Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hahahaha kumbe hawana wateja ndo maana wanataka kuzuia deal na UN ili nafaka za Ukraine zisitoke[emoji23] kweli Babu Putin kabanwa[emoji1782][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji298]️The spokeswoman of the Ministry of Foreign Affairs of the Russian Federation, Maria Zakharova, said that Russia allegedly faced problems with the export of agricultural products, so it may not agree to the extension of the grain agreement.
 
Hipo hivi.

Wakati wanakubaliana ile Ukraine Grain Deal, walikubaliana na Russia Agri products ziwe exported.

Hiyo ndio deal waliokubaliana.

Sasa kilichotokea Ni kwamba, Westerns wameendelea kuweka vikwazo kwenye Russia Agri products. Kwa hiyo hapo Kuna violation ya hiyo deal

Ndio maana Sasa, Russia wanasema kwamba hiyo deal haiwezi kuwa renewed kwa sababu Kuna violations.

Hope you understand now.
 
Mkuu unaongelea air force gan ya Russia ambayo imeshindwa kumiliki anga la ukraine , watu wengine mahaba yanawasumbua sana ,husomi habari , mapro russia wenzako hawajakuambia hilo?unachekesha sana

Zungumza mambo ya kuelimisha watu yaani an independent analysis kuhusu mwenendo mzima wa vita unavyo kuwa conducted pamoja na maoni yako baada ya kupitia sources ambazo ni very
reliable na sio tabloid paper sources hicho ndicho kinacho takikana ili watu wapewe habari/taarifa za kuaminika, kwa bahati mbaya naona mwenzetu badala yake unakimbilia ku-manufacture "tirades" tuuu zisizo kuwa na mantiki hata kidogo - mara ooh Warusi wa Buza,mara ooh Warusi wa Magomeni - mambo ya kitoto toto tu na ku-copy copy na ku-paste kutoka kwenye highly questionable sources, mnashindwa hata kutofautisha between CGI generated video clips and digitally manipulated photos, nyinyi mnadhani vyote hivyo ni real stuff, halafu mnakwenda mbali zaidi mnazijengea hoja, just emulating Zelensky Military propaganda to the letter!!

To drive point home, kuna sehemu nilicommet kwamba si rahisi jeshi la Zelensky likazingira jeshi la Urusi wakati Urusi ina miliki formidable Air force, badala ya kuni hoji na maanisha nini naona mwenzetu badala yake unasema haiwezekani, mbona Urusi imeshindwa kumiliki anga la Ukraine - unacho sahau ni kwamba Urusi amekwisha haribu takribani asili mia 85% za Airforce ya Ukraine, hivi sasa Russia ina uwezo wa kufanya lolote kwenye anga la Ukraine by flying their fighter planes and bombers at higher altitude ili kukwepa shoulder fired MANPAD,kitu kinginev Russia haitumii airforce sana nchini Ukraine anaziweka/park kwenye hangar ili zije kutumika kama NATO/USA watahamua ku-attack Russia whether by accident au delibarately - ndio maana Russia haitumii sana ndege zake kwenye vita ya Ukraine badala yake anatumia:
1) Missiles.
2)Artillery.
3) MRLS.
4) DronesKamikaze/Kalashnikov.
5) MANPAD.
6) Konnet ATGM.

Hizo ndio zilikuwa sababu zangu za kusema jeshi la Russia aliwezi kuzingirwa kirahisi wakati wana helicopter gunships, Sukhoi 24 tank buster na fighter bombers and jetfighters chungu mzima that is what I meant, lakini nyinyi badala ya kuleta maoni mbadala mna target members fulani kwenye forums hii hasa wenye maoni mbadala ambao si bendera fuata upepo, mna waporomoshea maneno ya shombo, wakati mwingine mnawatukana kabisa, mnafikia mpaka hatua ya ku-question akili za watu kama ziko sawa, just to get even bila sababu zozote za msingi zaidi ya EGO zenu za ajabu - sasa swali ni: kawapa nani mamlaka ya ku-run JM as if nyinyi ni kama ma-share holders-yaani forums nzima imekuwa turned up side down and inside out!! Mvuto wa zamani wa JF umeanza ku-decay exponentially kabisa kutokana na unbecoming behaviours zenu.
 
