Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Putin having some fun!
Your browser is not able to display this video.

Putin tested the Russian SVD sniper rifle at a training ground in the Ryazan region, fired several shots.

[emoji188][emoji188][emoji188]

Hivi Demntia Joe anaweza hii mambo [emoji41]
 
Mmejipanga kukanusha kuhusu successes za Russia....kwenu habari ni kile mnachoita kupelekewa Moto Russia...time will tell...Russia atashinda Vita hivi kibabe. Atashinda kiuchmi, kijamii, kidiplomasia na kijeshi....serikali za Europe moja baada ya nyingine zinadondoshwa...Mdada Liz Truss ndiyo hivyo Tena...She has been in power in less than 50 days....In France second French revolution inanukia...
 
Ha ha haa🤣🤣😂😂🤣🤣🤝
Walitegemea kuweka vikwazo vya Kila aina,vikwazo ambavyo havijawahi kabisa kuwekwa kwa nchi yoyote duniani,vikwazo vya kiuchumi,kisiasa na kiutamaduni,ingemchosha Urusi.

Walitegemea kupeleka silaha za mabilioni ya fedha,silaha za Kila aina,silaha kutoka Kila nchi ya NATO na isiyo ya NATO, ingerefusha vita.
Walitegemea haya yote Urusi ingependekeza vita iishe kwa njia ya kidiplomasia,lkini🤣🤣🤣😂😂😂Urusi ndo kwanza inawaambia wako level ya pili ya operation.kukata mawasiliano na kuharibu miundombinu.
Kiuchumi ndo kwanza vikwazo vinawafilisi wao wenyewe,
Kisiasa ndo kwanza luundo la nchi zinagombea kujiunga kwenye umoja ulioanzishwa na Urusi BRICS ama umoja alimo CSTO..

Iko hivi,USA ni adui mkubwa wa Urusi,lakini Urusi Hana chuki na USA.
Kila alipo USA hapa duniani,Urusi ana jicho lake.
Baada ya kuona USA ana interst sana na former Soviet states especially Ukraine,Urusi walielekeza macho Yao yote hapo,kwa hiyo Kila walichokua wakifanya USA NATO hapo Urusi walikua makini kutazama kwa macho Yao "maalum".
Hivyo baada ya Urusi kunusa hatari nao wakaanza maandalizi ya kutibua mipango kabla haijafika kuleta madhara.walijiandaa kwa Kila kitu kutokana na tabia za USA (vikwazo,fitina,kutengwa,uongo,silaha,kukupa jina baya,na Kila aina ya ushenzi).
Ndio mnaona badala ya kutengwa,kuchukiwa,kuanguka kiuchumi,kuchoka kijeshi na Kila aina ya ushenzi ndo kwanza Russia inaungwa mkono,pesa yake imepata umaarufu,uchumi haujatetereka kama ilivyotarajiwa,inapata marafiki wapya,inaongeza mashambulizi kuliko mwanzo.
Haya yote yalifanyiwa upembuzi yakinifu na chanjo iliandaliwa.
Msione hivyo mkadhani Urusi wamebahatisha,ni kazi za Great thinkers.
Unaweza kudhani hawakuipigia mahesabu NATO,no,walijua kabisa NATO watasaidia kwa namna moja ama nyingine.
Ndipo Russia wakaanza na diplomasia kuhusu kuheshimu makubaliano ya Minsk,luziomba NATO zisiiingize Ukraine kwa NATO, na Kila aina ya diplomasia,lkn wakamdharau.
Baada ya kuona Wana kiburi kaingiza jeshi, na nakuhakikishia kua,Russia hii vita, hatarudi nyuma.

Baada ya kuona hayumbi Sasa wanaangalia namna ya kumrudisha mezani.

Kwa kuhitimisha,ni kwamba, akili ya Chess imetumika pakubwa kudili na west.
 
Pro NATO wamechanganyikiwa maana hawana update nzuri kwao.

Nashauri Pro Russia wenzangu msiwatukane wapotezeeni au ignore list ifanye kazi.

Mwenye matusi hana hekima.

Naona wanataka kuharibu uzi makusudi.

Maadili ya jf hayaruhusu matusi.
 
Nigeria anasupply mafuta anakava 6% ya importation ya europe.
Algeria anakava 8% ya importation ya natural gas ulaya.

