Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Gazeti la Marekani la New York Times linadai, likirejelea vyanzo vya habari vya Magharibi na Israel, kwamba Urusi imehamisha sehemu kubwa ya kikosi chake cha Syria na mifumo ya makombora ya kupambana na ndege ya S-300 kutoka Syria hadi Ukraine.

Wanadiplomasia wawili wa nchi za Magharibi na afisa mmoja mkuu wa kijeshi wa Israel waliliambia gazeti hilo, kwa sharti la kutotajwa jina, kwamba Urusi imeondoa vikosi viwili kutoka Syria, ambao ni hadi wanajeshi 1,600.

Lakini jarida hilo linaona muhimu zaidi ni kwamba Urusi inasemekana kupeleka mifumo hiyo ya kutungua ndege Ukraine. "Hofu kwamba S-300 inaweza kutumika dhidi ya ndege za Israeli imekuwa sababu kuu kwa nini Israeli hadi sasa imekataa ombi la Ukraine la silaha," gazeti hilo liliandika.

Ripoti ambazo hazijathibitishwa rasmi kwamba Urusi inahamisha au inajiandaa kuhamisha sehemu ya kikosi chake cha Syria hadi Ukraine zilionekana mara kwa mara wakati wa vita, angalau mwezi Mei na Septemba.
 
Do you really believe the New York Times mkuu.Waandishi wao wa habari wanafundishwa kudanganya as part of their duty,never believe them.Look at this 👇reality.
 

Attachments

  • IMG-20220318-WA0000.jpg
    76.9 KB · Views: 22
propaganda western media, it may be true or untrue, partial true or total wrong. dig out more.
 
Hayo unayosema yangekuwa kweli mambo kama haya hapo chini usingeyasikia:
 
Duh
 
Basa, basi basi mkuu.
 
Kuhusu Kherson ni kelele tu hakuna cha maana UKr wamekipata mpka sasa hv.

Hiyo evacuation inafanyika kwa lengo la kupunguza civilian casualties. Unaambiwa NATOUKr wamekusanya jeshi la kutosha kwenda kufanya mashambulizi huko. Urusi anaondoa watu wake ili kama kupigane wapigane vzr.

My guess km kweli taarifa za intelligence za urusi kuhusu massive couner offense inatarajiwa kufanyika kherson basi hiyo itaamua muelekeo wa hii vita. Atayeshindwa hapo atashindwa moja kwa moja vita nzima
 
⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine (20 October 2022)

The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation.

💥 The Armed Forces of the Russian Federation continued launching attacks with high-precision long-range air-based armament at the military control and energy system facilities of Ukraine.

◽️ All the assigned targets have been neutralised.

💥 Concentrated fire of Russian troops have resulted in frustrating the attempts made by units of the Armed Forces of Ukraine (AFU) to cross Zherebets River near Nadiya, Stelmakhovka, Makeyevka (Lugansk People's Republic) and Yampolovka (Donetsk People's Republic) at Krasny Liman direction.

◽️ The enemy has been driven back to initial positions by fire attacks launched by Russian artillery and army aviation.

◽️ Over 40 Ukrainian personnel, 2 armoured fighting vehicles and 3 pickups have been eliminated.

💥 Up to 3 AFU battalions, including 1 armoured, attempted to break the defence of Russian troops towards Novaya Kamenka–Chervony Yar (Kherson region).

◽️ The enemy succeeded in wedging into the defence of Russian units near Sukhanovo (Kherson region).

◽️ Russian command that involved armoured reserve forces and organised ambush operation that caused considerable casualties among enemy units and made Ukrainian units to escape disorderly.

◽️ The positions along the frontline have been completely recovered.

◽️ Over 200 Ukrainian personnel, 14 tanks, 16 armoured fighting vehicles and 7 motor vehicles have been eliminated at the abovementioned direction.

◽️ 3 tanks, 1 infantry fighting vehicle and 1 UR-77 mine action system have been captured as trophies.

◽️ 18 Ukrainian personnel have surrendered.

💥 Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery have neutralised 3 AFU command posts near Dvurechnoye, Glushkovka (Kharkov region), Lyubimovka (Kherson region), as well as 72 artillery units at their firing position, manpower and military hardware in 179 concentration areas.

◽️ Moreover, 5 AFU provisional bases have been destroyed near Kramatorsk, Seversk, Kirovsk (Donetsk People's Republic), Novaya Kamenka and Pyatikhatki (Kherson region).

◽️ 4 munitions depots have been destroyed near Figolevka (Kharkov region), Artyomovsk, Petrovskoye (Donetsk People's Republic) and Matveyevka (Zaporozhye region).

◽️ Fuel depots for AFU military hardware have been destroyed near Ingulets (Dnepropetrovsk region).

◽️ 1 U.S.-manufactured AN/TPQ-36 counterbattery warfare radar has been destroyed near Berkhovka (Donetsk People's Republic).