Huyu Bibi Alikua Pro Russia kabla ya kushika madaraka lakini sasa kageuka 180°

“The only way to facilitate a peace deal between Russia and Ukraine is by helping Kyiv to defend itself militarily.”

New Italian Prime Minister Giorgia Meloni spells out her support for arming Ukraine.

Kila siku humu tunawaambia hao viongozi wa Magharibi wanaosema sema Nje bado hawajaingia vizuri kwenye system maana wakiingia hua wanapiga U-turn ya Kasi ya 5G

 
Baada ya juzi Russia kupiga oil storage za Ukraine,Ukraine nayo imejibu. Tit for tat [emoji1787][emoji1787]

The oil depot in the temporarily occupied Shakhtarsk is on fire.

 

Attachments

  • IMG_20221028_010023.jpg
    400.7 KB · Views: 15
Baada ya juzi Russia kupiga oil storage za Ukraine,Ukraine nayo imejibu. Tit for tat [emoji1787][emoji1787]
Ni kichapo tu mpk wanapagawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

After the explosion in Shakhtyorsk, the RT propagandist immediately switched from English to Russian.

Somehow failed to impersonate a foreign journalist

 
Usijari mkuu there is always a bad apple in a tree baadhi ya pro nato wanajaribu kujibu kwa hoja ila wengine ni mahaba tu
 
What is happening to snowden and julian assange ndio free speech wanayo preach hao lowlife west
 

Mambo mengine ni suala la kutumia logic tu, sio lazima awe amesoma taaluma ya saikology kuliko father wa somo la saikology Dr.Sigmund Freud.

Kama US ndio ingekuwa na uwezo mkubwa wa masuala ya thermonuclear na deliverys systems hatarishi-kwa nini Elon Musk alizungumzia kuhusu uwezo wa Urusi kwanza halafu akamalizia onyo lake kwa Dunia kwa kuongezea neno "Vice Versa" ni wazi alilisema hilo just to please American Military, lakini deep down alijuwa message imekuwa sent and delivered, mntasema lolote ili kufurahisha roho zenu, lakini ukweli ndio huo Elon Musk alikuwa anaionya Merikani indirectly pamoja na Mataifa ya Ulaya specifically Uingereza kuhusu hatari inayo weza kuikumba Merikani, Ulaya na Dunia nzima hiwapo Merikani na Uingereza wataendelea kuichezea/chokonoa taifa la Urusi - my opinion.
 
Usijari mkuu there is always a bad apple in a tree baadhi ya pro nato wanajaribu kujibu kwa hoja ila wengine ni mahaba tu

Shukrani mkuu, barikiwa sana - nafikiri tatizo ni malezi vile vile na ukosefu wa somo la values kwenye mashule ya Sekondari - tatizo hili sio dogo hapa Tanzania majirani zetu hawana tatizo hilo binadamu kwa binadamu wana heshimiana sio Tanzania bwana aibu tupu.
 
View attachment 2399741
31 Countries against 1 Country alafu mnasema Russia ana jeshi dhaifu serious?
hapo anaetoa silaha za maana kwa ukraine ni US na UK na German kidog, hao wengine wote ni Nato jina tu hamna kitu, sasa sijui kanchi kama Latvia na Estonia sijui unaweza kuzihesabu kweli kwamba zinamchangia mrusi? hao hata tukiwaleta huku mkuranga si tunawala vichwa tu?
 
What is happening to snowden and julian assange ndio free speech wanayo preach hao lowlife west

Again well said - west walisha jioni they own this World they can do what pleases them without questions asked, always overly arrogant - we fikria walivyo wa ajabu - wanatumia vyombo vyao vya habari kujenga hoja kwamba Putin and his inner circle officials are war criminals, lakini linapokuja suala la Bill Clinton na Madellin Albright kupiga mabom mfururizo huko Yugoslavia na kuua raia wengi walitumia mpaka depleted Uranium kubomoa madaraja pamoja ni vifaru, mionzi ya Uranium bado inawaletea madhala makubwa raia mpaka sasa wanaugua cancer na watoto kuzaliwa wakiwa na birth defects chungu mzima.

