Mvamiwaji ndiye mtu hatari sana.Kichwa cha Zelensky matope kabisa, yeye na Biden ni watu hatari sana hapa Duniani kwa hivi sasa,Dunia hajawahi kupitia kwenye kipindi hatari kama kipindi cha utawala wa jamaa hawa wawili: Zelensky na Biden save utawala wa Hitler - safari hii itakuwa even worse kutokana na uwezekano mkubwa wa matumizi ya silaha za nuclear by miscalculation au deliberately.
As I said,narudia kuwakumbusheni kwa mara nyingine tena, kwamba Zelensky na Biden ndio watakuwa chanzo cha WW3 and they don't seem to care at all, unaweza kufikiri wao na familia zao na marafiki zao wa karibu na close relative watakwenda kuishi kwenye sayari ya MARS huku wakiiacha Dunia iteketezwe na silaha za nuclear.
Kwa bahati mbaya jamaa hawa wawil akili na busara kama za marehemu maRais Kennedy na wa Urusi Krustchev - akili hizo hawana kabisa, wanacho jali wao ni "how to get even with Putin" basi - hawataki kushindwa katika vita hii inayo endelea huko Ukraine, wako radhi kufanya lolote let what comes may, ni wazi wako determined kulipua "dirty bomb" ili wapate kisingizio cha kuitisha kikao cha dhalula umoja wa mataifa (UNO) kulazimisha Dunia imu- condemn sana sana Putin wapendekeze atengwe na Dunia, walazimishe Urusi hisiwe tena member wa UN na kuiwekea even more punitive sanction chungu mzima - huu ni mpango anaosukwa na Uncle SAM baada ya kuona vita ya Ukraine haviendi kama walivyo tarajia, hii inawauma sana hasa baada ya kuona kwamba sanctions dhidi ya Rusia zimebuma - ndio maana wanakuja na plan "B" ya kuimaliza Russia kwa mbinu za kishetani, tusicho juwa ni kwamba we dont know Russia ita-act/react vipi ikiwa Zelensky na Biden watalipua a crude nuclear bomb sehemu ambapo wapo wanajeshi wa Urusi huko Ukraine.
Sawa Sawa kabisaHuyu hapa mjeda wa Ukraine tumemteka hapo KhersonView attachment 2398978
Unachopindisha ni kwamba Musk pia alisema kwamba Marekani pia ina uwezo wa kuiangamiza Urusi yote.
Marekani haina haja ya kutumia tactical nuclear missiles kuiangamiza Russia wakati ina Makombora ya kutosha ya Trident II kwenye stealth submarines zake za Ohio. Trident moja inabeba 8-12 nuclear warheads.
View attachment 2399225
Yale mazezeta ya Wagner yamerudishwa nyuma na waUkraine huko Bakhmut,Yani yanapokea kichapo cha mbwa kokoAisee, mambo si mambo
Masaa 72 yamegeuka miezi 9 dadadeq... hakutegemea kabisa.Super pawer wa mchongo anazidi kudhaliliika aisee! Na hii yote imesababishwa na upumbavu wa fashisti anayejiita Putin.., akitaka kuionyesha Dunia kwamba yeye ni super pawer kwa kuiteka Kiev ndani ya saa 72 [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hahahaha Yani uko serious kabisa eti Musk kaongezea vice versa ili jeshi la Marekani lisikasirike kwamba eti haliwezi kuretaliate likishambuliwa na Russia?Soma vizuri nilicho andika kwenye para ya mwisho sionalimbilia ku-critisize bila ya ku-assimilate vizuri member alicho andika - there is no need to reinvent the wheel - is there???personally I don't think so.
Alafu nikuambie kitu Marekani ana military base 750 katika nchi 80Hovyo submirine zina maajabu gan ,sasa hivi yapo makombora yenye uwezo wa kusambaratisha manowari ikawa chuma chakavu ,ziko drones za underwater huwez ingia area ya marekan uache kuwa detectable.
Alafu nikuambie kitu Marekani ana military base 750 katika nchi 80 duniani ,hakuna utawala wowote tangu Rumi umewahi kufanya hivyo .
Hizo submirine unazosema chamtoto marekani ana submirine nyingi ukanda wa asia .
Usije ukaichukulia poa US na nchi ya pili kwa military base ni UK ambao wanazo 250 .wakati super power mandonga anazo 12.
