Kama USA na washirika wangetaka vita ya tatu kwa haraka wangemshambulia Urusi moja kwa moja, na Urusi angetaka vita ya tatu kiwepesi angeipiga USA au nchi ya NATO kwa kuisaidia Ukraine. Tunajifunza kuwa Urusi, USA na NATO hawana nia ya dhati ya kuanzisha vita vya tatu labda patokee hitilafu.kaka tusishabikie watu kufa lakini ukitaka kufahamu Russia ni kweli ile ni Op, Ukraine waanze mashambulizi ya kutuma missile kuelekea Moscow, ni kama miles 500 na kitu kutoka Kyiv hadi Moscow, NATO wana kombora nyingi sana kumpatia ukraine aipige Moscow, wampatie na ndege aruke akafanye mashambulizi Moscow..
Hapo ndipo utajua kuna full scale war na operation..
Hiko ni kitu ambacho Zelensky hatokubali kufanya, mpaka sasa Russia amemega 20% ya Ukraine... nauliza umechukuliwa ardhi asilimia 20, jipange basi ushambulie Moscow.. vitu vingine haihitaji akili nyingi kufikiri.
Akikujubu nishutue,NAMI nije nishuhudue.Unajiunga na NATO kwa kuwa Urusi ni dhaifu au kwa kuwa ni strong na unaogopa unaweza kushambuliwa ukakosa msaada?
Kuhusu Idadi whether ni 15 ama 20 ama 25 its okay, inategemea na source. My concern was "Mega" instead of "Kilo" as you know 1 "Mega" equal to 1000 "Kilo"...20 Kt na 15 Kt ni sawa..
Ni kweli, lakini kupeleka mashambulizi ya moja kwa moja kwenye ardhi ya urusi ni kufunua ukurasa mwingine itakuwa haina namna zaidi ya Russia kuikabili Ukraine kabla haijampa damage kubwa... pia ni kitu ambacho hata USA hawezi ishauri Ukraine kufanya hivyo japo uwezo upo kwani katika hiko kipindi hakuna yeyote ambae ataingia kuisaidia Ukraine au uwezo wa kuisaidia.Kama USA na washirika wangetaka vita ya tatu kwa haraka wangemshambulia Urusi moja kwa moja, na Urusi angetaka vita ya tatu kiwepesi angeipiga USA au nchi ya NATO kwa kuisaidia Ukraine. Tunajifunza kuwa Urusi, USA na NATO hawana nia ya dhati ya kuanzisha vita vya tatu labda patokee hitilafu.
Petrodollar ni kitu kimoja Tu na hiyo ni kama tone la bahari , kuna vitu vingi vinavyoendelea kuipa thamani na nguvu pesa ya dollar ($) kuendelea kuwa kama international standard currency ya miamala . Na uzuri umetaja kimoja wapo kwamba ni kwamba central banks zote dunia hii reserves zao ni inform of USD ukiachilia bullions kama gold na silver na hii ilitokana na ule mkutano WA bretton woods ambapo central bankers dunia nzima walikutana ili kutafuta currency ambayo inaweza kutumika kama standard currency kwenye miamala duniani ili kuweka stability katika mifumo ya kifedha duniani hii ndio mkutano ndio ilioipa nguvu dollar kutumika kama inavyotumika mpaka leo hii .1. What is petrodollar!?
Isijeikawa mnazungumzia vitu viwili tofauti kwa jina moja.
2. Kinachoipa nguvu USD ni nini hasa!? Ni kuwa mafuta yanauzwa kwa dollar au reserves za nchi nyingi ziko kwa dollar!?
Lakini hizo tsunami bomb ni 100 Megaton, sio mchezoKuhusu Idadi whether ni 15 ama 20 ama 25 its okay, inategemea na source. My concern was "Mega" instead of "Kilo" as you know 1 "Mega" equal to 1000 "Kilo"...
So ni issue ya Unit sio Value mbele ya Unit. Umenipata sasa jomba?
