Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

🤝🤝🤝🤝👏👏👏👏
 
Shida kuu ya habari kuhusu Ukraine zinapotoshwa mno na vyombo vya Magharibi. ukweli haujulikani, propaganda nyingi mno. lakini the bottom line ni kwamba kipande cha ardhi ya Ukraine bado kimekaliwa na Russia bila kujali kuwa Urusi inapigwa, inanyonywa au inakwanguliwa na USA, Ukraine au nani. Na kama Urusi bado iko Donbass ni ushahidi tosha kuwa Urusi ina nguvu kuliko wagomvi wake.
 
Urusi kuivamia Ukraine tu CIA walijua kabla November mwaka jana haijaisha, uvamizi ukafanyika February 24. Urusi anaivamia Marekani kwa kutumia nini?


Hili MKUU naomba nipingane na wewe kidogo maana hata kinachoendelea pale BELARUS kinaonesha wazi kabisa kuna 80% ama ikifika chini haishuki 50% kwamba BELARUS wanaweza shirikiana na RUSSIA kuivamia UKRAINE

Maandalizi alokua anayafanya RUSSIA kipindi kile ulikua unaona wazi kabisa kuna jambo linaenda kutokea labda kama huoni hufatilii na husikii kinachoenelea au kilichokua chaendelea

Kama sijakosea hata hapa jf ama sijui pf gan nliona watu wanaliongelea jeshi lililoekwa mpakani na RUSSIA namaandalizi yakuivamia UKRAINE

Kueka mpakani na jirani yako jeshi lazaidi ya watu 200k haihitajii CIA au M16 na wengine kufahamu kipi kinaenda kutokea hasa kulingana na hali ilokua inaendelea baina ya UKRAINE na RUSSIA toka baada ya mapinduzi yale ya 2014 na day by day hali ikawa inazidi kua yamashaka!!!!!

Ishu tu pale nikwamba UKRAINE asingeweza ama hawezi kuanzisha shambulizi dhidi ya RUSSIA lau angeweza angefanya kama kujilinda

Mexico kama anafanya kama alivyokua anfanya RUSSIA pale mpakani na US lazma US angetangaza vita ama SMO kujilinda dhidi yake au UKRAINE angefanya kama alivyokua akifanya RUSSIA lazma RUSSIA angeanzisha vita dhidi ya UKRAINE

Shida nikwamba UKRAINE hakua na hana uwezo wakuanzisha vita dhidi ya RUSSIA ndio maana akawa mpole mpaka akaanza kuchapwa nandio maana hata wakat anapewa ťaarifa kama anaelekea kupigwa akawa hana lakufanya licha yakwamba alijua kama anaenda kupigwa ingawaje alikua anakanusha kama hata vamiwa na RUSSIA

Huko kwengine niwaache mlumbane kwahoja wenyewe nanawafatlia sana na naomba mzidi lumbana nasie wengine tupate mawili matatu maadam hamtukanani
 
Vita hii ina mambo ya kushangaza sana Russia ni moja ya nchi chache duniani zenye makombora makubwa ya maangamizi ukiondoa ya Nuclear swali la kujiuliza kwa nn hayatumii?Je hataki kuna raia wengi au ananunua muda,Tangu nimeanza kufatilia hii vita taarifa nyingi ni fake ila BBC a najitahidi kutoa uhalisia
 
Supapawa pumzi imeanza kukata anatafuta kisingizio cha kutumia nuclear bomb[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2397446
NYUKLIA ni silaha kama silaha nyengine tu asee

Zimetengenezwa ili zitumike kupambana na watu

Kama US alitumia y not RUSSIA kama anaona inafaa atumie hata leo tupo nyuma yake na tunamsapoti
 
Interceptors za Mu-Israel kutua Ukraine muda wowote......kulinda anga


Israel's Iron Dome air defence system intercepted hundreds of rockets fired from Gaza during the 11-day war that ended on May 21

Israel’s defence chief Benny Gantz will travel to Washington, DC, on Thursday to request a $1bn replenishment of the close United States ally’s Iron Dome air defence system, US Senator Lindsey Graham and Israeli officials have said.
 
[emoji778]️زلنسکی: اسرائیل از کرملین می‌ترسد

[emoji617]رئیس جمهور اوکراین:اسرائیل به شکل عملی از اوکراین حمایت نمی‌کند. اسرائیل از کرملین می‌ترسد و برای همین به ما سامانه پدافندی نمی‌دهد.

[emoji778]️Zelensky: Israel is afraid of the Kremlin

[emoji617] President of Ukraine: Israel does not support Ukraine in a practical way. Israel is afraid of the Kremlin and therefore does not give us a defense system.


[emoji723]بروکر جهانی ZTE-Forex
 

[emoji298]️DEVELOPING[emoji298]️

Zaporozhye Nuclear Power Plant, South Russia, has been connected to Russia’s gas transportation system - Zaporozhye Administration official Rogov.

Zaporozhye Plant has already been connected to Russian electricity grid.
 
Naked Truth

[emoji298]️BREAKING NEWS[emoji298]️

Kiev receives funding from the West purely for the DESTRUCTION of Ukraine, its sponsors are not interested in restoring, but dividing the remains of the country - Russian Foreign Ministry Spokeswoman Zakharova comments on Zelensky's statement that the West "did not allocate a single cent" for the restoration of Ukraine.
 

Ukrainian military to get 11 powerful PUMA-LE drones, says minister​


Tue, October 25, 2022, 12:32 PM·1 min read

Drones are in service in 18 countries of the world
Read also: 35 lung ventilators purchased with funds raised via United 24 fundraising initiative arrive in Ukraine
“The drones are equipped with a conventional and thermal imaging camera with 6x optical zoom,” the minister said.
“It allows to detect the enemy during the day, at night and in any weather. Thanks to their antennas, the drones can range over a distance of up to 60 kilometers. Such a distance will help defenders sneak behind enemy lines. The drones can fly up to six hours and rise to a height of up to three kilometers. This makes them invisible to the invaders.”
 

[emoji298]️DEVELOPING[emoji298]️

German President Steinmeier, currently visiting Ukraine for talks with Kiev authorities, has spent 1 HOUR in a BOMB SHELTER in Chernigov region, North Ukraine, after an AIR ALERT was sounded.

[emoji2772] Ebana eeh, kumbe ugali mtamu sana!
 
We nawe unachosha watu kwa insha na maneno yasiyo maana yaliyojaa ubinafsi ,huku ukijaribu kutetea mahaba uliyonayo ,unajiona mjuaji huna unalojua kuhusu hii vita ,ni chuki tuu ndizo zinaongoza hisia zako anyway mda ndiye msema kweli maana hakuna utakachoambiwa utaamini labda tukikwambia zelesky kafa hapo utaamini
 
Kwa mwendo huu, fashisti Putin ataita maji mmaa [emoji12][emoji2][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wapi Sasa hapa inaonyesha Israel ana transfer hizo Iron dome kwenda Ukraine...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…