kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Zinapiga kazi wakati mnatembezewa kipondo front line mpaka kamanda wenu analalamika kwamba apigani na Ukraine Bali anapigana na NATO??Mkuu,
Kwa jinsi hizi drones za Kamikaze zinavyopiga kazi... je wewe unazizungumziaje?
Martial law ya buza , majitu yanapelekewa moto huko ye kakalia martial lawHahahaha hivi hizo taratibu hazikamiliki tu[emoji23][emoji23][emoji23]. Kwahiyo Kwa akili yako unadhani hiyo martial law itabadili kitu?! Kama special forces ndo wanatandikwa na kukimbia unadhani hiyo martial law ndo itabadili uelekeo wa Vita?![emoji23][emoji23][emoji23]
Kila Mtu abaki kwake[emoji23][emoji23][emoji23]
Finland is expected to build a fence along its 830-mile land border with Russia to keep out illegal immigrants should Moscow try to flood the country with asylum seekers
Yajayo yanafurahisha [emoji23]
Natamani kuona warusi wa kwa mpalange..,watakuja na excuse gani Tena baada ya kutembezewa kichapo kikali na kukimbia kheson [emoji16][emoji16]Kuna bwana mkubwa anaondika kherson
Finland haitaki wakimbizi toka shithole countries kama RussiaA little too late! In Finland, Russian is the third language based on population. Ni kwamba hawana jeuri ya kubadilisha hali kwa sasa.
Wafanyabiashara wa kirusi wamewekeza kwenye sekta muhimu sana Ufini na warusi ni wengi mno Ufini.
Kujenga uzio hakutasaidia maana kama ni kupenyeza majasusi, tayari wamejaa mitaani hakuna kupona Urusi ikiamua. But Urusi haina hata nia na haikusudii kuivamia Ufini toka mwanzo, ni ujinga tu wa Sanna Marin na Sauli Ninistö unaleta misuguano.
Hahaaaa[emoji38][emoji38][emoji38]Hiyo martial law ni kiinimacho tu Ili kuficha aibu ya kichapo anachotembezewa..,ni kama Yale Yale ya referendum, hakuna mabadiliko yoyote [emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hakuna kitu Russia anafanya US hajafanya. Bad enough Us alipofanya wanaojiita International community na international organisation walikaa kimya. So wakifunua tu mdomo, Russia anavuta file na kuwataka wakae kimya kama wanavyofanya Kila wakati!Nakumbuka tukio la ICC kutaka kwenda Afrighanstan kufanya uchunguzi juu ya mauaji yaliyofanywa na Marekan, pia ilibidi waingia US kwenda kuwachukua maelezo wanajeshi wa marekan ambao walikuwa Afrighanstan! Marekan waligoma na kufikia kuwafutia VISA waendesha mashtaka lakini yote ili kuzuia ICC isifanye uchunguzi
Drone za iran zimekuwa tishio kwa sasa kwenye uwanja wa vita. kila kukicha zinafanya mashamulizi kwenye miji ya Ukraine
Dogo nishamwambia uwe unakaa pembeni ukiona comments zangu zinazoongelea analytical issues kubwa kama hizi .Huna akili ya kujibizana na Mimi kwenye mambo makubwa kama haya ,kajadili Simba na Yanga hukoHivi mwenye akili kweli anaweza akatumia neno use.g. kwenye mijadala?!! I don't think so...
Finland haitaki wakimbizi toka shithole countries kama Russia
Ukiwa mpuuzi hata mawazo ya wenye akili utayaona upuuzi tu..,ndio maana hata kichaa anawaona wale wenye akili timamu kwamba hao ndio vichaaHua naogopa kujibizana, hususani nikiwa na uhakika na ninachokisema hivyo naamua kukaa kimya au kupuuzia upuuzi.
UN imekuwa toothless baada ya kukubaliana na vitendo viovu afanyavyo US na Israel.Hakuna kitu Russia anafanya US hajafanya. Bad enough Us alipofanya wanaojiita International community na international organisation walikaa kimya. So wakifunua tu mdomo, Russia anavuta file na kuwataka wakae kimya kama wanavyofanya Kila wakati!
