juzi NATO imeanza mazoezi yake ya kawaida ya msimu ambapo kwa mwaka huu yamekuwa ya nyuklia wakitumia dummy weapons, Putin kasema wanataka kuingilia ugomvi usiowahusu - ha ha haNATO wangekuwa wameshaingia mzigo .. majeshi ya Putin yangesharudishwa kwao mapema sana..,na vita hii ingekuwa imeshatoweka masikioni mwetu
Urusi anapigishwa danadana na Ukraine tu anayeomba na kupewa silaha kutoka nchi za NATO
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tanzania hakuna umeme na hakuna vita nawezaje kuzungumzia umeme kwenye Nchi iliyo vitani...Ndio Ni sahihi sana kuwachekea tena wachekwe zaidi ya hapo.
Jeshi la Ukraine liliposhiriki kwenda kuivamia Iraq unadhani lilikua linaenda kupeleka umeme na maji pale Baghdad sio?
Anazungumzia makombora gan ambayo Russia hajatumia labda father of all bombs (FOB) bom ambalo US walisema Russia walifeki halikua na uhalisia na nimeamini ni ukweli maana ungekuta keshawadondoshea ukraine pale kherson.now alichobak nacho ni nuke tuu.Na ole wake ajaribu kutumia hata taktick nuke aone ukali wa NATO.Bro unazungumzia Makombora gani hayo ya maangamizi ambayo Russia hajatumia huko Ukraine ukiacha nyuklia?! Jamaa kashatumia mpaka hypersonic missiles lakini hajabadili uelekeo wa Vita na sasa hivi kahamia kwenye kamikaze drones kushambulia miundombinu ya nishati lakini bado mambo magumu kule Kherson wanapewa kichapo cha mbwa mwizi mpaka wameanza kuhamishana
Kwan wameingilia mara ngap putin anajitoaga ufahamu.eti huo ni uchokoz ,sasa kuna uchokoz zaid ya silaha anazotoa NATO na mazoez kwa jeshi la ukraine ,pia putin anajitoa ufahamu kuwa KGB haifahamu kuwa NATO ndio wanaendesha hii vita kwa kutoa direction zote za mashambuliz?huyu andunje anazeeka vibayajuzi NATO imeanza mazoezi yake ya kawaida ya msimu ambapo kwa mwaka huu yamekuwa ya nyuklia wakitumia dummy weapons, Putin kasema wanataka kuingilia ugomvi usiowahusu - ha ha ha
Vijana wa zelensiky wanazidi kumtembeza kichapo tu..,najaribu kujiuliza ni Kwa nini urusi hawatumii hizo wanazoita kamikaze kuwatia nguvu vijana wake wanaotembezewa kichapo kikali huko front line [emoji848]
Kwanini Sasa upo Kwny 'International forum'?Tanzania hakuna umeme na hakuna vita nawezaje kuzungumzia umeme kwenye Nchi iliyo vitani...
[emoji1255][emoji1258]NATO wako karibu na mipaka ya Russia wakati huu kuliko wakati mwingine..,Ina fact ni kwamba dikiteta Putin alidhani anaung'oa mwiba kumbe anaudidimiza,Kwan wameingilia mara ngap putin anajitoaga ufahamu.eti huo ni uchokoz ,sasa kuna uchokoz zaid ya silaha anazotoa NATO na mazoez kwa jeshi la ukraine ,pia putin anajitoa ufahamu kuwa KGB haifahamu kuwa NATO ndio wanaendesha hii vita kwa kutoa direction zote za mashambuliz?huyu andunje anazeeka vibaya
Habari za front line mmeamua kuziweka pembeni kwanza [emoji16]View attachment 2397624
[emoji298]️Vladimir Putin met with President of the Republic of Guinea-Bissau and Chairman of the Economic Community of West African Countries Umaru Sissoku Embalo[emoji298]️
Bingwa hakawii kuwapa offer waafrica kwenda kupigana kule, kwa siku dola 100 - kwa njaa ya africa meli itajaa kwenda Urusi.View attachment 2397624
⚡️Vladimir Putin met with President of the Republic of Guinea-Bissau and Chairman of the Economic Community of West African Countries Umaru Sissoku Embalo⚡️
Acha kuchafua jukwaa kwa kuposti utumbo uleule kila page.Kwa kichapo hiki lazima super pawer wa mchongo ayatafute mazungumzo kwa tochi tu, hakuna namna [emoji2][emoji1787][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Front line ni kuzimu mkuu..,hizo nafasi zilishatangazwa lakini sidhani kama Kuna mwafrika yeyote alijitokeza [emoji848]Bingwa hakawii kuwapa offer waafrica kwenda kupigana kule, kwa siku dola 100 - kwa njaa ya africa meli itajaa kwenda Urusi.
