Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Muda ni mwalimu mzuri,mkipewa habari ya kujifariji basi mnatambaa nayo hata Miezi 6!Kwasasa mnafagiwa kama nzi huko kherson na ndiko mlikojaa!
Mtapigwa katafunua,hamtaamini!
We jamaa kingan'ganizi kweli..,bado hujaamini kwamba urusi anatembezewa mkong'oto hatari Huko kheson..,na uzuri ni kwamba mara hii hata ikiamua kuzika hata watu laki tatu kwenye kaburi Moja poa tu , maana atakuwa amezika watu wake mwenyewe hambao kwa mujibu wa urusi hao watu walifanya referendum Ili wawe sehemu ya Russia [emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Muda ni mwalimu mzuri,mkipewa habari ya kujifariji basi mnatambaa nayo hata Miezi 6!Kwasasa mnafagiwa kama nzi huko kherson na ndiko mlikojaa!
Mtapigwa katafunua,hamtaamini!
Kamanda wenu mliyemsifia kama katili kaukubali mziki wa Ukraine..,wewe mrusi wa namtumbo bado unakaza unakaza msuli.
Tuliwaambia wazi kwamba hayo mashambulizi ya drones huko Kyiv ni Kwa ajili ya kuficha aibu ya kichapo anachotembezewa super pawer wa mchongo huko front line [emoji2][emoji2957]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Yani we umejiunga JF 2022 alaf unamwambia alie jiunga JF 2014 kuwa yeye ndo kajiunga juzi?
Acha kukariri maisha we dogo watu tupo humu tokea 2008 huko wakati unanuka maziwa , usione ID mpya ukadhani unajadiliana na mtoto mwenzako , show respect
 

Long live Vladimir Putin
Long live Russias,
Long live Africans.
Long live bwana utam [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzee Acha ubishi WA kindezi unaelewa Maana ya forensic investigation ? , unafikiri hao watu wanafanya kazi Kwa mazoea au kupiga ramli ?,unafikiri war criminality incidences huwa zinakuwa detected vipi ?, maiti 200+ in a single mass grave na watu wote ni civilians with bullets wounds na signs za torture ,watu wamefungwa tapes na kamba mikono na miguu na kuzikwa ,nyuso nyingine zimetobolewa macho , wengine wameminywa sehemu za Siri , watoto wadogo kabisa na wazee wengi Wana majeraha ya risasi nyuma ya vichwa , hizo si clear evidences kabisa za deliberately and planned execution ? ,ni bomb gani Hilo toka jeshi la Ukraine linalofunga raia miguu na mikono na kuwapa majeraha za risasi na majeraha ya mateso miilini ? we sijui unaongea utumbo gani hapa ,zile ni lab test ,autopsy na kila kitu kinachunguzwa , we unadhani mtu akiuawa na kuzikwa ndio haiwezi kujulikana nini sababu ya kifo chake .
Arguments zako zote ni weak ,Putin na genge lake ni war criminals and they will soon pay up the price
 
💢The French Ambassador to Kiev says Zelensky is not in Kiev, not running thigs, and has resigned in protest.

"I do not know what we are supporting here. (President) Zelensky is not even here anymore."

This is because Ukrainian affairs are being managed now wholly by the Atlanticists from Warsaw, Poland.

@NewResistance

 
Hawataki video wanasema editing [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni kwanini uongeze uzalishaji kufidia shortage kwenye supply wakati unaweza kupata the same amount even more kwa kuuza kidogo kwa bei juu!?

Hakuna upumbavu wala ujinga ni swala la capitalism. Profit first!
Hujaelewa hoja unakimbilia kujibu utumbo Tu ,unajua hata market dynamics zinavyofanya kazi ? kama price IPO juu na production cost ni constant na IPO Chini wakati demand imerise why production usiiongeze na kuwa kubwa ,hizo nchi za North and West Africa contribution take kwenye world oil and gas exportation bado ni ndogo kulinganisha na hizo nchi za Saudia na Arabian gulf
We huoni umuhimu WA kuongeza production capacity ili pole pole nao waweze kudominate soko siku za mbeleni ?
 
⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine (19 October 2022)

Part 2 (read Part 1)

❗️ The Kiev regime continues its provocations aimed at creating a possible technological disaster at Zaporozhye Nuclear Power Plant.

◽️ Today, around 4.00 am, the enemy, with forces of up to two companies, made another attempt to land troops on the left bank of the Kakhovka Reservoir and seize the territory of the nuclear power plant.

◽️ For the landing, the enemy involved 37 motor boats and cutters (12 heavy and 25 light types) with AFU servicemen.

💥 The Russian troops took active actions when guarding the outer perimeter of the Zaporozhye Nuclear Power Plant to neutralise the enemy’s landing troops.

◽️ The losses of the Ukrainian Armed Forces amounted to more than 90 Ukrainian personnel and 14 motor boats. The rest of landing group were scattered by artillery fire in the water area of the Kakhovka Reservoir.

💥 In addition, in 24 hours, the AFU artillery fired 13 shells at the northern outskirts of Energodar and the territory adjacent to the nuclear power plant.

◽️ The strikes were carried out from the area close to Marganets, Dnepropetrovsk region, controlled by the Armed Forces of Ukraine.

◽️ The hostile firepower has been neutralised by Russian artillery’s counter-attack.

⚠️ There are no casualties and destruction at the station. The radiation environment remains normal.

#MoD #TopNews #Russia #Ukraine
@mod_russia_en
 
❗️Israel Will Not Supply Weapons To Ukraine

Defense Minister Benny Gantz said Israel will not supply weapons to Ukraine, despite Kiev raising the issue.

“I am the Defense Minister and I am responsible for Israeli weapon exports. I want to make it clear that we will not be selling weapons to Ukraine,” Gantz told a local radio station.

The official’s comments follow intense scrutiny from Moscow in response to Kiev pleading for Israel’s weapons. Deputy Security Council Head and Former President Dmitry Medvedev said it could potentially ruin the country’s relations with Russia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…