Kwa bahati mbaya au nzuri sijawahi kusikia UN ikisema kwamba Clinton na mwenzake waburuzwe mahakama ya kimataifa huko the Hague, vivyo hivyo kwa Bush Sr na Bush Jr, Obama, wote hao Dunia hipo kimya kabisa linapo kuja suala la kutaka ku press charges za war crimes kwa former Presidents wa Merikani - sasa angalia wanavyo msakama Putin kwa kutunga Mickey Mouse charges raise against him, jinsi media za magharibi zinavyo msakama unaweza kufikiri labda Putin is the SON of Lucifer -ulaghai tu, nchi za magharibi hawamtaki Putin kutokana na msimamo wake wa kuwawekea a monkey spanner kwenye mipango yao ya NWO na Unipolar World ni hilo tu, masuala ya Ukraine ni secondary.
 
Unaujua UJAMAA VIZURI WEWE??

Au unadhani UJAMAA ni ule mliodanganywa na Juliasi ??

China kuna Vijiji vya Ujamaa??

Kasome philosophy ya Jumaa kutoka kwa Mao na Marx kwanza ndo uuongelee
Kwan wachina ni wajamaa pure?
Wachina ndio wanafata phylosophy ya Marx pure?
Inshort ujamaa wa kweli marxist ni theories tu, haujawahi kuwa practiced,nchi zilizoukaribia ni ile USSR iliyoanguka.
Tatizo ni kuwa hyo system ilifeli kiuchumi duniani kote.

Kilichobaki ni kushikilia tu ujamaa kisiasa na ubepari kiuchumi.
Dunia ya saivi ni ya kibepari kiuchumi mostly. Ideas za marx zilifeli.

China by the way kisiasa pia sio pure socialists ni democratic socialism kama bongo.
Kiuchumi china kuna mixed economy ambapo mostly kuna capitalism na free market lakin hapohapo serikali inamiliki major sources of production na sometimes kuna command economy.
Urusi na yenyewe ni mixed kiuchumi, kuna mambo ya ujamaa na ubepari humohumo. Lakini kisiasa ni oligarchy.
nchi nyingi zilirealize mapema kuwa ili kukua kwa kasi inabidi uchumi uwe wa free market na competition (ubepari) lakini ili kuondoa classes kuwe na aspects za ujamaa kwenye siasa na uchumi kidogo.
hata marekani sio pure caputalists maana hadi wao wana public schools.
inshort haya macapitalism, socialism communism sio black and white..Nchi nyingi ni mixed, sema tofauti tu ni wapi imeegemea zaidi...na ipo kama spectrum.
 
Udikteta ni nini??..

Wewe umekula udikteta acording to West.
Udikteta ni autocracy ambapo mara nyingi kuna totalitarianism(mtu mmoja au watu wachache wanafanya maamuzi yote), halafu wananchi hawana maamuzi yoyote juu ya serikali.
Udikteta Unaweza kuwa wa mtu mmoja kama Hitler, monarchy(wachache kutawala kwa kurithi) au oligarchy (kikundi cha watu wachache wanatawala)....Oligarchy inaweza kuwa Theocracy(kikundi cha kidini kinatawala kama kina Ayatollah wa Iran), plutocracy(wenye hela wachache ndio wanatawala kama urusi) au stratocracy(utawala wa kijeshi).

udikteta wa Ukoo una tofauti gani na Monarch ya uingereza??

yes Monarchy ndio udikteta wa ukoo, lakini england sio monarchy wale ni Perliament democracy maana executive power inatokana na Bunge wala sio hao kina Kings na Queen, zamani england ilikuwa monarchy lakin baada ya kuhamia democracy ndio hao makings na queens wamebaki kama pambo tu la traditionally.
Huwezi kulinganisha Uingereza na North Korea.

