Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
😄😄 Hio inaitwa 'Nobody can stop reggae'😁😁😁 Askari wao wananifurahisha sana na raia wao hawaogopi
Hata mimi baada ya kufikia hatuabhii kama wewe nikaamua kuachana na kufuatilia hili suala.Naweza kutafuta updates hata baada ya mawikinkadhaa kupita ndio naingia kwenye huu uzi kujua nini ni nin..Vita imekuwa haieleweki, sio rahisi kujua nini propaganda nini ukweli, nani anapiga nani anapigika!!! Kama Russia angekuwa anatembeza kichapo cha kweli kweli hata hizo tunazodai ni propaganda zisingefanya kazi.
Natamani Russia ashinde lakini haeleweki anapigana kwa style gani hadi kutoeleweka lengo lake nini. Amezidiwa au hataki madhara makubwa kwa Ukraine? Haileti maana kabisa.
My prayer for Russia and the whole world against American bully.
Watu wa dizaini yako Wana ugonjwa wa kupenda OUTPUT badala ya PROCESS.Hata mimi baada ya kufikia hatuabhii kama wewe nikaamua kuachana na kufuatilia hili suala.Naweza kutafuta updates hata baada ya mawikinkadhaa kupita ndio naingia kwenye huu uzi kujua nini ni nin..
Wasikilie baridi wao si jeuri 😁😁😄😄 Hio inaitwa 'Nobody can stop reggae'
Na Tanzania watu wakiandama inakuwaje? Hao lege lege askari lege lege raia pia mdebewedo lazima waende kimdebwedo debwedo angalia hata askari wanavyorusha virungu kama wamevaa pampersHuo sio utawala wa ayatollah..,raia wako huru kujimwaga