Mmeletewa Himas 16 zimewaruudisha nyuma kabisa .anga la ukraine limewashindwa mnabaki kujiita super power.
Russia hana ubavu hata punje kushindana na US kajipange kijana
Wavaa pempas [emoji304][emoji2524][emoji304] watapita kama hawajaonaView attachment 2399280
Zelenski is the third Antichrist.
Our enemy.
Stop giving money to Ukraine.
Messages from protests in Australia against support for Ukraine
Jamaa anatetea mpaka vitu vya kufikirika tu .,yaani anatetea mpaka vitu visivyowezekana!Hahahaha Yani uko serious kabisa eti Musk kaongezea vice versa ili jeshi la Marekani lisikasirike kwamba eti haliwezi kuretaliate likishambuliwa na Russia?!!!! Hiki ni kichekesho cha mwaka,kama ingekua hivyo Putin si angekua kashaibutua Marekani Kwa Nyuklia kama ingekua haina uwezo wa kuretaliate!!!!!
Warusi wa buza wanakwambia operation ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo Inakwenda kama ilivyopangwa [emoji16][emoji1787][emoji28]Masaa 72 yamegeuka miezi 9 dadadeq... hakutegemea kabisa.
Most people do not listen or read with the intent to understand; They listen or reading to the article with the intent to reply pekee... So ukiona hilo wala lisikupe taabu kupoteza mda wako kumpa attention!
Ignore...
Mambo ya zaman hayo hata tanzania tulishqmpigaga ujerumaniAlafu nikuambie kitu Marekani ana military base 750 katika nchi 80
[emoji115][emoji115]
[emoji16][emoji38][emoji1][emoji23][emoji1787]
Halafu kachapika vibaya Vietnam north Korea Afghanistan somalia
Hawa warus wa kimandonga wanaota na labda hawaifahamu Marekani kiundani ,Putin na China wanamjua vema ,putin hawez kamwe kumshinda US ,hasa US akiamua kukomalia jamboHahahaha Yani uko serious kabisa eti Musk kaongezea vice versa ili jeshi la Marekani lisikasirike kwamba eti haliwezi kuretaliate likishambuliwa na Russia?!!!! Hiki ni kichekesho cha mwaka,kama ingekua hivyo Putin si angekua kashaibutua Marekani Kwa Nyuklia kama ingekua haina uwezo wa kuretaliate!!!!!
Upupu mkubwa sana umeandika na uwongo ni wajinga watakusapot et submirine zinapita bila kugundulika mmeshindwa hapo ukraine alafu unatuletea uozo uliojaa wadudu humuUnajua maana ya stealth lakini?? Mara ngapi submarine za Urusi zinapita chini ya bahari ya Mediterranian chini ya USA aircraft carrier group bila ya kuwa detected - hivi umewahi kusikia Russian black hole submarine unajua neno hilo linamaanisha nini, walio batiza jina hilo kwa baadhi ya submarine za Urusi ni Wamerikani wenyewe unajua kwa nini - sasa sisi ma lay people ndio tujifanye tunaelewa masuala ya uwezo wa sonar transponder/transducers za kimerikani kuliko Wamerikani wenyewe wanao kiri kwamba wakati mwingine ni vigumu sana ku-detect some Russian under water stuff!! Wewe umesema kwamba USA ina uwezo wa ku-install short range missiles hardly 300Km from Russian border mimi nikakubusha kwamba Russian too gotta them stealth under water stuff hibernating within stone throw from east and west coast of US including Gulf of Mexico niliongezea neno stealth for a good reason - kwa kifupi ninacho taka kueleza ni kwamba USA ikijifanya ikijifanya inajua huu na Warusi wanajuwa wata counter vipi threat - sijui kwa nini mnapenda penda sana ku-inflate uwezo wa kijeshi wa Taifa la Merikani - why, lini waliwahi kupigana vita na an equally military tough nation wakashinda - tupeni ushahidi, tunacho sikia sana sisi ni omni present MSM propaganda wakiimba ngonjera za kutisha tisha watu kuhusu uwezo mkubwa wa Mungu wao mdogo wanataka kulazimisha Dunia ifute imani zao potofu or else....
Hivi hizo drone za Marekani sizilipelekwa mwanzoni mwa mwezi 4 zika shindwa kuonesha matokeo?
Hizo drone za Marekani si ndo zinalipuliwa kalibia kila siku, kila zinapo jaribu kuingia kwenye anga la Iran? au unasemea drone zipi?