Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The Russian Defence Ministry has reported that strikes have been launched against the naval base in Ochakov. Earlier, the Russian Defence Ministry reported that several Geran-2s had arrived there.
As a result both communication centre and facilities of the Navy's SDF training centre were destroyed
 
Safi saana

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Ule uasi ulianzishwa na kufadhiliwa na Urusi.
Ukraine ilikuwa na Rais wa kuchaguliwa, ambae hakuwa rafiki wa west, bali alikuwa karibu na Russia,, yale mapinduzi ya 2014 yalimwondoa,, sasa jamii ya wa ukraine wa mashariki, Russian speaking citizen hawakukubaliana na mapinduzi yale, kwani walianza kuwa sidelined,, so wakaanzisha harakati za kujitenga,, ukraine ikaanza kuwatwanga,, so automatically Russia lazima ataanza kuwahami kwani wale ni Russians,, kumbuka ukraine ilikuwa ni sehemu ya soviet union, ikitaliwa kutokea moscow
 
Ni muhimu kujenga kuaminika kwa wewe mleta hoja. Naona watu wanatutwisha maandiko toka kwingine bila ya kutaja kwamba siyo yao. siyo sawa.
Hapa kuna taarifa za aina mbili , yapo mawazo binafsi ya watu binafsi pamoja na matusi pia. Lakini yapo mabandiko YENYE maelezo picha na video copied and pasted yakiwa na lebo za mashirika. Haya yanajieleza yenyewe .

Yapo maelezo ya watu binafsi ndani yake kuna facts , mfano maelezo fulani uliyotoa kuhusu sababu ya vita humo katikati ungetuwekea uthibitisho wa hizo facts . Anyway sipo interested kuona tunakwenda kama tunaandika thesis.
 
Kinachoshangaza ni kwamba urusi Kwa nini haikutumia mbinu ile Ile kama waliyotumia west Ili kusimika utawala wao na badala yake Wakachagua njia hii ya umwagaji damu?
West walitumia akili na ushawishi bila kumwaga damu..,na hatimaye wakapata walichokitaka, Russia alishindwa nini[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
wa magharibi janja janja sana.... wanajifanya kutuhurumia Wafrika et tuna njaa halafu meli zote za chakula zinaenda kwao... wazee wa upinde wapumbafu sana.... acha putin asambaze mwenyewe na sio hao mabepari...
Limen achen ushoga wa kutak kulelewa , mnadai hamuewapend wazung hlf mnataka kula vyao
 
Kabla sijakujibu naomba kujua umri wako kwanza isije nikawa nabishana na watoto wa miaka ya 90 nikapoteza muda wangu yani kiufupi wewe history imekukalia kushoto
Mkuu ukiogopa kubishana na watoto wa miaka ya 90 heri utulie kidogo. Si vema kuingia katika hali ya kuogopa! Kama huna cha kusema, si aibu. Wengi hapa hawana cha kusema lakini wanasema hata hivyo. Heri kutulia!
 
UN Secretary-General Guterres postspones his trip to the Arab League summit due to concerns about the situation with the "grain deal."

The case of the "grain deal", in which there was a new twist-Russia's suspension of participation in it for an indefinite period-forced the UN Secretary General António Guterres to change his plans. He was supposed to fly to Algiers, Algeria for the Arab League summit, but the aggravation of the situation with the agreement forces him to deal with it first of all.

He continues intensive contacts, which are aimed at the full implementation of the grain deal as well as the removal of obstacles to the export of food and fertilisers from Russia.

The day before, it was officially announced that, in connection with the attack of drones on the Black Sea Fleet in the bay of Sevastopol (the drones penetrated the raid through the "grain corridor"), Russia is suspending its participation in the "grain deal" for an indefinite period and can no longer guarantee the safety of dry cargo ships operating within the framework of the agreement.

Intelligence Briefings, Strategy and Analysis
 
Kama sijakosea nadhani Zele aliomba mazungumzo na akakubali sharti la kutokujiunga NATO ili Putin asishambulie, Putin akatoa masharti magumu ndo ikashindikana. Wenye kumbukumbu wataweka data sawa.

Nashukuru....kwenye negotiations za aina hii haiwezekani suluhu ikapatikana kwa majadiliano ya siku mbili.....Wataalamu wa conflict resolution wanafahamu zaidi....Mazungumzo huchukua muda na ni magumu ...huyu analeta hiki na yule analeta kile...mwishowe mnafikia compromise...Sasa kwa Ukraine na Russia West na NATO ziliingilia kati as if wao ndio washiriki wakuuu..Boris Johnson akafunga safari (kwa kushauriana bila shaka na Biden ) kwenda Kiev na kumkataza Zelensky asitishe mazungumzo na Russia. lengo la West na NATO kwa ujumla lilikuwa na linaendelea kuwa to weaken Russia militarily, socially, politically and economically. That was stated clearly na Bojo, USA defense minister Austin na NATO Scretary general, Stolberg... Boris mwenyewe in an interview alisema wazi kuwa vita hivi will take long time so as to weaken Russia....So they keep opn pumping millions of dollars to Ukraine ...And they have stated clearly that they can't 'allow' Russia to win because that itakuwa ni maafa makubwa kwa NATO na West kwa ujumla.

Lakini Russia nayo imejiandaa kivyake. ilishajiandaa for everything..kiuchumi, kijeshi, kisiasa, kijamii. Russia kama ilivyo West ina think tanks ambao huchambua mambo na ku-forecast mwelekeo.
 
Mkuu je naelewa vema kwamba machoni pako
A) mashambulio kwa droni dhidi ya manowari za Urusi ni tendo la kigaidi
B) mashambulio ya droni dhidi nyumba za watu na vituo vya umeme vya Ukraine ni matendo halali ya kijeshi ?
 
Ni kweli penyewe

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu niliwahi kuuliza tayari bila kupata jibu: je kuna ushuhuda wowote kwamba mtu yeyote alikataza Ukraine kuendelea na mazungumzo na Urusi?
Unadai hapo juu Boris Johnson alikataza. Je hii unapata wapi?

Nikifuatilia habari za siku zile naona Urusi iliweka masharti magumu yenye maana Ukraine kusalimu amri - ambayo hawakutaka. Johnson anaingia vipi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…