Mwisho nani anamfuata mwenzake kumsumbua??… Nani Chokonozi la mifumo ya mataifa mengine??..
Kuhusu kumfuata mwenzake kumsumbua wala usishangae. Hio ni nature ya binadamu.
Binadamu tunapenda kulazimisha binadamu wengine waamini tunachoamini, maana tunajua hiyo ndio njia pekee ya kuacha alama hapa duniani. Tunajua miili yetu itakufa ila ideas zetu zitabaki vichwani kwa wengine na wao watarithisha wengine.

Ndiosababu tunakesha kubishana humu jukwaani,
Ndio sababu tunahubiriana makanisani na misikitini,
Ndio sababu tunafundishana mashuleni
Ndio sababu tunavamiana jamii moja na nyingine.
Ndiomaana kila kabila hapa bongo linataka lenyewe ndio liwe na power
Ndiomaana wazazi wanataka watoto wawe kama wao

Sasa kwasababu kila mtu ana nature hivyo, Nani sasa amsikilize mwenzake na nani amwaminishe mwenzake? Ndio hapo inakuja mwenye nguvu hutumia nguvu yake kufanikisha.
Nguvu inaweza kuwa ya kiuchumi, kimaarifa, kisiasa, kimamlaka nk.
Mchungaji/sheikh ana nguvu ya kuaminisha wengine kwasababu za kimaarifa/kimamlaka
Mwalimu ana nguvu kwasababu za kimaarifa
Raisi ana nguvu kwasababu za kimadaraka
Mzazi kwasababu za kijamii

Sasaivi mnaona kama US ndio bingwa wa kuvamia kwasababu ana nguvu kiuchumi.
Lakini nchi/Jamii yoyote ikiwa na hiyo nguvu lazima ifanye hivyo..lazima ivamie jamii iliyo weak ili kuibadilisha .
Ndiomaana waislam walipopata nguvu kupitia Ottoman empire walivamia nchi nyingi na kuueneza uislam kuanzia medina mpaka middle east yote, uturuki, spain mpaka Afrika mashariki yote.
Waroma kupitia roman empire walipokuwa na nguvu walivamia ulaya nzima.
Urusi walivamia kuitengeneza USSR
Uingereza na Ujerumani nao walivamia karibia dunia nzima nk. Nk. Nk.
Hizo jamii zote zimeacha legacy..waingereza wameacha kiingereza, waroma wameacha ukristo na waarabu wameacha uislam. Nk. Nk.

Kwahyo hata ikitokea Marekani akaanguka akaja mchina, Basi lazima nayeye ataanza kulazimisha ideas zake zitumike duniani kote.
Hiyo ni nature ya binadamu na huwezi kuipinga.

Labda uruke mkojo huu utue kwenye mavi mengine.

Kwahyo solution, ni kuwa na identity yetu sisi kama sisi waafrika, na kujikuza kiuchumi, ili nasisi tuanze kuinfluence majirani kuwa kama sisi ili nasisi tuache legacy...maana tukiwa weak lazima tuvamiwe tubadilishwe na identity yetu ipotee.
Kama ilivyo saivi kijana wa kawaida wa kitanzania hajui kilugha chake ila anajua kiingereza utadhani kazaliwa washington.
 
Utawala wa Magharibi unapaswa kubadilishwa na makubaliano halisi na heshima ya wote, kiongozi wa Urusi alisema.

Ulimwengu unaingia katika muongo mmoja wa machafuko wakati harakati za kuwa na utaratibu wa haki zaidi duniani zikizozana na utawala holela wa nchi za Magharibi, Rais wa Urusi Vladimir Putin alisema Alhamisi, akihutubia mkutano wa kila mwaka wa Klabu ya Majadiliano ya Valdai.

Hotuba ya Putin ilianzia kwa bayoanuwai hadi "kufuta utamaduni," asili ya kile ambacho nchi za Magharibi inapaswa kutoa na majibu ya Urusi, ikifuatiwa na masaa ya kujibu maswali ya watazamaji. Hapa kuna mambo sita muhimu kutoka kwa hotuba yake ya ufunguzi.

Soma:
1. The West stokes conflict to preserve hegemony

From inciting conflict in Ukraine and provocations around Taiwan to destabilizing the world food and energy markets, the US and its allies have been escalating tensions around the globe in recent years and especially in recent months, Putin said.

