The realy Ngosha
JF-Expert Member
- Apr 22, 2013
- 340
- 530
Matamshi haya ya kamanda ni moja kati ya mbinu za kivita ili mtakayoyasikia na kuyaona yasiwashangaze watu. Wakati Urusi inaivamia Ukraine ilifahamu kabisa kuwa haitapigana na Ukraine peke yake; alikuwa na taarifa zote muhimu, hivyo alijiandaa. NATO mpaka kufikia sasa umeshindwa kumuondoa Urusi Cremia, Luhanski, na kwingineko sio tu kwa kupenda ila uwezo mdogo wa kufanya hivyo dhidi ya Putin.
Wanalia na Iran kutuma kamikaze na kuwaacha wanaotuma HIMARS, upuuzi mtupu. dunia imechanganyikiwa.
Amin wa uganda yeye alipokula tu ugali na kushiba basi akaona anaweza akafanya lolote na asitokee yeyote wa kumzuia, kuna mataifa wakamhakikishia support (kama tu UKRAINE alivyohakikishiwa support) basi bwana Amin akaukwaa mtimbwi wa vibwengo [emoji23][emoji23][emoji23].
By the way mie sikua nimezaliwa kipindi hicho,ila nasikiaga tu kua Mwalimu alitamka maneno matatu tu ya kwamba NIA YA KUMPIGA AMINI TUNAYO, SABABU PIA TUNAZO, na kubwa kuliko vyote UWEZO TUNAO.
kilichofuatia hapo ni kama kwa PUTIN tu, Mobilization moja ya kibabe sana na wanaume wakatinga rasmi mzigoni [emoji23][emoji23][emoji23] matokeo yake jamaa aliishi uhamishoni mpaka anarejea kwa MUUMBA
Idi Amin hatofautiani kabisa na USA,EU na NATO yao
Yapo makubaliano yaliwekwa baina ya NATO na iliyokua USSR kipindi kile East German inaunganishwa na West German.
Ya kwamba kwa upande wa Mashariki, mpaka wa NATO hautakiwi kuvuka ulipo mpaka wa East Germany, na USA iliahidi bila kushurutishwa na mtu ya kwamba haingeongezeka hata sentimita moja.
Kilichofuata baada ya hapo USSR ikavunjika mataifa kama Poland, lithuani, estoni,latvia nk yakatangaza uhuru,kwa kiburi kikubwa kabisa USA na EU wakayashawishi mataifa hayo kujiunga na NATO, hawakuridhika wakachokonoa na kule kosovo, wakaona bado wakamjaza upepo na Georgia,wakaona haitoshi wakataka mpaka na UKRAINE nayo waichukue [emoji23][emoji23][emoji23] Na wao wameukwaa mtumbwi wa vibwengo.
Mwamba PUTIN ni kama Nyerere tu, yeye kaanza na Special Military Operation, then partial Mobilization (anaiondolea UKRAINE Jeshi). Hapo anawatamanisha NATO ili waingie kingi , wakijaa tu [emoji2957][emoji2957]. DUNIA ITAANDIKA HISTORIA MPYA.
We pigana mitandaoni na endelea kuamini UKRAINE wanaipiga URUSI ila wenzako wanateketea huko.Hakuna lolote na mtaendelea kuchinjwa mpaka hao wanywa gongo na wafungwa waishe ,Ukraine ni slaughter house , there will be a bloodbath hapo Kherson , na Azov wamepewa order to shoot on sight Kwa deserter yeyote atakayejaribu kutoroka mapambano from now onwards , sasa hivi russians Wana kazi nzito mno wanapokutana na Ukrainians Maana wanapigwa na kuchakaa yaani ni retreat no surrender ni kufight untill death hapo kwenye battle front .Hamna mwanajeshi WA Ukraine anayerugusiwa kuretreat ndio order iliyotolewa .
[emoji16][emoji23][emoji16][emoji116]View attachment 2392537
Si ndio hapoUlimwengu uko overpopulated, sehemu chache sana kama Russia ndio kuna depopulation.
Covid ilianzia kwa Wachina ambao ni marafiki wa Russia.
Wewe dogo kizazi cha BRN shule za kata failure pimbi wewe Una guts za kudoubt elimu yangu wewe low IQ scumbag ? Unaongelea suala la uchunguzi Kwani walipopata hayo maafa si WA Ukraine ? ,Unauliza funds ,Una akili wewe ? , Yaani nchi kama Ukraine haina funds na technical know how ya kufanya indebth forensic investigation ? Au unafikiri Ukraine ni kama failed states kama Tz sio ?
Na isitoshe International criminal court wameshatuma investigators wao na uchunguzi imefanyika kwenye hizo incidences zote imebsinika Russian thugs walifanya mass execution of unarmed civilians hapo Bucha na Lyman
Sikiliza we dogo, Mimi huwa sina muda WA kujadiliana na mataahira kama wewe kama huwezi kujibu hoja nakupa onyo , unapoona comments zangu kaa mbali ,usisogeze pua zako , umesikia ? .
Kama Una akili utapitia hapa, unafikiri tunaposema Putin ni war criminal mnadhani tunaoongea out of no where , mxieew
What is a war crime and could Putin be prosecuted over Ukraine?
