Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wewe dogo kizazi cha BRN shule za kata failure pimbi wewe Una guts za kudoubt elimu yangu wewe low IQ scumbag ? Unaongelea suala la uchunguzi Kwani walipopata hayo maafa si WA Ukraine ? ,Unauliza funds ,Una akili wewe ? , Yaani nchi kama Ukraine haina funds na technical know how ya kufanya indebth forensic investigation ? Au unafikiri Ukraine ni kama failed states kama Tz sio ?
Na isitoshe International criminal court wameshatuma investigators wao na uchunguzi imefanyika kwenye hizo incidences zote imebsinika Russian thugs walifanya mass execution of unarmed civilians hapo Bucha na Lyman
Sikiliza we dogo, Mimi huwa sina muda WA kujadiliana na mataahira kama wewe kama huwezi kujibu hoja nakupa onyo , unapoona comments zangu kaa mbali ,usisogeze pua zako , umesikia ? .
Kama Una akili utapitia hapa, unafikiri tunaposema Putin ni war criminal mnadhani tunaoongea out of no where , mxieew

International criminal court wameshadipatch investigators na wamefanya utafiti kuhusu war crimes Halafu nyie mijusi mnapinga ,

EU walichangia 7.5million £ Kwa investigators

Na ICC investigators wanamalizia kucompile evidences na report ,soon Wana release official report ya war crimes na perpetrators in public.
 
Dah madogo washaanza kuwa mbolea​

Killed in 2 days in the warzone. 24yo Yaroslav Bulaev: • mobilised on 29 September • in Crimea on 6 October • killed in Ukraine on 8 October The aunt says that in the army he was mostly marching. He fired five times and blanks only. And here he was immediately sent to a front.

10:54 AM · Oct 20, 2022·Twitter Web App

41
Retweets

4
Quote Tweets

274

2

Warusi WA mchambawima na madongo kuinuka mupoooooo , nankipondo kiendelee , Kherson referendum my ass ,
Kherson will fall back into Ukraine forces in its entirety by the end of this week .
The next mission ni Crimea ,mtsisoma namba this time around , na kuna mashine zinaingia mzigoni soon

Rusheni tena hayo mavyuma chakavu yenu ya enzi za USSR . Battle front ni kipondo Tu kinatembezwa
 
Mzee unaifitilia hii operation vizuri kweli? By end of this week au sio ! Hii evacuation ya Civilians hapo Kherson unajua kinachofuata nini kwenye hiyo combat zone baada ya martial law leo usiku??
Ndugu, yanayokuja imebidi India na nchi zingine ziondoe wananchi wake, hali sio nzuri kabisa
 
Sasa wao si wababe ,na mnatupigia kelele kila na kumobilise wanywa gongo, wafungwa ,majobless na makomando uchwara toka Russia in millions kuja kupambana na Ukraine ? Wasogezeni sasa hao misukule wenu hapo Kherson wapakwe mafuta
 
Mzee Putin ni smart sana katika escalation, kama unapenda kujifunza utajifunza smartness ya jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…