Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ungeangalia na gharama ya kujenga ukraine waliyokadiria. Ni 350B … wakae nazo tu maana Russia hawajaziomba
 
Tatizo linakuja kwamba mwanzoni mwa vita rais zelensiky alimpigia magoti sana Putin akimuomba asitishe kumshambulia na wakae meza ya mazungumzo.., akasema ukraine haitajiunga NATO..,na kuhusu Yale majimbo ya Donetsk na luhansik wangeangalia namna ya kufanya, lakini mwamba hakujari, akaendelea na mashambulizi akiamini atamaliza shughuli ndani ya muda mfupi tu na kusepa

Leo hii lazima tujiulize maswali mengi sana tunapomuona Putin aliyekuwa hataki kusikia kuhusu habari ya mazungumzo ya amani..,anageuka na kuomba usuluhishi kwa njia ya mazungumzo..,hii inaonyesha wazi kwamba amepoteza dira ya vita,haoni mwanga mbele juu ya hii vita, ndio maana anaona njia rahis ni kukaa meza ya mazungumzo na kuyamaliza..,

Binafsi ningekuwa rais zelensiky nisingekataa hii nafasi ya mazungumzo, maana huenda urusi anatafta kufanya kiinimacho cha kufungasha virago..,Ili isionekane kwamba kaishiwa nguvu na kuondoka.., lakini pia hii inaweza kuwa janjanja ya urusi Ili aweze kupanga upya vikosi vyake..,ni vema mazungumzo yafanyike lakini kamwe urusi asipewe nafasi ya kupumua..,hayo mazungumzo yanaweza kuratibiwa na nchi kama uturuki huku vijana wakiendelea na shughuli huko front line kama ilivyokuwa kwa mazungumzo yaliyopita,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
😂😂 vijana mnatumiaga nini kuwaza
 
You have got it wrong...Halafu wewe ni mpotoshaji mkubwa...Lakini awali ya yote ngoja nikupongeze kwa jambo moja. Inaelekea umeacha kuweka comment kama robot. Comment yako hii angalau umejadili jambo na kuachana na mambo ya 'dikteta, pimbi, fashisti, kupelekewa moto na kichapo. Kwa andiko hili lako kwa kweli umejitahidi kuachana na tabia hiyo ya kwanza. Lakini ulichokiweka hapa ni upotoshaji mkubwa kwa yaliyotokea mwanzo... Russia mwanzoni mwa vita ilikuwa tayari kwa mazungumzo na hata sasa ipo tayari. Na in fact hata mazungumzo yenyewe yalikuwa yanafanyika huko Belarus na Uturuki. Mazungumzo hayo yalifikia hatua nzuri isipokuwa Ukraine kwa maana ya Zelensky akaambiwa na Uk na USA aaxhane na mazungumzo hayo na kwamba nchi hizo kwa maana ya USA, UK na West zitafadhili gharama zote za vita kwa upande wa uKRAINE. mWANZONI KABISA WA VITA UTAKUMBUKA Borisi Jphn son alikwenda Ukraine kwa lwengo la kum kamkataza Zelensky aachane na mazungumzo ya amani na Russia. Zelensky alifanya hivyo na mpaka sasa msimamo wa Ukraine ni huo huo. Hawataki mazun gumzo na Russia . Ukraine wanasema mazungumzo ni kwenye uwanja wa vita. Wanaoamua mambo huko Ukraine ni West. Zelensky hana nguvu zozote zile za maamuzi. Wanaoumia zaidi ni wananchi wa Ukraine ambao wanakufa kwa maelfu wakiwemo askari.
 
Hawa watu wanashida mahali
 
Joe Biden believes that Moscow had no reason to suspend the grain deal. "This is completely outrageous, it will lead to increased hunger. There is no reason for them to act in this way," the US president said.
USA cry for Russia
EU cry for Russia
Ukraine cry for Russia
NATO cry for Russia
UN cry for Russia

But none of them has tried to stop Russia from making them crying everyday.

Then, Who is Russia?
Ndo tunarudi pale pale kwenye msemo wetu wa kihenga; "URUSI SIYO ZIMBABWE NI TAIFA AMBALO DUNIA INALIHITAJI KULIKO LINAVYO IHITAJI" [emoji1269]
 
Ni kweli Putin siyo mjinga ndiyo maana hajatumia nguvu kubwa katika vita hivi. Ndiyo maana silaha za nyuklia hazijatumika. Ndiyo maana hajaamuru ifanyike carpet bombing.
 
