Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Naona unavyohangaika hadi unatia huruma. Wenzako wanatupia post chache lakini zenye mashiko lakini wewe ni post nyiiiiiiingi with no value. Yaani hata hii uliyoandika sijaisoma. Kuna Pro NATO wenzako wakitupia issue humu utaikubali tu hata kama inaumiza Pro Russia. Sasa wewe zako ni kama furushi la manyoya lakini ni robo kilo.

Pale unapokuwa shabiki kindakindaki lakini IQ ni -ve
 
Andika riwaya za fiction kama zile za Shigongo title yake iwe "Urusi ilivyolinasa penzi la Ukraine na kuvunja nguvu ya dola" [emoji16]

Unacho kipaji kikubwa sana cha kuandika riwaya za fictions zitazovutia watu kusoma na wewe kujipatia kipata kupitia kwazo.
 
Turkey wametumia huu ugomvi kifursa zaidi

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Pro NATO sasa hivi wanasema kwamba hizo NASAMS ndio Game Changer

HIMARS hazisikiki tena aiseee...
 
Mkuu tunashukuru kwa uchambuzi makini
 
-
Nadhani hujajua uwezo was Musk linapokuja suala la teknologoa
 
[emoji298]️The Pentagon will allocate a new package of military aid to Ukraine in the amount of 275 million dollars, – the spokeswoman of the US Ministry of Defense Sabrina Singh says.

The package will include:

  • ammunition for HIMARS;
  • 500 high-precision guided artillery shells;
  • systems of remote anti-tank mining;
  • HMMWV light transporters;
  • small arms/ammunition.

[emoji117] Follow
@Flash_news_ua

 
[emoji298]️ Sweden, Norway and Finland should create a joint army after joining NATO against the background of tension in relations with the Russian Federation.

This was stated by the former Minister of Defense of Sweden and the current head of the country's defense committee, Peter Hultqvist, in an interview with Dagens Nyheter.

[emoji117] Follow
@Flash_news_ua
 
[emoji298]️The UN declared the lack of evidence regarding the presence of biological weapons in Ukraine, despite Russia's accusations.

"It doesn't matter how many meetings Russia tries to call on this issue. And it doesn't matter how much it spins its propaganda machine.

We should not divert UN resources to a baseless investigation. And we should not allow Russian tactics to be a distraction,"- said US Ambassador Linda Thomas Greenfield.

[emoji117] Follow
@Flash_news_ua
 
[emoji298]️ The EU plans to invest in Argentine shale gas, — Reuters

Josep Borrell announced the preparation of an agreement with Argentina. According to him, the future memorandum will be of key importance, as the country "is a promising energy state".
 
Wataangaika dunia nzima kutafuta gas na hadi huku Tanzania watafika.

Ishu hapa ni Cheap Gas . Nilitarajia ungekuja na habari kwamba EU wamepata Cheap gas nchi XYZ...
 
Wewe unategemea west wakubali?
 
More than 95% of Ukrainians trust the Armed Forces of Ukraine, more than 80% trust the President of Ukraine.
This is evidenced by the findings of a nationwide survey conducted by the Razumkov Center as part of a project supported by the Konrad Adenauer Foundation office in Ukraine.

Andrii Bychenko, Director of Sociological Service of the Razumkov Centre, presented the results of the survey at a press conference at Ukrinform.
 
Zelensiky anakubalika nchini mwake kwa kias kikubwa.., alafu anatokea fashisti mmoja aliyelewa vodka eti anataka kupindua meza ., yule dikiteta hovyo kweli [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…