kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Kwa kichapo hiki lazima super pawer wa mchongo ayatafute mazungumzo kwa tochi tu, hakuna namna [emoji2][emoji1787][emoji16]Wanajificha kwenye mahandaki lakinindrone inawakaanga bado tazama video wanatia huruma
Unajua kitu kinaitwa war crimes!!??Vita hii ina mambo ya kushangaza sana Russia ni moja ya nchi chache duniani zenye makombora makubwa ya maangamizi ukiondoa ya Nuclear swali la kujiuliza kwa nn hayatumii?Je hataki kuna raia wengi au ananunua muda,Tangu nimeanza kufatilia hii vita taarifa nyingi ni fake ila BBC a najitahidi kutoa uhalisia
Ukraine wanashangaza kweli.., pamoja na kupigwa mkwara kwa kushambuliwa Kiev lakini jamaa hawarudi nyuma..,ni kama wanazidi kuwa wa moto zaidi,Habari za ukweli ni zile za upande wa Russia tuu.
500 Russian troops eliminated in one day, says General Staff
Since the beginning of Russia’s full-scale invasion of Ukraine, Russia has lost about 59,080 of its troops, including 500 over the past day, according to an update by Ukraine’s General Staff on Facebook on october. 25.
Russian forces suffered their greatest losses over the past day on the Donetsk and Kramatorsk axes in eastern Ukraine.
baba tulia, mambo ni taratibu - shughuli hii umeitaka mwenyewe na si ya kuisha leo wala kesho.Wapi Sasa hapa inaonyesha Israel ana transfer hizo Iron dome kwenda Ukraine...?
Kabla majeshi ya Urusi hayajaenda mpakani, Marekani ishatoa angalizo watavamia. Na Urusi ikapinga kama kawaida yake.Urusi kuivamia Ukraine tu CIA walijua kabla November mwaka jana haijaisha, uvamizi ukafanyika February 24. Urusi anaivamia Marekani kwa kutumia nini?
Hili MKUU naomba nipingane na wewe kidogo maana hata kinachoendelea pale BELARUS kinaonesha wazi kabisa kuna 80% ama ikifika chini haishuki 50% kwamba BELARUS wanaweza shirikiana na RUSSIA kuivamia UKRAINE
Maandalizi alokua anayafanya RUSSIA kipindi kile ulikua unaona wazi kabisa kuna jambo linaenda kutokea labda kama huoni hufatilii na husikii kinachoenelea au kilichokua chaendelea
Kama sijakosea hata hapa jf ama sijui pf gan nliona watu wanaliongelea jeshi lililoekwa mpakani na RUSSIA namaandalizi yakuivamia UKRAINE
Kueka mpakani na jirani yako jeshi lazaidi ya watu 200k haihitajii CIA au M16 na wengine kufahamu kipi kinaenda kutokea hasa kulingana na hali ilokua inaendelea baina ya UKRAINE na RUSSIA toka baada ya mapinduzi yale ya 2014 na day by day hali ikawa inazidi kua yamashaka!!!!!
Ishu tu pale nikwamba UKRAINE asingeweza ama hawezi kuanzisha shambulizi dhidi ya RUSSIA lau angeweza angefanya kama kujilinda
Mexico kama anafanya kama alivyokua anfanya RUSSIA pale mpakani na US lazma US angetangaza vita ama SMO kujilinda dhidi yake au UKRAINE angefanya kama alivyokua akifanya RUSSIA lazma RUSSIA angeanzisha vita dhidi ya UKRAINE
Shida nikwamba UKRAINE hakua na hana uwezo wakuanzisha vita dhidi ya RUSSIA ndio maana akawa mpole mpaka akaanza kuchapwa nandio maana hata wakat anapewa ťaarifa kama anaelekea kupigwa akawa hana lakufanya licha yakwamba alijua kama anaenda kupigwa ingawaje alikua anakanusha kama hata vamiwa na RUSSIA
Huko kwengine niwaache mlumbane kwahoja wenyewe nanawafatlia sana na naomba mzidi lumbana nasie wengine tupate mawili matatu maadam hamtukanani
Mzee yaani ni kata funua kwenye battlefield.... sasa hivi inahitaji ulinzi wa anga lake tu ili kumalizia kazi iliyobakia.Ukraine wanashangaza kweli.., pamoja na kupigwa mkwara kwa kushambuliwa Kiev lakini jamaa hawarudi nyuma..,ni kama wanazidi kuwa wa moto zaidi,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
warusi wa buza watakwambia Mrusi kawekeza miaka nenda rudi kwenye makombola ya masafa marefu - kwamba ana vinu vya nuklia zaidi ya 300 nchini kwake. Kwamba ana uwezo wa kupiga misililes ya intercontinetal yaani bara kwa bara missile inatungua.Kabla majeshi ya Urusi hayajaenda mpakani, Marekani ishatoa angalizo watavamia. Na Urusi ikapinga kama kawaida yake.