SEEKING SYMPATHY

Minister of Infrastructure of Ukraine Oleksandr Kubrakov on the suspension of grain exports from seaports. According to him, dry cargo ship IKARIA ANGEL with 40,000 tons of wheat was supposed to leave Chernomorsk today. The grain is allegedly intended for the people of Ethiopia. According to the Marine Traffic resource, the cargo ship was heading to Istanbul
 
Der Spiegel: "Exporting grain through Ukraine's Black Sea ports gives millions of people around the world access to bread" It is a great talent to see people in Europe's cows, pigs and chickens, and bread in livestock corn. And after all, there is open data, where the entire flow of food from Ukraine goes, but lies are ordered and paid for.
 
Naona umeamua kubadilisha gia angani na kuanza kulia lia

Unasema ukweli RUSSIA kuivamia UKRAINE kaionea

Ila ukweli usioujua nikwamba RUSSIA sio mjinga watu wake wafe nchi iingie hasara kisa SMO isio na sababu hili haliwezekani hata lazma kue na sababu na wao wanaijua

Jengine nchi yako kulaani ama kutokulaani anachokifanya RUSSIA haiongozi wala haipungizi jambo

Kama mnaowaita mataifa makubwa wakiwemo G7 sio kulaani tu mpaka vikwazo na mashinikizo mengine wameeka na msaada wa kijeshi na mengine juu na bado RUSSIA anaendelea na SMO yake

Jiulize wewe taifa lako lingeongeza nini kama lingelaani kinachoendelea hapo UKRAINE

Jengine nikwmba RUSSIA ama hata US au NATO haijawahi na hazitakuja kuwahi kupigana kwafaida ya nchi yako tena hilo ulisahau kabisaaa watu wanapigania sababu ya future zao nyie mukifaidika hio badala tu ila wafaidika wamwanzo hapo ni wanaoanzisha vita musihamishe magoli yaani apigane RUSSIA faida mupate nyie huko AFRIKA nyie vp !!?eeeh

Jengine anaepigana hapa ni RUSSIA na UKRAINE sasa hio chuki ya US hapa inaingiaje MKUU au hua tupo sawa kwamba US anapigana hapo UKRAINE kwa mgongo wa proxy !!?

Pia kuipenda RUSSIA sio dhambi na kuichukia US sio vibaya nakinyume chake pia sahihi

Adui yetu kama ulivyosema ISRAEL kumsaidia rafiki yetu RUSSIA kama ulivyodai hilo sio kosa kwetu ila kosa kwetu ni rafiki yetu RUSSIA kumsaidia adui yetu ISRAEL (geo politics)

Mwisho :- UKRAINE kweli wanaonewa ila kama sababu yakuonewa huko ipo na faida kwa RUSSIA basi acha waonewe mpaka sababu itoeke sababu wao hawakua wamwanzo nahawatakua wa mwisho kuonewa
 
⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine
(30 October 2022)

Part 2 (read Part 1)


💥Air defence facilities have shot down a Su-25 aircraft of Ukrainian Air Force near Nikolskoye (Donetsk People's Republic).
Two Mi-8 helicopters of the Ukraine Air Force have been shot down near Kirovsk and Konstantinovka (Donetsk People's Republic). Ten Ukrainian unmanned aerial vehicles have been destroyed near Nikolskoye, Komsomolskiy, Volnoye (Donetsk People's Republic), Kolomiychikha, Kamenka, Vrubovka, Sosnovy ( Lugansk People's Republic) and Mechnikovo (Kharkov region).

◽️In addition, 32 shells of the American HIMARS multiple rocket launcher system have been shot down near Vuglyar, Mezhevoye (Donetsk People's Republic), Antonovka, Novaya Kakhovka, Olgovka, Pershotravnevoye, Lvovo (Kherson region) and one Olkha rocket near Popasna (Lugansk People's Republic). Six American anti-radar missiles "HARM" have been intercepted near Antonovka (Kherson region).

📊In total, 328 airplanes and 167 helicopters, 2,380 unmanned aerial vehicles, 384 air defence missile systems, 6,192 tanks and other armoured combat vehicles, 879 combat vehicles equipped with MRLS, 3,537 field artillery cannons and mortars, as well as 6,898 units of special military equipment have been destroyed during the special military operation.

***

☢️ Despite the presence of IAEA representatives at Zaporozhye nuclear power plant, Kiev regime continues provocations aimed at posing a threat to create a technological disaster.

◽️There were three reports of shelling by artillery units of the AFU of Energodar and the territory adjacent to the station. A total of 10 shells were fired. Ukrainian artillery shelling was carried out from Novokiyevka (Dnepropetrovsk region).

💥In the course of the counterbattery fight, the AFU units were suppressed by return fire from Russian artillery.
Within an attempted landing by an AFU sabotage and reconnaissance group to get into Energodar (Zaporozhye region), one speedboat of the AFU has been eliminated.

◽️The radiation environment at the Zaporozhye nuclear power plant remains normal.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…