Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Fatilia vita ya Russia na Finland nyakat za baridi uone Finland alivyomtandka Urusi, unadhan Ukraine hawaujui huo ukanda wao yaani kwamba Urusi kwenye huo ukanda ndiye mtaalam wa kupigana kwenye mabarafu na baridi kali au siyo?
Halafu sasa wanaoongea wenyewe utakuta wanabanana hapa Bongo kwenye joto kali na mgao wa umeme kutwa kulala madirisha wazi wakitafuta uafadhari wa kupunguza joto,leo wanawasikitikia Ukraine waliozaliwa na kukulia kwenye hilo hilo baridi.Aliyeturoga Wabongo alituweza sana.
 
Naongezea nyama kidogo juu ya uwezo wa USA kwenye battle field.

Hiyo USA unayoisema ni untouchable kwenye mambo ya kivita, haijwahi kuvua dafu kwenye operation au vita yeyote iliyohusisha uwepo wa jeshi la kirus kuanzia enzi za Soviet union mpaka leo urusi..
Hizi ndo list za mapigano famous ambazo USA na Russia waliwahi kukutana kwenye battlefield na zote USA alikaa chini.
1. Vietnam war
2. Korean war
3. Syria civilian war

Hapo kwenye Korean war USA aliungana na mataifa zaidi ya 20 kupigana na Muungano wa mataifa matatu yani (Soviet union, China na N.korea) lakini mwisho wa siku mataifa 20+ yote yaligalagazwa na miamba watatu, Huko syria USA aliungana na allies wake wa western pamoja na waasi wa IS lakini Mrusi alipotia mguu tu kwenye hiyo operation USA na magaidi wake wakatembezewa moto wa kiwango cha SGR mpaka wakapoteana na kukimbia hovyo.

Ngoja hapa napo nisiongee sana naomba nikuwekee Screenshot kutoka kwenye database ya dunia.
NOTE: Rangi ya kijani inawakilisha ushindi kwa jeshi la team Soviet union.

Inaendelea next...
 
Pro NATO anaitwa mtarimbo. Vipi mmezoea kuukalia mtarimbo hadi mmeona mjiite hayo majina wazee wa upinde.
 
[emoji1255][emoji1258]NATO wako karibu na mipaka ya Russia wakati huu kuliko wakati mwingine..,Ina fact ni kwamba dikiteta Putin alidhani anaung'oa mwiba kumbe anaudidimiza,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kuna mmoja nilimwambia Jana humu akaishia kuniandika waraka wa Paulo kwa Wagaratia! Yaani kwa sasa ni vyepesi kwa NATO na USA kuingia Ukraine kuliko ilivyokuwa hapo mwanzo kabla ya Uvamizi
 
Mambo ya zama za kale unatuletea hapa kwani hukumbuki hata sisi bongo tulishqmtwangaga Germany mpakq akaomba france wampige tafu
 
Russia mbona yeye alishindwa vibaya na mujahedeen akiwemo osama bin laden Afghanistan tatizo la elimu bure ni changamoto kubwa sana Tanzania

Russia au U.SA kushindwa vita hakutawaondelea status kwamba wao ni super power,
Vipi Vietnam north Korea Syria somalia ilikuwaje
 
Hujanielewa nilichokusudia ukiondoa nuclear zipo silaha nzito sana lakini cha kushangaza Russian hawazitumii ili kuimaliza vita hiyo nyuma ya hii vita kuna mipango ya mwelekeo wa maisha ya watu yatakuweje,fikilia bei ya chakula kwa sasa duniani fikilia bei ya mafuta ongezeko la hadi asilimia 70% watu wanakaa chini na kutengeneza mikakati ya miaka mitano ijayo.Amini hata leo ukienda kulima ukavuna gunia 3000 za mchele utaziuza ndani ya muda mfupi na wanunuzi watakuuliza unazo zingine
 
Hii base imepigwa kitu kizito chechen 40 wamekufa hapohapo 60 wamejeruhiwa tazama video chini wazee wa kobaza wanamtaja Mungu tu kuponea chupuchupu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Hii base imepigwa kitu kizito chechen 40 wamekufa hapohapo 60 wamejeruhiwa tazama video chini wazee wa kobaza wanamtaja Mungu tu kuponea chupuchupu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Halafu tukiwaambia pro Russia kwamba kichapo anachotembezewa super pawer wa mchongo si Cha Karne hii wanaishia kutukana tu[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Unapokosea ni pale unaposema Russia Kuna silaha nyinginezo nzito hajazitumia ukiondoa nyukria.., ukweli ni kwamba urusi asingekubali kudhaliliika kiasi hiki wakati ana silaha nzito zaidi za kumpa ushindi mbali na nyukria

Ukweli ni kwamba urusi alitaka kuionyesha Dunia kwamba yeye ni super pawer kwa kuiteka Kiev ndani ya saa 72 lakini aligonga mwamba,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]As reported by Hohols[emoji298]

There was gossip that the scheme with provocation and the explosion of a dirty bomb could look like this:

“The shelling of the Armed Forces of Ukraine begins, at objects inside the territories controlled by the Russian Federation, for example, at warehouses or the industrial zone of one of the cities. Among all the rockets fired, one is fired with a dirty nuclear charge. A nuclear explosion occurs over the territory of the Russian Federation. Ukraine claims to have hit a Russian ammunition depot where “Russian terrorists” kept a nuclear warhead that they wanted to use to strike Ukraine.”

This version began to be discussed on the sidelines. Many say that it is very easy to implement. Ukraine has everything to create such a bomb. The Soviet Union gave Ukraine a lot, not only nuclear power plants and uranium mines, but also institutes, design bureaus and installations for creating such toys.

Yes, and the West would believe in the version of the Office of the President. That is why the Russians are so excited. And we decided to play ahead.
 
Kwanini Sasa upo Kwny 'International forum'?

Twende kule jukwaa la siasa au hoja mchanganyiko ili tukajadili mambo yahusuyo Tz.
Mkuu vitani huko watu wanashindia mikate ya UN na kila kukicha wanaokota maiti ili wazizike sehemu sahihi mpo busy kajadili umeme kweli? wacha mimi nionekane Tura ila naona vijana naowategemea wanaangamia kwa kushindwa kutumia Ubongo vizuri..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…