lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
🤝🤝🤝🤝🤝🤝👏👏👏👏👏Marekani ndani ya wiki tu alishacreate No fly zone kule Iraq
Tunaomba ututajie mifumo mitatu tu yakisasa kwahuo mwaka (2003)
Iliokua tishio ambayo ilikua inalinda anga la huko UKRAINE
Halaf pia tunaomba kukueka sawa IRAQ haikupigwa na US ile IRAQ ilipigwa na NATO na majirani zake karibia wote kwamaana hio IRAQ ilipigwa namataifa zaidi ya 15
Pia tunakukumbusha IRAQ haikua ikipewa msaada na taifa lolote lile toka popote pale
RUSSIA inapigana na UKRAINE ambayo inajazwa kila leo na bado inachapika mpaka inalia lia
Lakini Russia ilikua ikitumia Meli hizohizo kushambulia Ukraine Kwa Makombora,hilo zinafanya hizo Meli kua target halali kabisa kijeshi.Walikubaliana na UN ziwekwe kwa ajili ya ulinzi na ukaguzi.
Hilo linategemeana na reserve yake ya chakula. Lakini binadamu hakosagi alternative, watakufa kufa hapo ila baada ya muda mbadala utapatikana na itawaachia alama kuwa utegemezi wa chakula ni hatari.Sasa Marekani si ajazie hilo gap la chakula kwenye nchi zenye uhitaji.
Mkuu je habari zako unapata wapi?Majinga ....ikiruhusiwa tu kutoka haindi Ethiopia inaenda kwao ULAYA. Mrusi weka kigingi kazia hapohapo.
Kabisa. Ila Marekani(with exception to few countries) na NATO wao sio wanyang'anyi wa ardhi ni waporaji wa utamaduni, maadili, uchumi, siasa na mtindo wa maisha. Hawatumii mabomu sana, silaha yao kubwa ni haki za binadamu, uhuru na demokrasia huku wakikushawishi na mikopo, misaada, teknolojia n.k.Na itakua fundisho Kwa mataifa mengine makubwa (Marekani ikiwemo) kuvamia vamia vinchi vidogo.
Lakini Russia ilikua ikitumia Meli hizohizo kushambulia Ukraine Kwa Makombora,hilo zinafanya hizo Meli kua target halali kabisa kijeshi.
Binafsi naamini Putin ana akili kunizidi na anajua anachofanyaHilo linategemeana na reserve yake ya chakula. Lakini binadamu hakosagi alternative, watakufa kufa hapo ila baada ya muda mbadala utapatikana na itawaachia alama kuwa utegemezi wa chakula ni hatari.
Binafsi naamini Putin ana akili kunizidi na anajua anachofanya, ila kwa akili zangu hizi za kitanganyika, sioni sababu ya kushambulia kwa kutumia bidhaa zako zisizo za kijeshi sababu vita vitakwisha ila biashara ipo na ipo siku itaendelea. Mm ningewatwangwa huku nawauzia gesi bei nzuri tu wananchi wao, na chakula nisingezuia ili kuwemaza raia wao waendelee kuwa soko langu.
Upo sahihi sana boss.Binafsi naamini Putin ana akili kunizidi na anajua anachofanya
Nakazia hapa sio kwamba PUT IN ana akili kukuzidi hapana pengine huenda hata umemzidi
Ila nadhani ishu nikwamba PUT IN anajua nini anachokifanya na hapa ndio anapokuzidi
Sababu RUSSIA anajua nani anataka nini kwawakati gani na kiasi gani na atatumia kwamuda gani na akikosa hapa atafanya nn kwamuda gani kwa wakati gani kupitia nani na nini
Nadhani PUT IN na RUSSIA walichokuzidi nikujua tu wanachokifanya wakati Mimi na Wewe tuna ile walakin walaki
Yote hayo unayoyasema nadhani PUT IN waliyajua
Yooote kwa yote muda utaleta majibu sahihi.....!!
