Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kifurushi kingine kipo tayari

[emoji298]️Associated Press: US to send additional $275 million in military aid to Ukraine.

The Pentagon is sending Ukraine a new $275 million package of weapons and other aid, U.S. officials who spoke on conditions of anonymity told Associated Press on Oct. 27.
 
Mi nimeleta taarifa mkuu. Ndo kosa langu??

Imeonekana unaipigia chepuo sana kuonyesha na wewe unaiunga mkono ilhali Putin sasa hivi anapumulia mashine anatafuta namna ya kutokea maana sasa hivi ni miezi 8 huko Ukraine hakuna kitu anachofanya hata ha too taarifa huko Kherson kumetokea nini akili mwako sasa hivi anajuta Kwa nini aliivamia Ukraine na anatafuta namna ya kutokea.Kibaya zaidi Ukraine hawataki kuongea na mvamizi aliyevamia nchi yao Kimabavu.
 
US NA RUSSIA “Neo Colonialist” hasa ni nani?..
Nani Manipulator mkubwa.

Mzee Pro West mnapenda kushawishiwa kuliwa?

Kama unavyoliwa wewe?Unajua nawashangaa sana hawa wanaomshabikia Mvamizi aliyevamia nchi nyingine Kwa kusikiliza Propaganda zake uchwara sasa kila mmoja imekuwa wimbo wa Ushoga wakati humjui kuwa hiyo ni Propaganda Ili aungwe mkono na jumuia.Huo Ushoga mnaouongelea ndiyo mmeanza kuusikia Ukraine? Mbona hata hapa kwetu wapo watu wengi tu na hawajaanza leo sisi tumekua tukisikia mchezo huo uko sana Mikoa ya Pwani na ililetwa kwetu na majahazi ya waarabu.
 
Kabsa Putin Yuko sahihi Sana,Mimi nilikuwa shabiki Mkubwa sna ligi ya uingerza toka naona wanavaa maupinde Yao kwenye vitamba vyao naichukia kabsa

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Si wanasema atakufa Muda Sio MREFU!?

Angalau anapinga ushoga huyu Jamaa! Namsapoti KWA hilo!!!

Je hao wanaosapoti America wanaunga mkono ushoga!!?

Mashoga utawajua tu Kwa kauli zao.Midomoni mwao hawaachi kutamka Ushoga maana ndiyo kazi yao na wanawasakizia wengine ili kuficha Ufuska wao Kwa Jamii.
 

White House says US will 'hold Russia accountable' if they attack commercial satellites in Ukraine​

Paul Best
Fri, October 28, 2022, 1:01
The White House on Thursday said that any attacks on U.S. satellites or infrastructure will be met with an "appropriate response" after a senior Russian official told the United Nations that the Kremlin sees commercial satellites helping Ukraine as "a legitimate target for retaliation."
National Security Council spokesman John Kirby said that Russians have been "trying to pursue anti-satellite technology and capability."
"Any attack on U.S. infrastructure will be met with an appropriate response in an appropriate way," Kirby told reporters Thursday. "And we're going to continue to pursue all means to expose, deter and hold Russia accountable for any such attack should it occur
 


Putin, tunaomba utuhurumie. Sisi wengine hatumo kwenye huo mkumbo.
 
Taarifa ya Aljazeera leo:


