Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Putin anachukia ushoga ni sawa tunaungana naye lakini kwann ameuwa raia na kinyama ukrean? Kharkib makaburi za ya 400 maiti zimefukuliwa na kuchunguzwa zimeonekana kabla ya kuuliwa walikuwa touchard na kusulubiwa sana sana kwanini mtu anayekataa ushoga anakuja unyama kiasi hiki?

Swali je tupinge mila za West ushoga au tupinge unyama aliofanya na anaendelea kufanya putin, putin aliuwa watoto wachanga Syria na watu wengi sana kama ambavyo US waliuwa Iraq na Afghanistan nk, Mi nadhan putin kuna wakati hujifanya yuko sahihi lakini ni mnyama na dikteta asiestahiki kuachiwa hata kwa dakika 1 zaidi

Ivi ni kwanini putin hataki mjadala wa yeye kumaliza muda wake urais urusi kila siku anawaza kubaki madarakani ni jambo gani hasa
 
Mtangazaji wa kipindi anauliza swali, anasema; "ni kitu gani cha thamani ambacho nchi za magharibi zimekifanya kwa dunia?"

Ukitazama studio anayotumia mtangazaji, mezani pake kuna iPad na kipaza sauti kutoka kampuni ya kimagharibi.,,,,,,,

[emoji15][emoji15]Meli 2 za chakula zimeenda Afrika,baada ya katibu UN kumwomba Putin afungulie chakula,zaidi ya sabini zimeenda Ulaya,ona njaa walokua nayo kelele tupu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mweleweni basi Putin,maeneo muhimu ya chakula Cha kulisha Ulaya kayatia kwapani Uikrane,tega sikio kifuatacho.
 
West walijifunza Crimea 2014. Mazungumzo yatakuja baadaye sana baada ya West kuhakikisha kwamba wameifikisha Russia mahali pa kuelewa kikamilifu itegemee muitikio wa kiwango gani ikijaribu kuvamia tena jirani zake.
Wote wawili hawataki kujishusha sio Putin wala Biden.
 
Mbona tuliambiwa air defense za nato zipo toka muda so now wameanza kutoa visingizio kuwa hazikuwepo. Nachoamini mimi lazima zilikuwepo ila ilijitokeza kama ile ya saud arabia thidi ya drone za iran. Hii sio mara ya kwanza kwa air defense system za west kufeli mkuu hizo ni nzuri kama wanapigana na libya
 

Maneno tu kama ya kwenye kanga - USA wanapo tumia satellite kusaidia jeshi la Zelensky kuwapatia taarifa za kulenga majeshi ya Urusi, hapo USA inategemea nini - kwamba Russia itaendelea kunyamazia ujinga huu, ni wazi satellite zitakuwa ni target halali za jeshi la Russia na wala USA haitafanya lolote kujibu mapigo - kwa kuwa USA ndio wamelikoroga wenyewe watapashwa kulinywa.
 
Kinachoisumbua Dunia ni mfumo wa dola za kisasa . Kuna haja ya kuwepo mfumo mbadala ambao ni shirikishi zaidi na wa kisasa zaidi .

Mfumo wa dola hauna tofauti kubwa na mifumo ya kale mfalme AKITAKA vita itapiganwa na mfumo wa SASA vivyo hivyo.

Fikiria viongozi wawili wa dola wanapiganisha majeshi na wanadamu kufa KIJINGA kabisa
 
Apige sasa aone mtinange wake
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Kiev Turning Zaporozhye Into New Mariupol — Russian Official

Kiev is turning the city of Zaporozhye into a heavily fortified stronghold, with foreign fighters bolstering Ukrainian forces, the top Russian official in the region has claimed.

“Zaporozhye is being turned into something like Mariupol. There is a large number of foreigners there, in the thousands,” Evgeny Balitsky, the acting governor of Zaporozhye Region, told Russian TV on Wednesday.

He said this information comes from people living in the Ukrainian-controlled provincial capital who talk to relatives and friends on the Russian side of the frontline. People see military preparations with their own eyes and hear people talking in Polish, German, and English in the streets, he explained.

Subscribe to RT
 
NEWS: Ukraine, Russia, Donbass:
[emoji1255][emoji1044]The KGB of Belarus detained an agent of the special services of Ukraine.

