Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii ni jana wamekimbia Kherson baada ya kuchakazwa sana wengine wamekufa tazama video ya kuokota yuutubu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Na ndo maana lazima vita ukraine iendelee...........watu wanadhani vita ikiwa ndefu anakomeshwa urusi......hii vita mrusi anacheza karata zake pia hasa kwenye kupata ushawishi Afrika na mashariki ya kati, Saudia ameshaanza kumtunishia msuli mmarekani.....watu wana mipango.............na anakwambia sasa ni mwisho wa unipolar world huu ni mda wa multipolar world watu hawataki kupangiwa mambo na wamagharibi
 
Chant Down Babylon,,,,........Viva Putin
 
umeona hapo jibu liko pale pale. isingekua nguvu ya Us na Uk ukraine asingeweza kumdhibiti mrusi kwa kiwango alichofanya, ukiacha german na poland, hao wengine ni vijisenti tu wanatoa
 
Huyu mwehu yeye ameingia ktk nchi nyingine huru, ameua! ameharibu na amefanya ukatili mbaya kabisa!
Anachohubiri sasa ninini! Huyu dawa yake ni kumuua haraka kuleta utulivu!
 
Wanaitumia democracy kupenyeza agenda zao not otherwise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…