  • Russian President Vladimir Putin showed no regrets for the war against Ukraine, insisting it was going to plan as he played down any nuclear standoff with the West, while both sides prepared for what could be a key battle in Kherson in Ukraine’s south.
  • Chechen leader Ramzan Kadyrov, a close ally of Putin, said 23 of his soldiers were killed and 58 wounded in a Ukrainian artillery attack this week. The comments were unusual given that pro-Moscow forces have rarely admitted to major battlefield losses.
  • Russian attacks on Ukraine’s energy infrastructure were forcing electricity cuts in the capital, Kyiv, and other places, officials said.
  • “Shelling will not break us – to hear the enemy’s anthem on our land is scarier than the enemy’s rockets in our sky,” Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said in a video address.
  • In Kherson, Ukrainian forces killed 44 Russian servicemen in the past 24 hours, the Ukrainian military said in a Facebook post. It also said Ukrainian forces destroyed an ammunition depot and a hangar with equipment.
  • The Russian defence ministry, which said its forces had repelled attempted Ukrainian advances in the east, said it had destroyed a Ukrainian military factory producing solid rocket fuel, explosives and gunpowder near the town of Pavlohrad in the Dnipropetrovsk region. It said it had also shot down a Ukrainian air force Mi-8 helicopter.
  • A senior Russian government official raised the possibility that Russia could shoot down Western commercial satellites being used to help Ukraine’s war effort.
  • Russian-installed authorities in Ukraine’s occupied region of Zaporizhia ordered phone checks on residents, announcing the implementation of military censorship under Russia’s martial law decree.
  • Ukrainian troops are holding out against repeated attacks near the two eastern towns of Avdiivka and Bakhmut in the Donbas region, Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said, describing the Russian tactics as “crazy” as the war in Ukraine dragged into a ninth month of fighting.
  • Zelenskyy promised to retake Kherson as his adviser said Russia is digging in for “the heaviest of battles” there.
  • Ukraine’s counteroffensive against Russian forces in the southern Kherson region is proving more difficult than a previous offensive in Kharkiv because of wet weather and the terrain, Ukraine’s defence minister Oleksii Reznikov has said.
  • Russia continues to make the case that Ukraine intends to detonate a “dirty bomb” with radioactive contaminants. Kyiv has denied that. Slovenia said one of the images Russia has used to claim Ukraine is planning to detonate a dirty bomb was an old photo of smoke detectors taken in Slovenia.

Economy​


 
Tufahamu kwanini Russia inautaka mji wa Bakhmut?

Russia ikiukamata mji wa Bakhmut itakuwa umevuruga kabisa njia zote za usafirishaji silaha za Ukraine na pia kufungua njia kuekea miji ya Kramatorsk na Sloviansk.

Hii miji miwili ndo yalipo majeshi ya Ukraine na silaha zote hupelekwa sehemu hiyo.

Hii ni tofauti kidogo na mji wa Kherson ambapo Ukraine bado wajitahidi kusogea upande wa magharibi mwa mto Dnipro.

Mji wa Kherson nao ni mji muhimu kwa Russia kwani una njia pekee ya barabara ya kwenda Crimea sehemu ya mwisho mwa mto ambayo yaunganisha Ukraine na Russia.
 
Ni aibu Russia inayojitaja kama superpower kusaidiwa na Iran.Mimi nilitegemea wangemaliza vita toka mwezi wa 2 na kupata ushindi
Kuna tofauti ya kusaidia (kama afanyiwavyo Ukraine) na NATO+US na kununua silaha kutoka kwa suppliers.

Russia yanunua silaha kutoka sehemu mbalimbali kwa fedha zake.

Ukraine yasaidiwa silaha na fedha kutoka NATO+US ambao wazilipa kampuni na viwanda vya silaha ambavyo navyo vyafaidika na vita.

NB: Russia na Iran wamekanusha kuuziana UAV za Shahed 300.

Iran nao wamekanusha kumuuzia Russia kamikaze hizo na wametaka ushahidi utolewe.
 
Russia wameanza leo kuupinga ushoga??
Au umeanza kuifuatilia baada ya vita!..

Kwani Adui mkubwa wa Western Civilization ni nani????
Mwanzo ulipobanwa mbupu ulisema wewe ni reporter tu wa habari ila ghafla umegeuka tena kuwa mtetezi na msemaji wa Serikali ya Kremlin.

Sijui lini waafrika wenzangu mtajitambua na kuanza kuwa free mentally.
 
Asante sana kwa kutuheshimisha na kuongeza ubora wa uzi huu. Hii ndiyo njia nzuri ya kutoa elimu kwa wale wanaoitafuta. Asante sana Mkuu. Ubarikiwe. Amen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…