Kupush hizo namba kutoka kwenye single mpk double digits sio kitu kinachowezekana kirahisi. Ni Practically impossible.

Unaongea swala la kulower production cost!? How!? US mwenyewe hana namna ya kupunguza production cost chini ya saudia/middle east. Hilo bomba la algeria ndio kwanza lipo kwenye MoU stage[emoji16]. hizo refineries zitajengwa kwa pesa za nani!? Zitachukua muda gani!? Hii reserve ya mafuta na gesi Africa inaruhusu uwekezaji wa namna hiyo ufanyike!? Uwekeze dola bilioni kadhaa kuvuna mafuta na gesi kidogo ambayo hayatakaa hata miaka 30 yameisha!?

African Oil reserve 125b barrels (more than 7 countries)
Saudia arabia oil reserve 240+b barrels (just 1 country)

Alaf uko hapa na ndoto za africa kuflood soko la mafuta duniani. Yo...!
 
Kimbukiko and Kipanya liked your comment bro!

Cheers! [emoji1635][emoji1635][emoji1635]

It's is a historical achievement!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Simu ni zao Bando ni Lao kwanini niwapangie?!


Cheers [emoji482]
 
Pro NATO wamechanganyikiwa maana hawana update nzuri kwao.

Nashauri Pro Russia wenzangu msiwatukane wapotezeeni au ignore list ifanye kazi.

Mwenye matusi hana hekima.

Naona wanataka kuharibu uzi makusudi.

Maadili ya jf hayaruhusu matusi.
Wasubiri ripoti ya kesho ndio waharibu uzi saizi mapema sana kuna mambo yanafanyika hapo Kherson kuna watu wameshajaa.
 
Russia, NK, Iran hawataki utani eti una mspy anakupa tukio haraka sana.
Kuna watu humu waliwahi kubeza allies/washirika wa Urusi.
Walibeza Iran,north Korea ,china na baadhi ya washirika wa Urusi.

Nadhani baada ya drone za Iran kuleta shida Ukraine na kupelekea NATO kuzikadili ,naamini Sasa watabadili mashaka Yao.

Unajua Iko hivi,inaweza ikawa washirika wa Urusi wasiwe na uchumi Mzuri sana hasa kutokana na vikwazo,lakini wakawa wako vizuri sana kijeshi kutoka na kusakamwa sana na USA kwa vitisho vya kuvamiwa,mfano North Korea na Iran,hivyo kupelekea kuelekeza nguvu zao na akili zao zote kufanya tafiti na kujitengenezea silaha Bora kabisa kwa ajili ya kujilinda,na haya Sasa kuwafanya wawe na uwezo sawa kabisa katika teknolojia za silaha sawa kabisa ama zaidi na nchi za west.
Sio Siri,Iran na Korea Kaskazini Wana uwezo mkubwa wa kijeshi kwa Sasa kuliko baadhi ya nchi nyingi za west.
Drone za Iran zimewafumbua macho.je silaha nyingine za Iran zikoje?
 
Wasubiri ripoti ya kesho ndio waharibu uzi saizi mapema sana kuna mambo yanafanyika hapo Kherson kuna watu wameshajaa.
Wakati super pawer wa mchongo anahaha kuhamisha raia baada ya kuona kichapo kinakuwa kikali..,wewe unajifariji hapa.., kikubwa tu usiukimbie Uzi urusi wakifungasha vilago huko kheson [emoji2957]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Acha Kuota Ukraine wanauawa Sana huko Kherson
 
Punguza makasiriko
 
Halafu dakika mbili mbele wewe mwenyewe utaanza kuwatia wachangiaji wengine mashoga.
Proputin mko kama mateja wa gundi.
Nikitaka kutukana mtu situmii hizo terminology ulizozisema nitatumia matusi kweli na atayetukanwa atajua kweli hapa nimetukanwa. Sema sioni haja namtukana mtu hapa simuoni simjui.

Pro Nato ndio mnaoongoza kutukana.
 
The United States has just announced that the ballistic missile submarine USS West Virginia (of the Ohio strategic nuclear submarine class) is present in the Arabian Sea, an unusual move that appears to be intended to send a warning signal to Russia-Iran.

You may read the entire article by clicking on the link below
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…