashinda Vita hii katika maeneo yote: kiuchumi, kijeshi, kijamii na kisaikolojia.....hata kisiasa na kidiplomasia Russia imo mbioni kushinda pamoja na mikwara ya West na vikaragosi wao....multipolar is slowly on the rise.....
View attachment 2388108