kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,335
- 9,577
Atazitungua na hamna kitu mtafanyaBabu Putin tunakusubiri utungue hizo satellite ulizosema unataka kutungua uone Moto wake[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji298]️USA will respond in case of Russian attack on commercial satellites, — White House
US National Security Council representative John Kirby said that any attack on US infrastructure would be met with an equal response.
There will never be a multipolar world.Na ndo maana lazima vita ukraine iendelee...........watu wanadhani vita ikiwa ndefu anakomeshwa urusi......hii vita mrusi anacheza karata zake pia hasa kwenye kupata ushawishi Afrika na mashariki ya kati, Saudia ameshaanza kumtunishia msuli mmarekani.....watu wana mipango.............na anakwambia sasa ni mwisho wa unipolar world huu ni mda wa multipolar world watu hawataki kupangiwa mambo na wamagharibi
Akijibu niite mbwa niko paleeKati ya Ushoga na Ujamaa unachagua nini?
Wanaitumia democracy kupenyeza agenda zao not otherwise
Mkuu naona umepitiwa phase 2 iliishapita sasa hivi ni phase 3.That is still not my point.
Kwanza mimi sio pro west wala pro east...mi ni pro African, soma ID yangu.
I dont care kuhusu ideology za west au za putin...nachoangalia hapa ni hii timing.
Kama Putin ameanza kupondea ushoga kipindi hiki cha hii vita.
Basi ujue vita haiishi leo wala kesho.
Ujue tumekaribia kuingia phase 2
Hapa putin anajaribu kurecruit more allies.
Na karata kubwa aliyo nayo ni kujifanya yeye ni Anti ushoga ili apate support kubwa zaidi ya middle east, Africa and China.
Nachosema mimi ni kuwa, hii ni dalili tumekaribia kuingia vita kubwa sana.
Fungeni mkanda, safari ndio inaanzA
Mkuu leo hujameza dozi za kutuliza uwendawazimu nini?!Urusi imeukomboa mji wote wa yampil maiti nyingi za jesh la ukraine zimezagaa mji mzima
Mapigano yameanza kusikika karibu na jiji la izyum
Jeshi la ukraine limeshindwa kusonga mbele kwa muda wiki mbili sasa
Ndo hivyo penda usipende ila watu ndo wameshaamua hivyo.....na hio ndo New World Order iliyokua inasubiriwa kwa muda mrefu, shida wa magharibi walijua ndo wao watakua wamekalia kiti ila kumbe kuna wengine walikua wameshajipanga pia,,Africa japo haina identity yake ila inaweza kwenda kama ilivyokua kabla ya ukoloni maana hawa jamaa agenda yao ni kumaliza yale ya wamagharibi, kwahio uislam na imani za asili zinaweza pata nguvu sana na wengi watakua kwenye imani za asili kupitia kivuli cha dini aidha ukristo au uislamThere will never be a multipolar world.
Siku zote mwenye nguvu lazima atataka kucontrol kila kitu. Fatilia historia ya hizi empires.
Hiyo multipolar world wanayoihubiri kina putin na China ni ngazi tu ya kufikia unipolar nyingine.
God forbid itokee WW3, Urusi+China +Middle east waungane na west ianguke, Hapa lazima baada ya hapo Mwenye nguvu atataka kutawala...So Urusi na China watataka tena kucontrol dunia nzima.
itatokea tena struggle ya china socialist Vs Rusia Communist block. Kama ilivyo saivi west Vs East.
Tutarudi kulekule tu.
Middle East na Africa tunatumiwa na hawa jamaa kama kete tu, hawana nia na sisi wala hawatupendi, Siku wakipata hyo power wanatugeuka.
ila afadhali Middle east nayeye ana ideologies zake za kidini ambazo nayeye akipata power anaweza kuzipush, sisi wa africa ndio hopeless kabisa maana hatuna identity yoyote, Ujamaa tumo, Uislam tumo, ubepari tumo yani makondoo tu fata upepo.
Kwanini hakusema yote haya mwaka jana au juzi?
Kwann sheria za kupinga ushoga ndio zinapitishwa saivi urusi?
Tumia akili wewe Muafrika.
Putin anajua akifanya hivyo atapata support kubwa ya middle east na China.
Na lengo lake hapa hasa sio kupinga ushoga, lengo lake ni kupata support kama ikitokea vita ya WW3
Mkuu, mm sioni kama umehukumiwa kosa. Naona jamaa kachambua iyo Taarifa na ameweka hoja zake kumhusu hiyo hotuba ya Putin. i.e. Hicho anachokisema Putin kwa sasa ktk Hotuba yake hiyo kinatia wasiwasi. kwa maneno rahisi ni kwamba, Afrocentric anaona Putin ana Agenda ya siri.Mi nimeleta taarifa mkuu. Ndo kosa langu??
Pole mvaa pempas [emoji304][emoji2524][emoji304]Huyu ni mwehu kama hataki west walazimishe huo ugasho yeye mbona analazimisha wengine kuwa wajamaa