Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hipo siku Elon Musk's atakuja kusema msije mkawachukulia poa Russia! Wakiamua kufanya kweli tutashindwa kumzuia!

Space X ime jam huko
Nakupata sana..


Ili kumuelewa Musk you have to read between the lines...
Hii kauli ina ujumbe mzito, ameelezea zaidi Russia kutumia silaha za maangamizi kuiangamiza EU na USA japo kaongezea vice versa kumaanisha hata USA ina weza, Kwanini asingeaanza kusema USA is capable of completely destroying Russia with a nuclear strike in less than half an hour. And vice versa. It's amazing how many people don't know about this..

Hii kauli ina maanisha kwamba Russia wana weza tumia nuclear, hawatanii kama kwao ikiwa threat, kama watu ambavyo hawakuamini Russia kuivamia Ukraine, kauli yake ina maana kwamba Russia haiogopi kuingia vita ya nuclear, ina maana kati ya USA,EU na Russia, Russia ni wepesi zaidi kuingia vita ya nuclear kama ikihitajika na USA na EU ni wazito/waoga kuingia vita ya nuclear hivyo jamaa anatoa tahadhari kwa maana warusi akili zao wanazijua wao.

Kingine anaeleza uwezo wa silaha za maangamizi alizonazo Russia kwamba wasiichukulie poa, na wasijaribu kuivamia kijeshi wakiungana EU na USA, japo kuna vice versa lakini upande mmoja unafifishwa kuliko mwingine kwenye hii kauli.
 
1. What is petrodollar!?

Isijeikawa mnazungumzia vitu viwili tofauti kwa jina moja.

2. Kinachoipa nguvu USD ni nini hasa!? Ni kuwa mafuta yanauzwa kwa dollar au reserves za nchi nyingi ziko kwa dollar!?
 
Hivi kwani mwanajeshi kufia vitani ni ajabu?
Ok basi hao elfu kumi waliofundishwa uingereza hawatakufa.
Nyie pro west hivi hua mnawaza kwa kutumia kiungo Gani?
Ok najua umeleta taarifa kama ilivyoripotiwa.sasa Cha ajabu ni Nini hapo.
Wanakufa makomando sembusi makuruta?
 
Hapo inaenda kijitoa mhanga kwenye BUK ant air
 
Drone imekamata wanajeshi wa Russia wawili wamekumbatiana inaonekana huwa wanafumuana tazama video wamedondoshewa kitu kizito bado wakawa wanakumbatiana


Mapunga WA kirusi , kila siku tunawaambia mapunga wako kila Kona dunia hii , yawezekana hata Putin ni punga , warusi WA kongwa na wavaa kobaz wanakuja na matusi humu
 
Wanajeshi wa Russia waingia Belarus

The first Russian soldiers to take part in a new joint force with Belarusian troops have arrived in Belarus, Minsk’s defense ministry said on Saturday.

“The first convoys of Russian servicemen from the regional force group have arrived in Belarus,” the ministry said, adding that their mission was “exclusively to strengthen the protection and defence of the border.”

Images from the ministry showed soldiers welcomed by women wearing traditional costumes and handing out bread and salt.

Last Monday the leader of Belarus Alexander Lukashenko claimed Ukraine was plotting to attack his…

Continue Reading


News Source: First Russian Soldiers Arrive in Belarus For Joint Force - The Moscow Times
 
Kiev imepata baraka toka Russia baada kupokea makombora ya kutosha

A missile strike seriously damaged a key energy facility in Ukraine’s capital region, the country’s power system operator said Saturday as the Russian military strove to cut water and electricity in populated areas.

Kyiv region Gov. Oleksiy Kuleba said the strike did not kill or wound anyone.

Electricity transmission company Ukrenergo said repair crews were working to restore power but warned residents about possible outages.

Kyrylo Tymoshenko, the deputy head of the Ukrainian president’s office, urged Kyiv area residents and people in three neighboring regions to reduce their energy…

Continue Reading


News Source: Ukraine and Russia work to gain advantage in annexed regions
 
NATO walitarajia Russia wangetumia Drones ambazo zimekuwa manufactured Russia ili wakizikamata wazi study na kuona loopholes zake.

Sasa Russia alichofanya ni kwenda kuchukua drones za Iran [emoji3]

Sorry russia walizitumia mwanzoni kabisa. And yes wakihitahi kuzi study wanaweza zipata with or without ukraine. ni mchezo rahis sana
 
Baba hakuna Cha kasoro wala udhaifu katika jeshi la Urusi.
Jeshi ni imara sana.
Nguvu anayopambana nayo Urusi ni nguvu kubwa mno ambayo hakuna nchi duniani iliwahi kupambana nayo.
Unajua vitani ni kama mchezo mmoja wa hatari hivi,wewe kama jeshi ukipanga hivi ujue wenzako wanatrack au wanadukua mipango Yako,ukienda kujificha sehemu Fulani tayari maadui zako wanazo taarifa zote kwa hiyo wanakutibula,na ndio unashambuliwa na ikibidi unarudi nyuma.

