Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Putin na genge lake ni magaidi ,Hawana tofauti na Alqaida au ISIS walikuwa wanakata vichwa vya watu pale middle East , unawezaie ua vitoto vidogo ,wazee ,wanawake with such impunity
Ndio maana yule dikiteta anaishia kwenye andaki kama nguchiro.., maana damu za watu zinamlilia,[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Rudieni kushambulia Tena miundombinu ya Russia,mtapimiwa Mara 1000 zaidi!
Mimi nimeisikiliza interview yake....hakuna mahali amekubali kile mnachoita muziki wa Ukraine....nyie ndio mnaomlisha kauli hiyo...you are quoting him out of context...alichosema ni kuwa NATO na cronies wao kwa maana the Nazis in Ukraine wamekusanya majeshi eneo la Kherson na kwamba the situation is tense...
 
From Khokhols


Hayo maneno juu yako translated hivi

"The lights went out in some areas of Kiev, according to preliminary data, this is not related to the arrivals!"

Sasa angalieni hizo reactions za kwenye post [emoji23]. Wanaongopeana hadi basi.

Of course nothing arrived. Kiev's air conditioners, washing machines, lawnmowers and chainsaws all spontaneously detonated. Slava Cocaine...
 
Du aisee! Urusi miamba kweli!
Anaebisha kua Urusi inashughulika na NATO wote kwa pamoja, huyo ana degedege.!
 
Brainwashed ndilo linalotutesa sana hatuna free thinking. Kwamba huoni zile drone zinavyodance kwenye anga la mashoga Kiev kabla hazijashambulia kwa ukali! Na tuliaminishwa kuna mitambo ya shoga mkuu marekani zinalinda anga la shoga mdogo Kiev
Mkuu, ukiona mbele ya macho yako "anga la washoga" labda umwone daktari? Nina hofu kidogo kwa afya yako... Ukiweza kupoa labda tafakari: nilisema juu kwamba droni zinafaa kutisha watu raia... Zile za Iran haziwezi kulengwa vizuri na hapa tunaona picha hizi za mashimo makubwa barabarani, kwenye njiapanda au kwenye nyumba za watu ambako haziharibu mfumo wa umeme lakini zinaumiza na kutisha.
Ila bado namsubiri yule atakayenionyesha athira ya droni hizo kwa maendeleo katika mapigano... Ilhali droni zinaleta kelele na ifo kadhaa kwenye miji ya Ukraine, nasikia pia kwamba Warusi wameanza kuondoa ofisi zao huko Kherson. SIjui anga la aina gani huko
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Russian Navy Fires Missiles at Ukrainian Command Centers

The Russian Ministry of Defense has released footage of ship-fired long range missiles being launched at Ukrainian command centers and energy infrastructure.

Subscribe to RT
 
Nyie jamaa hamjielewi na mnaandika uongo humu ,Kwani kuna NATO troops zinazopigana on the ground hapo Ukraine ? , mbona mnajiaibisha hivyo , Majeshi ya Ukraine ndio yapo kwenye battle field ,NAto wao wanasupport trainings za wanajeshi WA Ukraine zinazofanyika pale Poland ,UK na USA pia kusupply military hardware basi ,yaani NATO wawe na military boots on the ground mngekuwa mnaongelea vita sasa hivi ? ,Hivi mnajua NATo ni nini kweli ninyi au mnaandika Tu kujifurahisha hapa ?
 
ukiona wakuu wanaitisha vikao vya dharula na kuweka vikwazo kwa iran, ujue machozi mingi nyuma ya pazia, kuhusu evidence itakuwa vingumu sana cause labda ukraine wenyewe watoe hizo video na picha kitu ambacho usitegemee kifanyike kisiue morale ya wapiganaji
hayo mashimo mingi unaona ingine imechimbwa na anti missiles zikikosa sambaha lazima kuna mahali zinaanguka. so ukraine will always show you what they want you you see or hear. He who controls the media controls you
 
UK Blackouts on Cold Evenings Predicted - National Grid Chief

British households can expect to see blackouts between 16:00 and 19:00 on cold weekday evenings in January and February if gas imports are reduced, according to National Grid boss John Pettigrew.

Loose warnings of possible blackouts were given earlier this month, with the likelihood of shortages increasing due to sanctions on Russian gas exports, which fed the UKโ€™s European suppliers.

The UK gets 40% of its power from gas-powered stations, with gas heating the majority of households.

Subscribe to RT
 
Daah! kweli elimu yetu imeshuka!! Hebu tuambie ni nani ameteua jopo la kufanya uchunguzi ule, wanatoka nchi gani na nani amegharamia uchunguzi ule na report inapitia process zipi hadi inakwenda hewani? UN kwenye mgogoro huu iko upande gani? Nani anatoa fedha za kugharamia operations za UN na yuko upande upi wa mgogoro huu?

Elimu yetu iandikwe upya na waandishi msisahau kuongeza somo la critical thinking na problem solving kwenye mitaala yote kuanzia shule za chekechea.
 
Kala Kona ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ziende zile shaed kama 50 kupiga Kiev huu uovu usienee popote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