LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
wewe utakuwa umeathiriwa na video za propaganda . Katika majeshi ya ardhin marekani ndio ya hovyo walikalishwa na talban hapa islamic state wamarekani wameshakaa alafu ukraine sio taifa dogo hapo ulaya ukiitoa ufaransa hakuna wa kuipiga ukrain kumbuka ni russians community
 
Kama wanaweza kupambana na Russia mbona wanakimbilia vikwazo na sio kupeleka jeshi kupambana??

Huoni mpaka Zeleweskyy ameanza kuiponda NATO na US kwa kuingia mitini wakati ndio walimjaza kichwa??
 
Urusi marubani wake wengine wanaendesha ndege wakiwa wamevaa makoti ya kiraia i think hawana sare za angani wala oxygen masks kwenda juu zaidi maana uko medium range air defence systems za Ukraine zitawaona. Na wanataka wakiangushwa wasiwe na sare za jeshi, najaribu kutafuta sababu. Ila flying wanakuwa vulnerable dhidi ya MANPADS, ndio maana wanajitahidi kushambulia usiku zaidi.

Alafu Urusi hawatumii precision guided munitions kila wakishambulia ni mwendo wa dumb bombs ambazo zina error probability kubwa ila zina gharama ndogo. Kuna marubani wawili nimeona wamebeba karatasi zenye coordinates yani ndege zao za zamani kina Su-25 hazina kompyuta za kuweza kuchakata target mpaka rubani afanye calculations manually.

Urusi hata mawasiliano mazuri kwenye field hawana wako blindfolded. Spetnaz naona hawajatumika sana ila VDV wameshiriki hasa kwenye kuchukua airbases karibuni na Kyev na wamepigwa kama wengine wakati ni special force ya angani.
 
Hizi ni Opinions, ni vizuri zikawepo.
But not facts.....
 
Ha ha ha ndo maana nikakwambia hizo ni propaganda utakuta rubani ana helment ya piki piki
 
Jana raisi wa Ukraine aliwapiga vijembe NATO kuwa ni dhahifu na waoga kisa wamegoma kulifunga anga la Ukraine sasa mkuu kama wana uwezo wa kukilinda kwa nn wanaililia nato ilinde anga lako?

Leo waziri wa Ulinzi wa Ukraine amesema eti wamesha tungua ndege 88 za Urusi je kwa maoni yako ni kweli?

Mm kwa maoni yangu mm naona njia aliyo tumia Russia ya kufanya Ambush kwenye miji mingi kwa wakati mmoja ndio imempunguzia makali.

Wasinge wahi kwenda Kiev wange ipiga miji ya mashariki kwanza.

Ila miji mingi kwa sasa wame fanikiwa kuizingira.

Mm siwezi kuhiukumu Urusi kwa sasa hasa ukizingatia hakuna taifa lolote kwenye karne ya 21 ambalo limeweza kupigana vita na taifa lingine likashinda ndani ya siku 10 kama mnavyo razimisha Urusi ifanye.
Kwa maana dunia imebadilika sana.


Lakini pia kingine ninacho kiona hata Urusi ikifanikiwa kuiteka Ukraine haitaweza kuitawala maana raia hawawataki naye ataishia kukimbia kama Marekani nchini Afghanistan.


Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Hizi ni Opinions, ni vizuri zikawepo.
But not facts.....
Umeongea vizuri. Opinions zangu zimehishimiwe kama ambavyo tuliheshimu opinions za waliosema Urusi itaitwaa Ukraine ndani ya siku tatu, zikapita ikaja report wanadai ya siri ilisema serikali ya Urusi inataka hii operation iishe kabla ya tarehe 2 mwezi huu nayo imeisha.

Si vizuri tukaheshimu tu, tukubali au tupinge kwa hoja
 
Muda wowote kuanzia sasa urusi inaweza kuuteka mji 4 kwa ukubwa wakati huo huo baada ya coca cola kusema hawafanyi biashara warusi wameanza kumwaga soda hizo chooniView attachment 2140724
Naomba kuuliza hapa coca wanakataa Fanya biashara urusi je ikitokea urusi akaanzisha kampuni ya soda yenye radha sawa na coca na akaiita jina la coca atakuwa kafanya kosa
 
Kuniambia Marubani wa Russia hawana Uniform or hawavai Uniform za jeshi kwangu ni tatizo tayari hilo......
Mie wote niliowaona wanavaa nguo za blue, sijui hao wasio na Uniform.
 
Ukraine sio mwanachama wa NATO usijiulize maswali ya wazi na majibu makubwa yapo. Ukisikia nchi imewekewa No Fly Zone maana yake aliyeweka hiyo anakuja kuhakikisha kama imetekelezwa. NATO hapo atatakiwa arushe ndege zake angani kushambulia ndege za Russia na ikibidi ashambulie airbases zinazotumika kurusha ndege hizo.

Achana na kumsikiliza Zelenskiy anayejiliza na mwenye deko sana, hili deko sijui kwa kuwa Myahudi anapenda kulazimisha mambo yaliyopo. Ukraine kila siku anapewa 'non-lethal weapons' kwa sababu hawataki ugomvi uamie kwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…