Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Si mnatuambia marekani ana mafuta mbona ananunua kwa wengine?, Hata wewe siku moja kutumia jembe la jirani haitamaanisha huna jembe, hayo ni mambo ya ujirani mwemaSuper Power kaenda omba missiles toka Iran maana zake zimeisha au zakaribia isha
Drone kapewa, sasa kaomba na makombora kabisa
Sawa, ila ni suala la muda tu...Mambo yameanza huko Donbass
Sawa, ila ni suala la muda tu...Mambo yameanza huko Donbass
Ufunuo wa Yohana 13 (Biblia Takatifu)Mkuu mimi siwezi kuwapa moyo NATO kwa kuwa nawajua.NATO mkuu ni agents na minions wa NWO ambao wanatumiwa na Shetani ili awatawale Wanadamu na Dunia badala ya Mungu.Kama hujui mkuu,hii Vita ni kati ya the forces of darkness and light yaani Mungu.Sasa Mimi nikijua yote hayo,nitai-support vipi NATO,haiwezekani kabisa.Mimi ni mtoto wa nuru,sio mtoto wa giza.
USa atabweka Kama mbwa Koko hawezi kushinda hi Vita.Ufunuo wa Yohana 13 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹¹ Kisha nikaona mnyama mwingine, akipanda juu kutoka katika nchi; naye alikuwa na pembe mbili mfano wa Mwana-Kondoo, akanena kama joka.
¹² Naye atumia uwezo wote wa mnyama yule wa kwanza mbele yake. Naye aifanya dunia na wote wakaao ndani yake wamsujudie mnyama wa kwanza, ambaye jeraha lake la mauti lilipona.
¹³ Naye afanya ishara kubwa, hata kufanya moto kushuka kutoka mbinguni uje juu ya nchi mbele ya wanadamu.
¹⁴ Naye awakosesha wale wakaao juu ya nchi, kwa ishara zile alizopewa kuzifanya mbele ya huyo mnyama, akiwaambia wakaao juu ya nchi kumfanyia sanamu yule mnyama, aliyekuwa na jeraha la upanga naye akaishi.
¹⁵ Akapewa kutia pumzi katika ile sanamu ya mnyama, hata ile sanamu ya mnyama inene, na kuwafanya hao wote wasioisujudu sanamu ya mnyama wauawe.
¹⁶ Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao;
¹⁷ tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.
¹⁸ Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.
WHAT IF USA AKASHINDA HII VITA?
DUNIA IJIANDAE KUINGIA KWENYE MAJIRA MAPYA YA STYLE YA MAISHA NA IMANI, NA STYLE MPYA YA UCHUMI?
mimi naona iran kapewa fursa for free kutest vitu zake, sasa kwa ushirikiano huo, huono iran itakua ndio point man wa urusi huko middle east? usikute ata russia kaficha vichwa kadhaa za nuclear huko iran. usiniue na maneno is just a mere thought-thanksSuper Power kaenda omba missiles toka Iran maana zake zimeisha au zakaribia isha
Drone kapewa, sasa kaomba na makombora kabisa
Kwani tatizo liko wapi?! Huyo uncle Sam hajawahi kuomba msaada huko Libya, Afghanistan, Iraq etc?!?!Super Power kaenda omba missiles toka Iran maana zake zimeisha au zakaribia isha
Drone kapewa, sasa kaomba na makombora kabisa
Huenda hata marekani kaficha vichwa kadhaa vya nyukria huko ukraine.., maana rais zelensiky anaonekana kujiamini sana[emoji848][emoji848]mimi naona iran kapewa fursa for free kutest vitu zake, sasa kwa ushirikiano huo, huono iran itakua ndio point man wa urusi huko middle east? usikute ata russia kaficha vichwa kadhaa za nuclear huko iran. usiniue na maneno is just a mere thought-thanks
Wangenyoosha mikono juu still bado wangekuwa na 20% za ardhi yao zilizokwishachukuliwa mpk sasa. Unampongeza zelensky kwa kipi!? Kwa kumuonesha urusi kwamba 'siku nyingine ukitaka kuvamia mwingine tegemea upinzani'. Is that worthy of Everything Ukraine has lost until now!?
1. Crimea imeenda hawawezi kuirudisha tena
2. Donbass imeenda na nyongeza ya kherson na zaporozhie.
3. Hawatojiunga tena nato
4. Jeshi limekuwa crippled
5. Raia wamekimbia nchi
6. Miundombinu imeharibika
7. Uchumi wa nchi umekufa
8. Nchi imejiingiza kwenye madeni lukuki
All this in the name of 'kesho akitaka kuvamia mwingine atafikiria mara mbili'. Ok
Tangu mwanzo wa vita nchi kadhaa zimetoa wito kwa raia wake waondoke huko Ukraine.., hivyo hakuna jipya [emoji848]Kipigo kinachokuja mtawahurumia Ukraine,kuna nchi zimeshaanza kuhamisha watu wake
Acha kupiga ramli Wanamgambo wenzako wa Ukraine wanapasuka kila siku Russia anakazi kuchimba shimo moja watu 100Kherson kurudi kabla ya Winter