Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Atakwambia libya gafaf alikuwa dikteta na Afghanistan hakukuwa na freedom
Mkuu samahani ila kwa kawaida Bwana Yoda anajielimisha kabla ya kujibu. Hivyo angeweza kukujibu
1) kuhusu Bwana Gadafi kulikuwa na azimio la Baraza la Usalama (ambako Urusi na China wana uwezo kuzuia kila azimio) kuzuia ndege zote za jeshi la anga la Gaddafi kwa sababu aliua raia wake hovyo, na katika utekelezaji wa azimio hili nchi mbalimbali zilianza kudhibiti anga juu ya Libia na kukandamiza majaribio yote ya jeshi la GAddafi kushambulia ndegevita zao na pia kuendelea kuua wananchi. Sababu kwa uhakika haikuwa udikteta wake maana aliuwa dikteta pia kabla ya azimio la Baraza la Usalama la UM.
2) Kuhusu Afghanistan atakujibu kwamba swali halikuwa uhuru. Jambo lilikuwa mahambulio dhidi New York na Washingtona yaliyoua watu zaidi ya 3000 yaliongozwa kutoka ardhi ya Afghanistan ilhali serikali ya Afghanistan ilikataa kukabishi watendaji hivyo kujiunga na shambulio hilo. Shambulio hilo kutoka Afghanistan lilisababisha mara ya kwanza katika historia hatua ya NATO kutangaza hali ya kusaidia mwanachama aliyeshambuliwa.
Swali haliuwa uhuru bali shambulio la 11 Septemba.
 
Russia, including with the participation of Turkey, is ready to supply the poorest countries with up to 500 thousand tons of grain free of charge in the next four months, said Russian Minister of Agriculture Dmitry Patrushev.
 
Hakuna aliyekuzuia kuamini RT na Sputnik mkuu. Mfano huu ubalozi wa Urusi unaamini uvamizi wa Russia ni disinformation. Sasa vita ilipoanza sijui walibadilisha gear angani. Na hivyo vyombo mnayoita propaganda ndio hivyo hapo ubalozi imevitaja Mwishowe vita ilitokea au haikutokea?

Na hii reliable source yenu Sputnik vipi
 
the only thing that was zuiliaring attack kwa odessa oblast
Taking into account the October 29 this year. Kiev regime with the participation of British experts of a terrorist act against ships of the Black Sea Fleet and civilian ships involved in ensuring the security of the "grain corridor", the Russian side suspends participation in the implementation of agreements on the export of agricultural products from Ukrainian ports.
 
Tensions between the US and Saudi Arabia are rising. NBC reports that the Biden administration is seriously considering cutting arms supplies to the kingdom amid OPEC+'s decision to cut daily oil production.
The proposal is to stop the supply of missiles to the Patriot air defense system, which could be critical to Saudi Arabia, with the end of the ceasefire in the civil war in Yemen.
Opponents express fear that such a move would endanger the lives of local residents and American soldiers stationed there
 
Mkuu sijui hufuati habari? Kabla ya kuanza kwa vita kwenye Februari, Urusi ilidhibiti asilimia 7 ardhi ya Ukraine (Krimea na vipande vya Donbass, ilhali hakuna -nje ya milki ya Putin- aliyeamini sehemu za Donbass zilikuwa "jamhuri"; ona hapa); baada ya mafanikio ya kwanza Urusi ilishika maeneo makubwa katika kaskazini na kwenye kusini; mwezi wa Juni serikali ya Ukraine ilitangaza rasmi Urusi ilishika 20% ya eneo lake ona Russia occupies 20% of Ukraine's territory- Zelenskiy pia hapa Russia-Ukraine latest: Moscow controls 20 percent of Ukraine

Tangu majeshi ya Urusi yalilazimishwa kukimbia kutoka Kharkiv, asilimia hiyo imepungua tena.
 
Thirdly: The one who prompt and fuel brawl. The third party. You know who.

Secondly: In short run, Europe is endure and somehow in longrun Russia for loosing market esp if a subtitute will be at hand. Replacing Europe market to chinese/India is curently not a smart move due to purchasing power effect.

And About 15% of land, You are right but the squabble is in progress so no point in thoroughgoing.
 
That's the thing... Nikipata arguable personel as u r ... I'll be eagerly to respond... Respect.
 
After the terrorist attack on the Crimean bridge, Ukraine lost more than a third of its distribution and generating capacities.
After the drone attack on Sevastopol, Russia has every opportunity to completely close the export of any product from Ukraine by sea.
Retribution should be as heavy and painful as possible
 
Hata mi nilikuwa nashangaa kwanini hawahangaiki na viwanja vya kijeshi, makambi, radar sites
Anataka Ukraine isalimu amri kumbuka winter inakaribia hivyo anadhani akishambulia miundombinu ya nishati anaweza ipigisha magoti Ukraine ikataka mazungumzo. Juzi Zelenksy kawajibu kwamba wako radhi kukaa na Giza au kufa kwa baridi lakini si kusikia nyimbo ya Taifa la Urusi zikiimbwa kwenye ardhi ya Ukraine.