Siku tatu kabla ya uvamizi, Uingereza, Marekani na Israel zikaanza kuita watu wake waondoke haraka Ukraine. Sisi madongo kuinama tukawa wabishi. Russia ikakataa kupitia vyombo vya habari vya taifa. Hapa ni 4 days beforeView attachment 2397581
Sasa nimuulize yeyote anayedhani Russia anaweza ivamia Marekani. Hivi Urusi iliyojiandaa miezi kuvamia Ukraine ambapo wanavuka ardhi pande tatu tofauti kupitia kwake na Belarus, na bado performance ndio hii, ndio hiyo Urusi ya kuivamia Marekani? Yani ufanye mission ya kubeba mamia ya maelfu ya wanajeshi baharini uende kuivamia Marekani kirahisi hivi?
Kwanza Russian Navy haina means ya kutoa air cover kwa invading force yake, watakuwa na floating coffins baharini.
Jeshi lililoshindwa kuilinda Snake island eneo dogo lisilo hata na 10km square, lililoshindwa kulinda flagship Moskva cruiser moja ya Black Sea fleet ndio hilo hilo tunaambiwa linafanya mission ya kuvamia Marekani.
Jeshi linalolalamikia HIMARS chini ya 20 zilizotolewa kwa nyakati tofauti wakati kuna HIMARS zaidi ya 300 Marekani kwenye peacetime, ukianzisha vita uzalishaji unapanda. Ushindwe kuwa na air cover Ukraine inayoomba ndege inanyimwa, uje uipate kwenye anga la Marekani
[emoji1255] nimeamini Ukraine wangekuwa na air defense system ya maana,Hawa jamaa ni habari nyingineMzee yaani ni kata funua kwenye battlefield.... sasa hivi inahitaji ulinzi wa anga lake tu ili kumalizia kazi iliyobakia.
Ukraine’s army is beating the Russians on the battlefield, “but unfortunately we do not have our own Iron Dome. We still do not have a modern and effective air defence and missile defence system that could secure our skies.” he said by video link.
Waambie baba maana wanaichukulia marekani poa sana yan marekani ukamwendee na msafara kama ule au marekani uje na meli au nyambizi ukifikir utapita kirahisi silaha alizopewa ukraine ni chache na zimepitwa na mda .eti umvamie marekan wa sasa kwa vidrone vyenye injini za toyo .mnachekeshaKabla majeshi ya Urusi hayajaenda mpakani, Marekani ishatoa angalizo watavamia. Na Urusi ikapinga kama kawaida yake.
Siku tatu kabla ya uvamizi, Uingereza, Marekani na Israel zikaanza kuita watu wake waondoke haraka Ukraine. Sisi madongo kuinama tukawa wabishi. Russia ikakataa kupitia vyombo vya habari vya taifa. Hapa ni 4 days beforeView attachment 2397581
Sasa nimuulize yeyote anayedhani Russia anaweza ivamia Marekani. Hivi Urusi iliyojiandaa miezi kuvamia Ukraine ambapo wanavuka ardhi pande tatu tofauti kupitia kwake na Belarus, na bado performance ndio hii, ndio hiyo Urusi ya kuivamia Marekani? Yani ufanye mission ya kubeba mamia ya maelfu ya wanajeshi baharini uende kuivamia Marekani kirahisi hivi?
Kwanza Russian Navy haina means ya kutoa air cover kwa invading force yake, watakuwa na floating coffins baharini.