Ikikuuma sana chomoa mkuu [emoji2957]Acha kuchafua jukwaa kwa kuposti utumbo uleule kila page.
Mkuu kuna wakati unaongea vitu vya mhimu ila vinaharibiwa na mahaba binafsi uliyo nayo juu ya USA.Kabla majeshi ya Urusi hayajaenda mpakani, Marekani ishatoa angalizo watavamia. Na Urusi ikapinga kama kawaida yake.
Siku tatu kabla ya uvamizi, Uingereza, Marekani na Israel zikaanza kuita watu wake waondoke haraka Ukraine. Sisi madongo kuinama tukawa wabishi. Russia ikakataa kupitia vyombo vya habari vya taifa. Hapa ni 4 days beforeView attachment 2397581
Sasa nimuulize yeyote anayedhani Russia anaweza ivamia Marekani. Hivi Urusi iliyojiandaa miezi kuvamia Ukraine ambapo wanavuka ardhi pande tatu tofauti kupitia kwake na Belarus, na bado performance ndio hii, ndio hiyo Urusi ya kuivamia Marekani? Yani ufanye mission ya kubeba mamia ya maelfu ya wanajeshi baharini uende kuivamia Marekani kirahisi hivi?
Kwanza Russian Navy haina means ya kutoa air cover kwa invading force yake, watakuwa na floating coffins baharini.
Jeshi lililoshindwa kuilinda Snake island eneo dogo lisilo hata na 10km square, lililoshindwa kulinda flagship Moskva cruiser moja ya Black Sea fleet ndio hilo hilo tunaambiwa linafanya mission ya kuvamia Marekani.
Jeshi linalolalamikia HIMARS chini ya 20 zilizotolewa kwa nyakati tofauti wakati kuna HIMARS zaidi ya 300 Marekani kwenye peacetime, ukianzisha vita uzalishaji unapanda. Ushindwe kuwa na air cover Ukraine inayoomba ndege inanyimwa, uje uipate kwenye anga la Marekani
Wasapoti NATO kuna nati imekatikaAnazungumzia makombora gan ambayo Russia hajatumia labda father of all bombs (FOB) bom ambalo US walisema Russia walifeki halikua na uhalisia na nimeamini ni ukweli maana ungekuta keshawadondoshea ukraine pale kherson.now alichobak nacho ni nuke tuu.Na ole wake ajaribu kutumia hata taktick nuke aone ukali wa NATO.
Mbali na kushuka kwa mauzo ya mafta hata soko la ges pia kashalipotezaRussia's revenue from crude oil exports just hit its lowest point since Vladimir Putin launched his war on Ukraine
Phil Rosen
Mon, October 24, 2022, 5:19 PM·2 min read
In this article:
Vladimir Putin
President of Russia
Russian President Vladimir Putin.AP
Russia's weekly revenue from crude oil exports dropped to its lowest levels since February, when President Vladimir Putin ordered the invasion of Ukraine, Bloomberg data shows.
- Russia's weekly revenues from oil exports fell to the lowest level since Moscow ordered the invasion of Ukraine, Bloomberg data shows.
- Duty rates declined, and the volume of seaborne crude shipments dropped to a five-week low.
- The European Union's sanctions on Russian crude are set to take effect on December 5.
The Kremlin's war chest saw inflows from its crude-export duty drop by $12 million to $121 million in the week leading up to October 21, per Bloomberg.
Hata kichaa anawaona wale wenye akili timamu kwamba hao ndio vichaa [emoji848]Wasapoti NATO kuna nati imekatika