The ICC wants President Vladimir Putin arrested for war crimes, but South Africa may not cooperate.www.bbc.com
War Crimes by Russia’s Forces in Ukraine - United States Department of State
Based on information currently available, the U.S. government assesses that members of Russia’s forces have committed war crimes in Ukraine. We will continue to share information with allies and partners, and pursue accountability.www.state.gov
Deformation ni nini mkuu?Mzee kuwa makini na kitu kinaitwa "disinformation" na "deformation" yaani macho komchuzi mkono kwaubwabwa. Kama hali ingekuwa inawaendea vizuri Ukraine usingeyasikia malalamiko dhidi ya Iran hata kidogo.
Kule kwetu utumbo mali sanaa maana waliwa kwa ndiziUmeandika utumbo mtupu baada ya kusikiliza story tu za vilaza katika vijiwe vya kawaha.
Na sasa yupo anajipanga kuivamia Haiti wakaeneze demokrasia yao pendwa.UN imekuwa toothless baada ya kukubaliana na vitendo viovu afanyavyo US na Israel.
Sasa hivi inakuwa ngumu kunyoosha kidole.
Wakileta story za uvamizi, wanaambiwa mbona US alivamia Iraq kwa false pretenses, je mmemfanya Nini au mmemuwajibisha vipi?
Israel nao wamevamia na kukalia ardhi ya Palestine ki nguvu, je UN wamefanya Nini?
Je, UN wamefanya Nini kwa US dhidi ya war crimes alizofanya huko Afghanistan + Iraq ... Wanaishia kukaa kimya.
UN ni taasisi ya kinafiki sana.
Hata Russia martial law haitaki , tutaona diapers zikidondokaHakuna lolote na mtaendelea kuchinjwa mpaka hao wanywa gongo na wafungwa waishe ,Ukraine ni slaughter house , there will be a bloodbath hapo Kherson , na Azov wamepewa order to shoot on sight Kwa deserter yeyote atakayejaribu kutoroka mapambano from now onwards , sasa hivi russians Wana kazi nzito mno wanapokutana na Ukrainians Maana wanapigwa na kuchakaa yaani ni retreat no surrender ni kufight untill death hapo kwenye battle front .Hamna mwanajeshi WA Ukraine anayerugusiwa kuretreat ndio order iliyotolewa .
Vocabulary ya Putin hiyo.Deformation ni nini mkuu?
Sioni u smartness wa mzee Putin. Kwa ujirani alionao na Ukraine Ange icontain bila kurusha risasi.Mzee Putin ni smart sana katika escalation, kama unapenda kujifunza utajifunza smartness ya jamaa.
What do you expect if you write Rubbish?I didn't expect something different from someone like you! Very sorry indeed.
Mimi Liz Truss namuita a Zombie Primeminister.I believe the NWO Cabal is pulling the strings from behind the scenes to destabilize the UK for their evil agendae.View attachment 2392283
[emoji298][emoji298][emoji298]
Liz Truss is trying to convince Parliament that she is still capable of working as Prime Minister of Great Britain:
"I'm a fighter! I'm not a coward!"
In response, the parliamentarians buzz disapprovingly, realizing that she could not stay in her chair for a long time.
Mkuu hivi niamini kwamba hujui Ukraine is just being used as a proxy,but Putin is actually fighting the US,NATO and all other Western nations except Hungary?Amka mkuu.Sioni u smartness wa mzee Putin. Kwa ujirani alionao na Ukraine Ange icontain bila kurusha risasi.
Si kwa gharama ya damu nyingi kiasi kile.Mkuu hivi niamini kwamba hujui Ukraine is just being used as a proxy,but Putin is actually fighting the US,NATO and all other Western nations except Hungary?Amka mkuu.
Kenge mweusi wewe, unatisha watu hii JF ya baba yako? Unalazimisha kila mtu aamini ule upuuzi wa Bucha, wewe hujui uongo na propaganda ni sehemu ya vita?Wewe dogo kizazi cha BRN shule za kata failure pimbi wewe Una guts za kudoubt elimu yangu wewe low IQ scumbag ? Unaongelea suala la uchunguzi Kwani walipopata hayo maafa si WA Ukraine ? ,Unauliza funds ,Una akili wewe ? , Yaani nchi kama Ukraine haina funds na technical know how ya kufanya indebth forensic investigation ? Au unafikiri Ukraine ni kama failed states kama Tz sio ?
Na isitoshe International criminal court wameshatuma investigators wao na uchunguzi imefanyika kwenye hizo incidences zote imebsinika Russian thugs walifanya mass execution of unarmed civilians hapo Bucha na Lyman
Sikiliza we dogo, Mimi huwa sina muda WA kujadiliana na mataahira kama wewe kama huwezi kujibu hoja nakupa onyo , unapoona comments zangu kaa mbali ,usisogeze pua zako , umesikia ? .
Kama Una akili utapitia hapa, unafikiri tunaposema Putin ni war criminal mnadhani tunaoongea out of no where , mxieew
What is a war crime and could Putin be prosecuted over Ukraine?
The ICC wants President Vladimir Putin arrested for war crimes, but South Africa may not cooperate.www.bbc.com
War Crimes by Russia’s Forces in Ukraine - United States Department of State
Based on information currently available, the U.S. government assesses that members of Russia’s forces have committed war crimes in Ukraine. We will continue to share information with allies and partners, and pursue accountability.www.state.gov