Jeshi lililoshindwa kuilinda Snake island eneo dogo lisilo hata na 10km square, lililoshindwa kulinda flagship Moskva cruiser moja ya Black Sea fleet ndio hilo hilo tunaambiwa linafanya mission ya kuvamia Marekani.
Jeshi linalolalamikia HIMARS chini ya 20 zilizotolewa kwa nyakati tofauti wakati kuna HIMARS zaidi ya 300 Marekani kwenye peacetime, ukianzisha vita uzalishaji unapanda. Ushindwe kuwa na air cover Ukraine inayoomba ndege inanyimwa, uje uipate kwenye anga la Marekani
ingekuwa hivyo mbona hii vita ingekuwa ishaisha kitambo sana....[emoji1255] nimeamini Ukraine wangekuwa na air defense system ya maana,Hawa jamaa ni habari nyingine
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ndio Ni sahihi sana kuwachekea tena wachekwe zaidi ya hapo.Yaani tunaandika uzi wa kuicheka Nchi iliyo vitani kukosa Umeme aisee kazi ipo..
Kama Ukraine pamoja na silaha zake duni aliweza kuugeuza majivu msafara wa zaidi ya km 64 namna hii..,ingekuwa marekani sidhani hata hizo screpa zingeonekana Tena[emoji848]Waambie baba maana wanaichukulia marekani poa sana yan marekani ukamwendee na msafara kama ule au marekani uje na meli au nyambizi ukifikir utapita kirahisi silaha alizopewa ukraine ni chache na zimepitwa na mda .eti umvamie marekan wa sasa kwa vidrone vyenye injini za toyo .mnachekesha
Vita hii ina mambo ya kushangaza sana Russia ni moja ya nchi chache duniani zenye makombora makubwa ya maangamizi ukiondoa ya Nuclear swali la kujiuliza kwa nn hayatumii?Je hataki kuna raia wengi au ananunua muda,Tangu nimeanza kufatilia hii vita taarifa nyingi ni fake ila BBC a najitahidi kutoa uhalisia
NATO wangekuwa wameshaingia mzigo .. majeshi ya Putin yangesharudishwa kwao mapema sana..,na vita hii ingekuwa imeshatoweka masikioni mwetuWanao pigana hii vita sio wanajeshi wa Ukraine,ni full NATO.
Unajua rules of engagement lakini? Ni lini Nato imesema inaisaidia Ukraine zaidi ya nchi mojamoja kutoa msaada kwa Ukraine na EU ambayo inamtambua Ukraine. Kwani US akiamua kumsaidia Ukraine silaha ni kosa? Ni lini Russia alisema nchi marafiki wa Ukraine wasimsaidie Ukraine silaha. We nae usijifanye ndo unajua kuliko wengine.Mfatilie mvamizi urusi kavamia mara ngp finland hzo mara ngp alizovamia ndzo alzopokea kpgo. Mnaleta mambo ya kijnga sn kwny hii thread kama simba na yanga. Yan mnaamin nato na marekan hawajui kuna barid kali linakuja na kwmb hawajajipanga namna ya kulisaidia jesh la ukraine? Mnadhan nato na marekan hawajui kwmb uwenda urusi anatoka hapo kherson akajpange ili aje kvngne mnadhan wao hawajui na hawajajpanga? Lakn si putin alitangaza mapema kbs wkt urusi wanavamia ukraine kwmb atakayesaidia ukraine kwa namna yoyote atapgika leo imeshndwa nn kuwapga hao nato na marekan maana mpk mnasema nato wana wanajesh wao ukraine kama wapo urusi si atimize kile alichosema sasa, achen ushabk urusi ni mkubwa haina ubish ila ni mdogo kwa nato na marekani, china n mkubwa ila n mdogo kwa nato na marekani ndo maana taiwan ipo salama.
take from me, Putin hataweza kutumia nyuklia - sababu yeye ni Jasusi la kimataifa anajua fika hatma yake kama atarusha walau bomu moja tu pale Kiev.Vita hii ina mambo ya kushangaza sana Russia ni moja ya nchi chache duniani zenye makombora makubwa ya maangamizi ukiondoa ya Nuclear swali la kujiuliza kwa nn hayatumii?Je hataki kuna raia wengi au ananunua muda,Tangu nimeanz