◽️ 1 ST-68UM low-altitude target detector has been destroyed near Nikanorovka (Donetsk People's Republic).

💥 Within the counterbattery warfare, 1 Olkha MLRS battery has been neutralised near Liptsy (Kharkov region).

💥 Air defence facilities have shot down 1 Mi-8 helicopter of Ukrainian air force near Terny (Donetsk People's Republic).

◽️ Moreover, 18 Ukrainian unmanned aerial vehicle have been show down near Vysokoye, Sukhanovo, Sadok, Tomarino (Kherson region), Zelyony Gai, Skelki and Burchak (Zaporozhye region).

◽️ 3 projectiles launched by Olkha MLRS have been intercepted near Novomikhaylovka (Donetsk People's Republic).

📊 In total, 324 airplanes and 162 helicopters, 2,296 unmanned aerial vehicles, 383 air defence missile systems, 5,926 tanks and other armoured fighting vehicles, 874 fighting vehicles equipped with multiple rocket-launching systems, 3,511 field artillery cannons and mortars, as well as 6,665 units of special military hardware have been destroyed during the special military operation.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russ_en
 
Angeipandikizia Watu waiongoze ukrein bila wa Ukraine kujuwa
Au Ange eliminate wachache anaowaona ni tatizo in a smart way.
Angepandikizaje watu Ukraine mkuu,remember that is a sovereign nation,sio rahisi kihivyo.Na pia unaona ange eliminate vipi hao watu in a smart way.Again remember Ukraine is an independent nation na CIA,MOSAD na MI6 nao wamo humo.Mimi naamini Putin alishafanya attempts zote hizo ulizo suggest,ila ameona kwamba the most feasible alternative is to get rid of the regime once and for all.
 
Usimtishe mwenzako kwa kifupi unachokisema ni pumba izo war criminal unazoziongelea BUSH na Tony blair walifanywa nini? UN ipo kwa ajili ya nchi maskini kama zetu na siyo kwa Superpower izo ni ngonjera tu atakama itagundulika putin amehusika watamfanya nini kwa wewe unavyoona? yani PUTIN apelekwe jera[emoji23][emoji23][emoji23] amka kumekucha achana na izo ndoto.. Gueterez alipotembelea Kiev wata wakapiga kombora mita chache karibu na hotel aliyofikia na mpaka leo amna alichofanya.
 
Ukija kumuona huyo fashsti Putin akiwa kizimbani nafikiri hapo ndipo utazinduka na kuyakana haya mashudu uliyoandika [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2392681

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

Tulia hivohivo boss, sindano unatodungwa nayo ni hateree ukitikisika tu itavunjikia kalioni, hapo hatutakua na namna zaidi ya kukufanyia (SPECIAL KALIO OPERATION) joking [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Republicans will not write a “blank check” for Ukraine if they win back the House majority,

Hayo yamesemwa na kiongozi mkuu wa Republic Bungeni.


WASHINGTON (AP) — House GOP leader Kevin McCarthy warned Tuesday that Republicans will not write a “blank check” for Ukraine if they win back the House majority, reflecting his party’s growing skepticism about financial support for Kyiv as it battles Russia’s invasion.

“I think people are gonna be sitting in a recession and they’re not going to write a blank check to Ukraine,” McCarthy told Punchbowl News. “They just won’t do it. … It’s not a free blank check.”

View attachment 2392767
 
Sioni u smartness wa mzee Putin. Kwa ujirani alionao na Ukraine Ange icontain bila kurusha risasi.
Putin strategies zake ni kuharibu sarafu ya $dollar, uchumi wa Europe na USA, upande wa Ukraine kuvamia Kama special operation ilikuwa ndiyo njia raisi kuwavuta korodani hao wa European na America waingiye King, na kweli kwa kiasi kikubwa kafanikiwa sana. Sasa hivi pound, Euro currency zote za Europe zimeshuka thamani sana. Ndo maana maandamano kila Kona ya Europe. Na viongozi wengi watapigwa mweleka including Biden.
Huyu hapa chini kala mweleka dakika chache zilizopita, na wengine bado wanakuja.
 

Attachments

  • IMG-20221020-WA0058.jpg
    42.3 KB · Views: 29
Kwa hiyo mkuu mtu ka-miss kwenye kutukana wewe unamkumbusha ili atukane vizuri sio!? Nlikuwa nakuona mtu mstaarabu kweli kati ya ProNato wote [emoji16]
Mm sio pro NATO ila sihafiki movement ya Putin kuivamia Ukraine, huwezi nikuta nikiishabikia NATO.

Kuhusu kumsahihisha, haimaanishi kuwa nakubaliana na aina yake ya matamshi ila namuonyesha kuwa matamshi yake yamejipinga yenyewe. Unamwambia mtu huna akili halafu unamalizia na maneno una akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…