Ukraine kama Ukraine uwezo wa kumsoma ama kumdukua ama kumtrac Urusi Hana,narudia Tena Hana,uwezo huo anasaidiwa na nchi nyingi mno.
Baba usiziharau nchi za NATO ziko juu mno katika ulimwengu wa mawasilaano Ujasusi vita na mambo yote.
Hao ndio wanampa sapoti Ukraine.
Na wao NATO wanajua kabisa bila wao Leo hii Ukraine ingeshakamatwa yote.
Ila hata wao wanaujua mziki wa Urusi maana kwa umoja wao wanashangaa ni jinsi Gani Urusi anavyowamudu.
Baba tumeongea mifano na mifano humu,tumeshachoka kurudia.
Kama Leo hii Ukraine Ingekua inapigwa let say na Iran pamoja na Syria hata na Libya kwa pamoja,NATO wangeingia mazima.
Hofu ya NATO wala sio nyukilia za Urusi TU,Urusi Ina uwezo mkubwa mno kijeshi.
Urusi inaweza kuangamiza satellite za nchi zote za west wanazotegemea ,hii sio technology ndogo hata kidogo.
Kwa mapenzi makubwa walioonyesha west kwa Ukraine Ingekua Ukraine inapigwa na nchi hizo nilizozitaka nadhani NATO wote wangeingia vitani,lkn hawajafanya hivyo kwa Urusi.

Ni kweli Urusi anapata upinzani huko Ukraine lkini sio kwa ubavu wa Ukraine ni ubavu wa NATO TU.

Ndugu yangu naomba nikuambie jambo moja,hakuna nchi duniani tangu kuumbwa kwa Dunia hii iliyowahi kupata misaada ya Hali ya juu ya kijeshi kama inavyopata Ukraine Leo hii.

USA siku zote akipigana wapinzani wake hawakuwahi kupata misaada mikubwa namna hii.
Hivyo huo unaousema ni udhaifu wa Urusi sio udhaifu Bali ni nguvu kubwa anayokutananayo Urusi huko vitani kutoka west

Huu mnaoita udhaifu kwa Marekani upo mwingi TU,sema hamkuweza kuuona.kwa sababu Marekani amekua akipigana vita nyiepes mno,Tena na nchi zisizokua na msaada wowote.
Mfano,Iraq,Libya, Afghanistan,na Somalia.
Hizi ni nchi dhaifu mno kijeshi kwa jeshi la Marekani.
Sasa kwa nchi hizi mnaweza kiwaona kama USA Wana mipango mizuri vitani,lakini si kweli ni kwa sababu wanapiganaga na nchi zenye uwezo mdogo na zisizo na misaada.

Mfano mdogo tu.
Marekani, uingereza na Ufaransa wakishirikiana na waasi waliokua wanampinga Assad wa Syria walitaka kumng'oa Rais Assad wa Syria,lkn Urusi ikishirikiana na Iran walipoinngilia Assad mpaka Leo Yuko madarakani.wakati ilibaki Allepo na Damascus TU Assad atolewe.

Nimechoka mazee.!
 

Typhoon class

Submarine kubwa zaidi duniani Typhoon class nafasi hii imechukuliwa mapema mwaka huu July 2022 na submarine nyingine ya kirusi chini ya Vladimir Putin ijulikakanayo kama belgorod..

Ni nuclear powered submarines yenye tech za kisasa, imebuniwa kufanya full scale nuclear war ni 5th generation submarine, ina uwezo wa kusababisha tsunami baharini, ina kombora(torpedoes) zinakimbia km 130 kwa saa chini ya maji ambazo ni torpedoes za nuclear, hizo kombora ni 100 megaton power, kumbuka Hiroshima na Nagasaki lile bomu lilikuwa ni 20 Kiloton power na lingine 15 Kiloton Power, mpaka leo hii largest nuclear detonation ni 50 Megaton power waliyofanya wa Soviet..

Ni moja ya nyambizi kubwa kabisa duniani na kipekee ambayo haina range limit kutembea baharini, submarine hio imebeba unmanned submersible vehicles ambazo zinafanya uokoaji kwenye vina virefu kabisa vya maji.

Submarine hio ina weza kutumika kufanya research mbali mbali za kisayansi baharini.. Siwezi kumaliza kuielezea uwezo wa hii submarine lakini itoshe kusema tu Russia sio Zimbabwe..



Belgorod
 
kaka tusishabikie watu kufa lakini ukitaka kufahamu Russia ni kweli ile ni Op, Ukraine waanze mashambulizi ya kutuma missile kuelekea Moscow, ni kama miles 500 na kitu kutoka Kyiv hadi Moscow, NATO wana kombora nyingi sana kumpatia ukraine aipige Moscow, wampatie na ndege aruke akafanye mashambulizi Moscow..
Hapo ndipo utajua kuna full scale war na operation..

Hiko ni kitu ambacho Zelensky hatokubali kufanya, mpaka sasa Russia amemega 20% ya Ukraine... nauliza umechukuliwa ardhi asilimia 20, jipange basi ushambulie Moscow.. vitu vingine haihitaji akili nyingi kufikiri.
 
Uko sahihi kabisa.
Na hata vita hii ikiisha ,sioni Tena Marekani ikizionea nchi ndogo,maana Urusi naye ataisapoti nchi hiyo waziwazi kama vile afanyavyo Marekani na NATO Sasa hivi.
Sasa kwa muktadha huu sioni kama Marekani Yuko tayari kupata fedheha. Hii ndio Sasa tunayoiita balance of power.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…