Asipokuelewa hapa basi atakuwa na tatizo la mtindio wa ubongo [emoji848]Petrodollar ni kitu kimoja Tu na hiyo ni kama tone la bahari , kuna vitu vingi vinavyoendelea kuipa thamani na nguvu pesa ya dollar ($) kuendelea kuwa kama international standard currency ya miamala . Na uzuri umetaja kimoja wapo kwamba ni kwamba central banks zote dunia hii reserves zao ni inform of USD ukiachilia bullions kama gold na silver na hii ilitokana na ule mkutano WA bretton woods ambapo central bankers dunia nzima walikutana ili kutafuta currency ambayo inaweza kutumika kama standard currency kwenye miamala duniani ili kuweka stability katika mifumo ya kifedha duniani hii ndio mkutano ndio ilioipa nguvu dollar kutumika kama inavyotumika mpaka leo hii .
Na kuna sababu why USD dollar ilikuwa selected out of those many currencies , haikuwa voodoo magic au ajali Kwa USD currency kuemerge kama dominant currency mpaka leo .
Sababu moja wapo ni kwamba USD currency ilikuwa backed by gold ( gold standard ) Kwa wachumi Kule USA wanaita hivi ,kinyume na sarafu nyingine ambazo zilikuwa basically ni pieces of paper au fiat currency /currency backed by nothing ,nikiwa na maana kwamba United States central bank ndio ilikuwa ina reserve kubwa zaidi ya dhahabu na dollar 35 zilithaminishwa na ounce 1 ya gold / dhahabu , hivyo kila dollar moja ya kimarekani iliyoexist kwenye mzunguko WA kifedha au kuchapishwa na kuingizwa na central bank ya Marekani ilithaminishwa na kiasi cha ounces kadhaa za dhahabu ambazo zilikuwa Chini ya umiliki WA benki kuu ya Marekani .
Ingawa pia mwaka 1971 Richard Nixon alikuja kuondosha hii gold standard Kwa kutoa sababu kwamba ilikuwa kupambana na international money speculators waliotoshia stability au uthabiti WA sarafu ya dollar ya kimarekani . Na ndio Hilo suala linaloleta mjadala mpaka sasa hata Kwa wachumi na wanasiasa pale Marekani kwamba kitendo cha Richard Nixon kingesababisha watu na nchi nyingine kukosa Imani na sarafu ya kimarekani siku za mbele kwa kuwa kuondoa gold standard kungeifanya USD kuwa kama fiat currencies nyingine ambazo hazijawa backed na anything na hivyo serikali za hizo nchi zinaweza chapisha hizo currencies na kuziweka kwenye mzunguko bila kujali na kusababisha epic inflation na matatizo mengine ya instability katika mifumo ya kifedha nadhani kilichotokea Zimbabwe na Venezuela kila mtu anaelewa ,wale baada ya kubanwa na vikwazo wakaanza kuchapisha pesa kama vichaa na kuziweka kwenye mzunguko inflation na total collapse ya sarafu hizo na uchumi kila mtu nadhani anajua .
Pia kitu kingine muhimu kinachoendelea kuipa dollar nguvu ni Trust ya watumiaji WA dollar ya kimarekani na namba kubwa ya watumia WA USD katika mifumo ya kifedha na miamala hila kusahau mifumo na miundombinu ambayo imeshakuwa established ,mfano hizo visa card ,master card , swift NK ingawa kuna options zake nadhani wachina na warusi wanazo pia versions zao Ila hazijapata trust na ushawishi kuwa na watumiaji wengi so
So conclusion ni kwamba USD itaanguka na kupotea kabisa kama siku moja tutaamka central banks zote /nyingi dunia hii zimedump USd ,pia wananchi na taasisi za kifedha dunia nzima WAache kutumia USd au waloose confidence na USD .Kitu ambacho sidhani kama kitatokea atleast in our lifetime .labda Kwa vitukuu WA vitukuu wetu huko Maana hata hizo nchi za BRICS mfano China ,Russia na wenzake ndio holders wakubwa WA United States treasury bonds / dhamana za hazina ya serikali ya Marekani na hizo dhamana ziko interms of USD kitu ambacho hata wakiamua kuzidump tena Kwa wakati mmoja si rahisi hata kidogo .
Treasury bond ni kama kuikopesha serikali pesa .Sasa central bank of China ni holder mkubwa WA hizo treasury bonds za United States government sasa hawezi kuzidump Kwa wakati mmoja ni kama atakuwa kaloose billions of USD kwenye reserve yake mwenyewe na kuua uchumi wake sasa ni kama kujipiga risasi miguuni mwake na si Chinese central bank anayemiliki hizo treasury bonds za serikali ya Marekani ,ni benki kuu karibia zote dunia hii yanahizo treasuries katika reserve sasa imagine siku waseme wanazidump ,hiyo itakuwa chaos na economic collapse kwenye nchi zao pia .