USAID wako mbioni kupeleka Genereta Mia moja,Spain pia imesema itapeleka majereta.
 
Nimekuwa nasoma juu ya makamanda wa Urusi hivyo ninashare kitu baada ya Colonel General Alexandr Lapin wa Central Military District kuondolewa leo
Huyu alikuwa ni kama kamanda wa pili kwa umuhimu pale Ukraine. Ni baada ya lawama nyingi na kuangushiwa jumba bovu kwa performance ya vikosi vyake hasa retreat ya Lyman waliyotwambia ni 'tactical retreat' and the SMO was going according to plan. Lapin hakuwa anapendwa na Kadyrov wala Prigozyn wa Wagner PMC na milbloggers kadhaa ambao ni machawa wa wakubwa fulani kwenye jeshi.

Tukumbuke mwezi jana Lieutenant General Roman Berdnikov alishika nafasi ya commander wa Western Military District baada ya aliyekuwepo ColonelGeneral Alexander Zhuravlyov kuondolewa, huyo hakukaa sana wala.

Lapin alikuwa Chief of Staff wa huyu Sergey Surovikin (aliyechaguliwa kuwa overall commander wa hii SMO) kwenye operation ya Syria. Kule hakuna kamanda alionekana hajui, walipewa tuzo wengi. Binafsi Lapin naona anasingiziwa uzembe na kulaumiwa wakati ndio kamanda mkubwa aliyekuwa hatarini zaidi kuliko wengine. Alikuwa anakaa sana frontline na jana alionekana anakagua defensive lines.

Kuna clip mwezi jana niliona wanajeshi kama sikosei ni wa National Guards (Rosgvardiya) wakikamata bloggers walioshutumu uendeshaji wa operation. Hao waandishi wana link na Wagner chini ya Prigozyn na walimpondea Waziri Sergey Shoigu. Kwa haraka ukipanga makundi unakuta Shoigu ni neutral wanaogopa kumsumbua maana ni mwaminifu sana kwa Putin. Ila Prigozyn na Kadyrov wanampendelea Surovikin na hawampendi Lapin. Staff kwa ujumla haimpendi Kadyrov anaropoka na kuwakosoa. Haitaki wakujipendekeza waingilie kazi ya jeshi.

Army General Valery Gerasimov ana miaka 67, anaweza staafu hasa baada ya operation maana kakaa muda mrefu
Kazi anaiweza na alikuwa na rekodi nzuri hata alipochaguliwa wapinzani walikuwa na imani naye. Inaonekana kuna kupima nguvu kujua nani anajua ili shift of power ikitokea kila mtu akae mkao wake. So far hatuna tena Lapin kwenye mlinganyo.
 
Hii ilikua ni June,kipindi hiki hata HIMARS zilikua hazijatia timu Ukraine

Russia-Ukraine latest: Moscow controls 20 percent of Ukraine
Russia-Ukraine war news from June 2: Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy says Russian army has taken over swaths of land as Kyiv calls for more weapons.

Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy says Russia is currently occupying about 20 percent of Ukraine’s territory.

Russia-Ukraine latest: Moscow controls 20 percent of Ukraine

Vipi Mkuu bado unabisha tu?!
 
An American reconnaissance drone RQ-4B Global Hawk, which took off from Sicily, has been circling over the neutral waters of the Black Sea near Crimea for several hours (Flightradar)
UK na France nazo zinafanya recon flights kwenye Black Sea. Hata mlipuko wa Sevastopol naval base hapo jana unahisiwa umesaidiwa na recon ya mojawapo ya hizo ndege.

NATO wanatoa taarifa kisha wanaiachia Ukraine itekeleze
 
UK na France nazo zinafanya recon flights kwenye Black Sea. Hata mlipuko wa Sevastopol naval base hapo jana unahisiwa umesaidiwa na recon ya mojawapo ya hizo ndege.

NATO wanatoa taarifa kisha wanaiachia Ukraine itekeleze
Yani siku Marekani akimpa Ukraine Makombora ya masafa marefu kama ATACMS bhas Urusi aandike maumivu maana najua kutokana na hizi recon flights ana target nyingi za mbali ambazo kwa silaha alizonazo sasa hawezi zifikia.

ATACMS zitaigeuza Sevastopol kifusi maana kama wameshindwa kutungua drone 9 tu za Leo,sidhani kama wataweza kutungua hizo ATACMS ambazo kwenye flight path yake inafanya maneuver za kutosha. Air defenses za Urusi kwenye hii vita zimeonyesha udhaifu mkubwa Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…