Kupoteza au kushinda kwa Russia inategemea ni Nini zilikuwa objectives za Russia....Russia ilisema mwanzoni mwa SMO kuwa miongoni mwa objectives ni demilitarization na denazification....lakini ni wazi kulikuwa na objectives nyingine zaidi ya hizo na ile ya kutojiunga na NATO...objectives nyingine ni kuhakikieha Warusi walioko Donbass hawanyanyasiki Tena na regime ya Kiev...wakati Zelensky alipogoma kuendelea na mazungumzo ya amani Russia ilisema wazi kupitia Lavrov kuwa kadri Ukraine inapokataa kukubaliana na Russia ndipo masharti baadaye yatakapokuwa magumu...na hiki ndicho kinschotokea Sasa....Russia imetwaa mikoa minne Jambo ambalo ni gumu kwa Ukraine....kwa makni yangu Russia haiwezi kurudisha mikoa hiyo hata iweje....tayari Russia imeinvest kwa kujenga miundombinu Kama kule Mariupol...Ukraine itapoteza mengi.....manung'uniko huko Ukraine dhidi ya Zelensky Sasa hivi ni makubwa kutokana na ugumu wa maisha baada ya miundombinu kuharibiwa..Ili Russia awe ameshinda, nn kinatakiwa kitokee? Mfano Russia akiachia majimbo yote kama msingi wa kuonyesha nia ya kumaliza vita kisha akasema ushindi wangu ni kuhakikisha Ukraine haijoin NATO kama mwanzo ilivyokuwa halafu Ukraine ikaamua isijiunge NATO, Russia atakuwa kapoteza au kashinda?
Na wengi wanaiangalia hii vita kwenye uwanja wa mapambano hapo ukraine, huku vita inapigwa ndani na nje ya uwanjaWakati sisi tunawaza miezi kadhaa ya vita.... Putin anaongelea muongo mmoja wa vita...
Kabisa. Ila Marekani na NATO wao sio wanyang'anyi wa ardhi ni waporaji wa utamaduni, maadili, uchumi, siasa na mtindo wa maisha. Hawatumii mabomu sana, silaha yao kubwa ni haki za binadamu, uhuru na demokrasia huku wakikushawishi na mikopo, misaada, teknolojia n.k.Kabisa. Ila Marekani na NATO wao sio wanyang'anyi wa ardhi ni waporaji wa utamaduni, maadili, uchumi, siasa na mtindo wa maisha. Hawatumii mabomu sana, silaha yao kubwa ni haki za binadamu, uhuru na demokrasia huku wakikushawishi na mikopo, misaada, teknolojia n.k.
Wale ni kuwa nao makini zaidi maana wakiivamia nchi yako hawakulazimishi bali wanakushawishi na ukija kushtuka haupo huru tena na mambo yako ya kimaadili, kijamii, uchumi na mtindo wa maisha. Ukiwa mzembe tu unakuwa na nchi ya watazama filamu za ngono, mashoga, wanaojiuza, watukanaji, watoto wenye kiburi kwa wazazi sababu wanajua haki zao n.k
Kwa hiyo Sasa umeamua kukubali kua Russia anapigana na west wote.UK na France nazo zinafanya recon flights kwenye Black Sea. Hata mlipuko wa Sevastopol naval base hapo jana unahisiwa umesaidiwa na recon ya mojawapo ya hizo ndege.
NATO wanatoa taarifa kisha wanaiachia Ukraine itekeleze
Okey boss. Hapa sina cha kukubali au kukataa maana hii information sina.manung'uniko huko Ukraine dhidi ya Zelensky Sasa hivi ni makubwa kutokana na ugumu wa maisha baada ya miundombinu kuharibiwa..
Yanaweza kutokea maasi ya jeshi...Sasa hivi Zelensky analindwa na vikosi vya ulinzi vya NATO...
Niliedit pale kwenye Marekani kwa kuweka with exception to few countries. All in all idea ni kuwa hawana tabia ya kumega ardhi na kuifanya yao.Kabisa. Ila Marekani na NATO wao sio wanyang'anyi wa ardhi ni waporaji wa utamaduni, maadili, uchumi, siasa na mtindo wa maisha. Hawatumii mabomu sana, silaha yao kubwa ni haki za binadamu, uhuru na demokrasia huku wakikushawishi na mikopo, misaada, teknolojia n.k.
