Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Naunga mkono hoja MKUU Sasa natamka rasmi ya kwamba “kama usalama wa Russia, au kama ili Russia iendelee kutamalaki duniani” itahitaji nchi nzima ya Ukraine kuangamizwa.

Bas nimetoa baraka Zangu kabisa NA IANGAMIZWE UKRAINE KWA USALAMA WA RUSSIA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This afternoon there will be a meeting of the Russian Security Council with the participation of Putin. Medvedev will make a presentation. They will also discuss the migration situation in the country.
After the meeting of the Security Council, a meeting of the Federation Council will be held.

Some important decisions are expected to be announced today.
 
Kila nikitaka kuandika nafuta nyie pro nato mnashida pahala sio bure.
 
Vita unapiganiwa kwenye ardhi ya Ukraine ambayo imejaa watu (wanawake, vijana na watoto) wa Ukraine, majumba, viwanda, wanyama na miundombinu mbalimbali mali ya Ukraine. maSwali hapo ni

1. je, mabomu ya Ukraine and allies yanaporushwa huko Donensk kuwafurusha warusi huwa yanaua askari wa Urusi tu na kuwaacha wenyeji wakiwa salama usalimini?
2. Je, raia wa Ukraine wanapouawa na mabomu ya askari wao ni vibaya askari wa Urusi na wakazi wengine kuwazika ili kuepusha harufu na magonjwa ya mlipuko kutokea kutokana na mizoga?
3. Je, ni kwamna gani watu watakavyoweza kutambua ni mtu gani ameuawa na silaha ya adui au ya jeshi lao wenyewe kwenye uwanja wa vita?

4. Wale waliofukuliwa kule Butcha ni nani kawaua?
 
Ukraine ikianza kuuwa mateka, haitakuwa na utofauti na Russia.
 
Some Western sources write about the unusual activity in October of heavy transport aircraft at the Iranian Yazd airport. So allegedly on one day only, on October 6, there were 9 Il-76 flights from there and, among other things. One of the large underground missile bases of the Aerospace Force of the Islamic Revolutionary Guard Corps is allegedly located in the Yazd area.
 
Uzuri mrusi anawafukia na ID pamoja na namba na anaweka record pia!Kama huna ID anakupachika namba!
Hakuna muda wa kuwazika mmoja mmoja kwani huko ni Frontline na mapambano yanaendelea!
Hilo sijakataa mkuu.., point yangu ni kwamba siku zote mnajifanya watakatifu sana kwamba mnatetea udhalim unaofanywa na NATO pamoja na west kwa ujumla..,tukijaribu kuwaambia nyie ndo mashetani wakubwa mnakuja juu..,Sasa kwa hizi coments zako unajidhihilisha mwenyewe kwamba wewe na pro Russia wenzio mnashabikia matendo ya kishetani, hivyo Wacha tu zelensiky awapelekee moto,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Taratibu kamanda anaanza kuukubali mziki..aliingia kwa mbwembe zote,alidhani anaenda kupambana na wale wavaa vipedo kule Syria,[emoji28][emoji28][emoji28][emoji16]

LEO NALETA MADE IN RUSSIA aircraft. Nataka watu wajue Urusi siyo ka nchi kadogo. Hapa naleta Civil AirCraft.
Tupo pamoja?
Orodha ya kampuni zinazotengeneza ndege:-
1. Beriev
2. Ilyushin
3. Voronezh Aircraft Production Association
4. Irkut Corporation
5. Mikoyan
6. okol
7. Sukho
8. Tupolev
9. Yakovlev
10. Aviastar-SP
11. Kazan Aircraft Production Association

Sasa nitaanza kuwaonesha moja baada ya kampuni jingine products zao.
 
Zimefanya nn ukraine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…