“Ruling the world is what the so-called West has staked in this game, which is certainly dangerous, bloody and – I would say – dirty. It denies the sovereignty of countries and peoples, their identity and uniqueness, and disregards any interests of other states,” the Russian president explained. In their so-called “rules-based world order,” only those making the “rules” have any agency, while everyone else must simply obey.


However, the West has “no constructive ideas and positive development, they simply have nothing to offer the world except the preservation of their dominance.”

2. Rules for thee but not for me

The West insists its culture and worldview should be universal, Putin said. While not saying it outright, they behave as if these values must be unconditionally accepted by everyone else.


Yet when some other countries, notably China, began benefiting from globalization, the West “immediately changed or completely canceled” many of the rules it long insisted were set in stone and sacred, Putin said, with free trade, economic openness, fair competition and even property rights “suddenly forgotten at once, completely.”


“As soon as something becomes profitable for themselves, they change the rules immediately, on the go, in the course of the game.”


3. “Cancel culture” and canceling culture

Believing themselves infallible, the rulers of the West desire to destroy – or “cancel”– those they dislike. Where Nazis burned books, the Western “guardians of liberalism and progress” now ban Dostoevsky and Tchaikovsky, Putin said. Liberal democracy has transformed into something unrecognizable, declaring any alternative viewpoint as propaganda or a threat, he added. The so-called “cancel culture” destroys anything that is alive and creative, preventing any freedom of thought in culture, economics or politics alike.
“History, of course, will put everything in its place,” Putin said, adding that the the self-conceit of those who seek to cancel them is off the charts, “but no one will even remember their names in a few years, while Dostoevsky and Tchaikovsky and Pushkin will endure.”

4. Russia does not seek domination

Russia is an “independent, original civilization” and “has never considered itself an enemy of the West,” Putin said. Since antiquity, it has had ties with the West of traditional Christian and Muslim values, freedom, patriotism, and a rich culture. There is another West, however – “an aggressive, cosmopolitan, neocolonialist, acting as a tool of neoliberal elites,” Putin said, “whose dictates Russia will never accept.”

Even so, Russia is not throwing a gauntlet to the elites of that West, but “simply defends its right to exist and develop freely. At the same time, we ourselves are not seeking to become some kind of new hegemon,” Putin said.

5. Western hegemony is ending

“We are standing at a historic milestone, ahead of what is probably the most dangerous, unpredictable and at the same time important decade since the end of World War II. The West is not able to single-handedly manage humanity, but is desperately trying to do it, and most of the peoples of the world no longer want to put up with it,” Putin said.


Conflicts arising from this tumult are threatening the entire humanity, and constructively resolving them is the principal challenge ahead, according to the Russian leader.


No one can sit out the coming storm, which has acquired a global character, Putin said. Humanity has two choices, “either to continue to accumulate a burden of problems that will inevitably crush us all, or to try together to find solutions, albeit imperfect, but working, capable of making our world safer and more stable.”

6.What multipolar world should look like

In a truly democratic multipolar world, any society, culture and civilization should have the right to choose its own path and socio-political system. If the US and Europe have that right, so should everyone else. Russia also has it, “and no one will ever be able to dictate to our people what kind of society we should build and on what principles.”
The biggest threat to the political, economic, and ideological monopoly of the West is that alternative social models may arise in the world – and would be more effective and more attractive.

“Above all, we believe that the new world order should be based on law and justice, be free, authentic and fair,” the Russian president said.

“The future world order is being formed before our eyes. And in this world order, we must listen to everyone, take into account every point of view, every nation, society, culture, every system of worldviews, ideas and religious beliefs, without imposing a single truth on anyone, and only on this basis, understanding our responsibility for the fate of our peoples and the planet, to build a symphony of human civilization.”
 
Huu ni Uzi wa tatu kuhusu Putin nachangia usiku huu. Yote imeletwa mipya wa kwako nachangia saa Tisa na dk ishirini na nane usiku. Putin ana wafuasi ambao hawalali kweli nimeamini hawamuwezi. .

Angalia wafuasi wote wa Ukraine na America wanaota muda huu. Tena wameenda kulala bila kuoga na shida hii ya maji. .
 
[emoji1787]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…