Mzee kuwa makini na kitu kinaitwa "disinformation" na "deformation" yaani macho komchuzi mkono kwaubwabwa. Kama hali ingekuwa inawaendea vizuri Ukraine usingeyasikia malalamiko dhidi ya Iran hata kidogo.Drone za iran zimekuwa tishio kwa sasa kwenye uwanja wa vita. kila kukicha zinafanya mashamulizi kwenye miji ya Ukraine
Hakuna lolote na mtaendelea kuchinjwa mpaka hao wanywa gongo na wafungwa waishe ,Ukraine ni slaughter house , there will be a bloodbath hapo Kherson , na Azov wamepewa order to shoot on sight Kwa deserter yeyote atakayejaribu kutoroka mapambano from now onwards , sasa hivi russians Wana kazi nzito mno wanapokutana na Ukrainians Maana wanapigwa na kuchakaa yaani ni retreat no surrender ni kufight untill death hapo kwenye battle front .Hamna mwanajeshi WA Ukraine anayerugusiwa kuretreat ndio order iliyotolewa .Mzee unaifitilia hii operation vizuri kweli? By end of this week au sio ! Hii evacuation ya Civilians hapo Kherson unajua kinachofuata nini kwenye hiyo combat zone baada ya martial law leo usiku??
Ndugu, yanayokuja imebidi India na nchi zingine ziondoe wananchi wake, hali sio nzuri kabisa
Tanzania ilivamiwa na Uganda chini ya utawala wa Idi Amin mwaka 1978. Kagera ilikuwa annexed. Mimi kama mTZ it's natural ku side na Ukraine kwenye vita yake na Russia kwa sababu Ukraine inapitia the same thing TZ ilipitia na Uganda. Watz logical hawawezi kumshangilia Putin.
@umshanaAbout 40% of Ukraine's energy infrastructure has been damaged by Russian strikes, Ukrainian authorities have said.
Ukrenergo warned the population that power outages lasting up to four hours are expected throughout the country to save money.
Ukija kumuona huyo fashsti Putin akiwa kizimbani nafikiri hapo ndipo utazinduka na kuyakana haya mashudu uliyoandika [emoji116][emoji116][emoji116]Amin wa uganda yeye alipokula tu ugali na kushiba basi akaona anaweza akafanya lolote na asitokee yeyote wa kumzuia, kuna mataifa wakamhakikishia support (kama tu UKRAINE alivyohakikishiwa support) basi bwana Amin akaukwaa mtimbwi wa vibwengo [emoji23][emoji23][emoji23].
By the way mie sikua nimezaliwa kipindi hicho,ila nasikiaga tu kua Mwalimu alitamka maneno matatu tu ya kwamba NIA YA KUMPIGA AMINI TUNAYO, SABABU PIA TUNAZO, na kubwa kuliko vyote UWEZO TUNAO.
kilichofuatia hapo ni kama kwa PUTIN tu, Mobilization moja ya kibabe sana na wanaume wakatinga rasmi mzigoni [emoji23][emoji23][emoji23] matokeo yake jamaa aliishi uhamishoni mpaka anarejea kwa MUUMBA
Idi Amin hatofautiani kabisa na USA,EU na NATO yao
Yapo makubaliano yaliwekwa baina ya NATO na iliyokua USSR kipindi kile East German inaunganishwa na West German.
Ya kwamba kwa upande wa Mashariki, mpaka wa NATO hautakiwi kuvuka ulipo mpaka wa East Germany, na USA iliahidi bila kushurutishwa na mtu ya kwamba haingeongezeka hata sentimita moja.
Kilichofuata baada ya hapo USSR ikavunjika mataifa kama Poland, lithuani, estoni,latvia nk yakatangaza uhuru,kwa kiburi kikubwa kabisa USA na EU wakayashawishi mataifa hayo kujiunga na NATO, hawakuridhika wakachokonoa na kule kosovo, wakaona bado wakamjaza upepo na Georgia,wakaona haitoshi wakataka mpaka na UKRAINE nayo waichukue [emoji23][emoji23][emoji23] Na wao wameukwaa mtumbwi wa vibwengo.
Mwamba PUTIN ni kama Nyerere tu, yeye kaanza na Special Military Operation, then partial Mobilization (anaiondolea UKRAINE Jeshi). Hapo anawatamanisha NATO ili waingie kingi , wakijaa tu [emoji2957][emoji2957]. DUNIA ITAANDIKA HISTORIA MPYA.