Na huo ni mfano Tu kukuonyesha jinsi hili jitu linaloitwa US dollar lilivyo kubwa na kutisha . So huu mfumo waliousuka waliangalia probably millennium nzima kabisa ijayo na hizo dynamics zote walishacalculate Kabla hawajasuka Huu mfumo .
So USD bado itaendelea kudominate kama global currency miaka na miaka
100 Megaton ni kubwa mno hebu jaribu kuangalia taarifa mara ya pili. Nakumbuka Tsar ndilo linaukubwa huo. Pekee duniani.Lakini hizo tsunami bomb ni 100 Megaton, sio mchezo
Upo sawa sababu ya mambo mawili. Urusi ana uwezo wa kubadili maisha ya dunia kama tuyajuavyo, na maadui zake wanaweza kufanya hivyo. Kumshambulia moja kwa moja ni kuharakisha hayo.Ni kweli, lakini kupeleka mashambulizi ya moja kwa moja kwenye ardhi ya urusi ni kufunua ukurasa mwingine itakuwa haina namna zaidi ya Russia kuikabili Ukraine kabla haijampa damage kubwa... pia ni kitu ambacho hata USA hawezi ishauri Ukraine kufanya hivyo japo uwezo upo kwani katika hiko kipindi hakuna yeyote ambae ataingia kuisaidia Ukraine au uwezo wa kuisaidia.
[emoji23][emoji16][emoji23][emoji16][emoji23]Hiyo ni uongo buana "Russia nchi masikini katoa wapi strategic bombers kali hivo wakati aliishiwa silaha na chakula mwezi March"
Alisikika Pro-NATO mmoja kutoka Namtumbo ndani ndani huko[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuwa na raia wa Kila nchi sio tiketi ya kunyonga n hi zingine,kuonea nchi zingine,kutawala nchi zingine.USA ni nchi mseto, mule kuna kila aina ya species na akili wanazo za kutosha zinazowaweka kwenye nafasi waliyopo katika dunia ya sasa.
Ukifuatilia nchi za China, Urusi,Iran, Africa(exept for SA kidogo) na nchi nyingine nyingi raia wa taifa jingine nje ya taifa husika ni wa kuhesabu. Ila Marekani wapo kila taifa kuanzia wahindi, warusi mpaka wapare, na bado maombi ya uraia wa huko hayapungui.
@T14 ArmataUJUE RUSSIA ANAWAFINYA KIMYA KIMYA. View attachment 2387706
[emoji845]Elon Musk said that Russia is trying to "kill" the Starlink satellite Internet system in Ukraine, it may stop working, despite the resources invested in its protection.
Uko sahihi, nahisi kuna kitu hatujaelewana.Lakini hizo tsunami bomb ni 100 Megaton, sio mchezo
Yah ni 100 megatons ๐๐๐, halafu sio huko nakozungumzia... Me naongelea Hiroshima kwa kijana "Gay". Lilikuwa la "Kilotons" sio Megatons kama Jamaa angu alivyoteleza bahati mbaya katika kuandika kwake!100 Megaton ni kubwa mno hebu jaribu kuangalia taarifa mara ya pili. Nakumbuka Tsar ndilo linaukubwa huo. Pekee duniani.
Yah!! Nimecheck kweli ni 100 megaton.
Achana na Elon akili zake anazijua mwenyewe,Leo anaandika hiki kesho anageuka[emoji1782] Lithuanian Foreign Minister Gabrielius Landsbergis has pleaded with Western countries to pay Ukraine for Starlink satellite Internet services.
Earlier, Elon Musk demanded that the Pentagon pay him $124 million by the end of the year and $400 million next year for Starlink services operating in Ukraine.
"Let's find a way to create a coalition of allies in Ukraine to pay for Starlink, or let's find an alternative supplier. Lithuania is ready to contribute," Landsbergis tweeted.
[emoji1702] Of course, Vilnius cannot pay for the whole Starlink of Musk to the Khohls, because in order to do that they would have to sell the whole Lithuania. And even pay extra on top of that.[emoji1782]
Atakuelewaaa[emoji22][emoji22][emoji22]Baba jeshi la Urusi ni moja ya majeshi makali sana hata bila nyukilia.