His task was to send information about the actions of the Belarusian and Russian armies to the SBU.

This is at least the third spy who worked for the Ukrainian special services, detained in October.

The criminal is a high—class topographer and at one time had access to state secrets.

A criminal case has been opened under the article "Treason to the state," reports @sputnikby.

Subscribe to

[emoji1260]The Uzbek car industry may become a leader in the CIS.

UzAuto Motors plans to produce up to 500 thousand cars next year.

In the long term, it is planned to increase production volumes to 1 million units.

@SputnikLive learned about the realism of achieving its goals from auto expert, deputy editor-in-chief of the Motor-1 project Yuri Kryukov:

To achieve this number, you can build another line of the conveyor, and in three years you will get a volume of 1 million copies.

Senior Vice-president of the Uzbek company Shilpan Amin signed a number of agreements with representatives of the General Motors delegation. This will help solve the problems with the shortage of electric chips for Uzbek enterprises.

The deliveries of cars are likely to be directed to the markets of Asia and the Caucasus. The Russian market "dropped out" because of sanctions.

An option with parallel import of UzAuto Motors cars to Russia is possible. Georgia can become a hub for this.

Today UzAuto Motors produces Chevrolet brand cars

[emoji1099][emoji635]Putin told a joke about European anti-Russian sanctions.

"Family, son asks dad:
— Why is it so cold?
— Because Russia attacked Ukraine.
– And what do we have to do with it?
– And we have imposed sanctions against the Russians.
– Why?
– To make them feel bad .
"Are we Russians?"

Subscribe to
 
Europe now has so much natural gas that prices just dipped below zero
By Anna Cooban, CNN Business
Published 10:03 AM EDT, Wed October 26, 2022

London
CNN Business
—
Europe has more natural gas than it knows what to do with. So much, in fact, that spot prices briefly went negative earlier this week.

For months, officials have warned of an energy crisis this winter as Russia — once the region’s biggest supplier of natural gas — slashed supplies in retaliation for sanctions Europe imposed over its invasion of Ukraine.

Now, EU gas storage facilities are close to full, tankers carrying liquefied natural gas (LNG) are lining up at ports, unable to unload their cargoes, and prices are tumbling.

The price of benchmark European natural gas futures has dropped 20% since last Thursday, and by more than 70% since hitting a record high in late August. On Monday, Dutch gas spot prices for delivery within an hour — which reflect real time European market conditions — dipped below €0, according to data from the Intercontinental Exchange.

Prices turned negative because of an “oversupplied grid,” Tomas Marzec-Manser, head of gas analytics at the Independent Commodity Intelligence Services (ICIS), told CNN Business.

It is a hugely surprising turn of events for Europe, where households and businesses have been clobbered by eye-watering rises in the price of one of its most important energy sources over the past year.

https://edition.cnn.com/2022/10/26/energy/europe-natural-gas-prices-plunge/index.html
 

Ukraine shot down more than 300 Iranian drones: Air force spokesperson​

Ukraine has shot down more than 300 Iranian Shahed-136 ‘kamikaze’ drones so far, air force spokesman Yuriy Ihnat told a briefing.
The drones have become a key weapon in Russia’s arsenal during its war in Ukraine and have often been used to target crucial energy infrastructure in the past month.
Iran has denied Ukrainian and Western accusations of supplying drones to Russia.
 
Hatubakizi mtu

Ukrayinska Pravda

Chechen leader: 23 Chechen soldiers killed and 58 injured in Kherson Oblast​

Ukrainska Pravda
Fri, October 28, 2022, 9:40 AM·2 min read
In this article:
  • Ramzan Kadyrov
    Russian politician and head of the Chechen Republic


UKRAINSKA PRAVDA — FRIDAY, 28 OCTOBER 2022, 09:40
Ramzan Kadyrov, Head of the Chechen Republic, a federal subject of the Russian Federation, has said that 23 Chechen soldiers fighting on the Russian side were killed and another 58 were injured in Kherson Oblast on 24 October.
Source: Ramzan Kadyrov on Telegram
 
Walioyabutua Yale mabomba ya ges walikuwa wameshapiga hesabu Kali sana..,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…