Nadhani huu niupotoshaji ulio wazi kabisa eidha kwamakusudi ama kwabahati mbaya ama kwakujua ama kwakutokujua
Hv kuna mataifa yalio tumia mabomu kama silaha dhidi ya mataifa mengine kweli kuna taifa linatizidi US na muungano wao wa NATO !!?
VIETNAM
KOREA
LAOS
GUATEMALA
PERU
YUGOSLAVIA
IRAQ
AFGHANISTAN
LIBYA
orodha ndefu haya nimataifa nimachache kati ya mengi sanaa
Hayo mataifa yote hapo juu yamekumbana na mkono wa eidha US ama washirika wao NATO
sasa unaposema kama US na NATO hawatumii sana mabomu labda utueleze huko walienda kufanya nn halaf ututajie alotumia sana mabomu kuliko US na NATO ninani na ututajie alieyatumia wap na wapi tulinganishe
US mnyang'anyi mkubwa sana wa ardhi ila anachoshindwa nikwamba ardhi haihamishi kuipeleka US au NATO ndio maana mnamuona sio kibaka tofauti na RUSSIA anapigana na alokua karibu nao ndio maana anabeba ardhi hapa ushahidi kule DEIR EL ZOUR kuna majeshi na kampuni za US zinavuna mafuta au unataka kusema ule sio unyang'anyi na kuiba ardhi ya watu!!?
Kule IRAN 1953 baada ya mapinduzi yaliomuondoa MUSADDEQ UK US nk walitumia mbinu ya deir el zour shida nikwamba hawawezi ibeba ardhi nandio maana munaona eti sio wanyang'anyi
Us na RUSSIA baba na mama mmoja ila tu uzuri nikwamba Us ananguvu ya media inayomtetea ndio maana mnaona bora yeye kuliko RUSSIA
Hujachelewa MKUU kamuueHuyu mwehu yeye ameingia ktk nchi nyingine huru, ameua! ameharibu na amefanya ukatili mbaya kabisa!
Anachohubiri sasa ninini! Huyu dawa yake ni kumuua haraka kuleta utulivu!
Yaani ndugu umeongea bonge la point ambalo naliwaza daily na nashindwa kumwelewa Puttin, mwenzio katumia mbinu zisizo za gharama wala kumwaga damu kuweka pandikizi kwanini yeye na majasusi wake tena wako karibu na Ukrein washindwe kutumia mbinu ile ile kuweka mtu wao? Amenifanya niamini kuwa mtu akikaa sana madarakani na busara zinamkimbia.Kinachoshangaza ni kwamba urusi Kwa nini haikutumia mbinu ile Ile kama waliyotumia west Ili kusimika utawala wao na badala yake Wakachagua njia hii ya umwagaji damu?
West walitumia akili na ushawishi bila kumwaga damu..,na hatimaye wakapata walichokitaka, Russia alishindwa nini[emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa sababu ya historia ya hayo maeneo yalikuwa ni suala la muda Tu kurudi Russia.kuna makala kama unahitaji kuwa na maarifa unatakiwa kuyasoma.kuna haya makala yapo Rt TV inabidi kasome hayo maamuzi watu hawajakurupuka kila siku nakuambia pia nakuambiaga wewe unahitaji maarifa zaidi kuhusu huu mgogoro.View attachment 2402561View attachment 2402562View attachment 2402564View attachment 2402565View attachment 2402567View attachment 2402563Kinachoshangaza ni kwamba urusi Kwa nini haikutumia mbinu ile Ile kama waliyotumia west Ili kusimika utawala wao na badala yake Wakachagua njia hii ya umwagaji damu?
West walitumia akili na ushawishi bila kumwaga damu..,na hatimaye wakapata walichokitaka, Russia alishindwa nini[emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sikuona edit itakua ilinipitaNiliedit pale kwenye Marekani kwa kuweka with exception to few countries. All in all idea ni kuwa hawana tabia ya kumega ardhi na kuifanya yao.