Mnachokiona ukraine Iko hivi;
Urusi inapeleka askari Wachache sana mfano tufanye imepeleka askari 150000 wanapambana na askari wa nchi nzima ya Ukraine,Tena waliofunzwa na NATO kwa miaka zaidi ya minane.
Tufanye Ukraine Ina askari zaidi ya 300000 yaani ni marabili ya askari wa Urusi walioko kwenye op hii.
Ukraine ilikua na silaha nyingi sana za kwake na inazipewa na NATO.
Urusi ulikua inapigana kistaarabu na kiungwana sana yaani haikutumia uwezo wake wote.
Hadi Sasa hivi Ukraine haina silaha zake za zamani,zote zililiwa na Urusi.
Upinzani anaoupata Urusi ni Halili na WA kawaida kwa sababu Ukraine wanapigana wakiwa kwao kujihami na kile wao wanakiita uvamizi kwa hiyo wanapigana kufa na kupona.
Urusi wanafanya op maalum kuondoka kitisho Cha silaha na uwezekano wa kuja kuvamiwa baadae na NATO.hivyo spirit walionayo Ukraine sio walionayo Urusi.
Lkni ikatokea nchi yoyote kuivamia Urusi katika ardhi yake ndo utajua kama Urusi ni Urusi ama ni Urusi ya kinondoni Moscow.
Upinzani anaoutoa Ukraine kwa Urusi ni mkubwa kwa kweli kama nilivyosema ,wao wanapigania nchi yao.Lakini huo uwezo unaouona wa Ukraine ni uwezo wa NATO na nchi zote za west.
Tumeshuhudia michango ya silaha ya kujirudia,hizo silaha walizokua wakipewa mwanzo zinzenda wapi?zinaliwa na moto wa Urusi.
Ukraine wanapewa taarifa zote muhimu za kiintelijensia ya kijeshi na kiraia kutoka nchi zenye uwezo mkubwa mno katika nyanja hizo.
USA,UK,Fr, German,Poland,Canada,Estonia,Lithuania,Italy,Sweden,Denmark,Finland,Turkey,burgaria, Australia,Austria etc.
Taarifa za Kijasusi kijeshi ni muhimu mno,ndio zinaonesha adui Yuko wapi,ana silaha kiasi Gani,umballi Gani,idadi ya askari na hata ushauri I silaha Gani itumike kumpiga.
Ukraine inapewa vifaa vya mawasilia I na njia za kudukua mawasiliano.
Inapewa misaada ya fedha kula kukicha.
Kwa uchache ni hayo.
Sasa.
Hebu fikiria hayo yoote yanafanyika Urusi Iko peke yake inapigana vita peke yake.
Urusi Ina wanajeshi karibu 900,000.
Wengi hawajaingia vitani,wanasubiri kama vita itakua kubwa ama NATO wataingiza majeshi ndio na wao wataingiza.
Kumbuka kwa akili ndogo TU ya kawaida huwezi kupeleka askari wote hodari na muhimu katika vita,unaanza naseto kwanza ,mambo yakizidi kua magumu nawe unaongeza dozi.
Hapa Urusi hawezi kupeleka askari wake wote vitani wala silaha zake zote muhimu vitani kwa kuangalia NATO watafanya Nini.
Ikiwa NATO wataingiza Mazuma nae Urusi ataingiza mazima maana hatutegemei kua na vita zaidi ya NATO na Urusi.
Huwezi kuweka mayai yote mazuri kwenye kapu moja.
Urusi sio nchi nyepesi Braza.
Mimi nimekuelewa. Nimecheck kwenye Nukemap mzee ni hatari. Usiombe ukutwe na 100 megaton.Yah ni 100 megatons ๐๐๐, halafu sio huko nakozungumzia... Me naongelea Hiroshima kwa kijana "Gay". Lilikiwa la "Kilotons" sio Megatons kama Jamaa angu alivyoteleza bahati mbaya katika kuandika kwake!
West ni watu dhaifu sana.Drones za Iran zinazidi kuleta shida...
Baada ya drones za Iran kuua magaidi ya Ukraine, EU Foreign Ministers wanapanga kukutana wiki ijayo jumatatu kujadiliana namna ya kuiwekea vikwazo Iran.
Je, wakishaweka hivyo vikwazo ndio drones zitaacha kuwaua...?
View attachment 2388153