Mimi nilisema Mrusi akae chonjo wazungu sio wenzake.Wanataka hiyo vita apigane hata miaka 10 mpaka afilisike .Ukiona Us maali kaa chonjo aiseeWalioyabutua Yale mabomba ya ges walikuwa wameshapiga hesabu Kali sana..,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
RT tena? ..... hicho ni chombo Cha propaganda za Kremlin.Kama mnataka kujua kwanini ni halali Russia kuzichukua Yale maeneo kuna makala RT yanayoeleza kwamba ilikuwa ni suala la muda Yale maeneo kurudi Russia na yatakuwa maeneo ya Russia milele yaani ni maeneo ya Russia ya Kihalali kabisa.kuna makala RT lakini sijapata namna ya kuyaleta hapa.
RT siyo chanzo cha kuaminika kwenye hoja nyingi kuhusu Russia. Ndiyo TBC yao.Kama mnataka kujua kwanini ni halali Russia kuzichukua Yale maeneo kuna makala RT yanayoeleza kwamba ilikuwa ni suala la muda Yale maeneo kurudi Russia na yatakuwa maeneo ya Russia milele yaani ni maeneo ya Russia ya Kihalali kabisa.kuna makala RT lakini sijapata namna ya kuyaleta hapa.
km sio rahisi asipige kelele sasaSio rahisi hivyo,asingekuwa na uthubutu kuyanyanyasa mataifa 30+ beberu mkuu Marekani akiwemo[emoji1][emoji1]
Miaka mia iliyopita? Yaani 1922, miaka mitatu toka vita kuu ya kwanza kumalizika?Unasema hivyo kwa Sababu
Hujui kitu utaifa hauzeeki ,hayo Maeneo yalianza vuguvugu la kurudi Russia miaka 100 iliyopita na yatakuwa Maeneo ya kirusi milele.
km unajua kesi ni ya meya wa kiev , ww wa tbt matumbi ya ukraine unayavalia njuga za nn ? so tukuite kiherehere ?Umemjibu Meya wa Kiev , mi nimehabarisha tu kk.
makala ya muandishi wa kiukraine wala si ya RT lakini RT wameyaposti Tu.hayo maeneo ni ya urusi milele.RT tena? ..... hicho ni chombo Cha propaganda za Kremlin.
Ndiyo kasome hayo Makala utaelewa kila kitu ni kwanini hayo maeneo yalikuwa ni suala la muda kurudi Kwa wamilikiMiaka mia iliyopita? Yaani 1922, miaka mitatu toka vita kuu ya kwanza kumalizika?
Si akubali tu yaishe dah mateso yote ya nn???
Hiyo makala ni kutoka RT? Ilikuwa sehemu ya Russia hii au Russia ile ya kibwanyenye!!??Ndiyo kasome hayo Makala utaelewa kila kitu ni kwanini hayo maeneo yalikuwa ni suala la muda kurudi Kwa wamiliki
Kasome makala utaelewa vizuri Sana.Russia hawajakurupuka wala hawana Tamaaa ya maeneo lakini kutokana na Mambo yanayotokea kwenye hayo Maeneo ndo Sababu ya yote hayo.Hiyo makala ni kutoka RT? Ilikuwa sehemu ya Russia hii au Russia ile ya kibwanyenye!!??
unampangia mtu cha kujibu ?Umesoma alichosema, yaani yote hayo wewe umeona ushoga tu??
Hahahaha vuguvugu gani ww achana na propaganda za Putin za kutaka kuhalalisha uhuni wake wa kupora ardhi za watuUnasema hivyo kwa Sababu
Hujui kitu utaifa hauzeeki ,hayo Maeneo yalianza vuguvugu la kurudi Russia miaka 100 iliyopita na yatakuwa Maeneo ya kirusi milele.
Maana yake hata Rwanda na Burundi zililkuwa sehemu ya Tanganyika. Sasa Tanganyika ipi?Kasome makala utaelewa vizuri Sana.Russia hawajakurupuka wala hawana Tamaaa ya maeneo lakini kutokana na Mambo yanayotokea kwenye hayo Maeneo ndo Sababu ya yote hayo.
aliyevamia Crimea ni yeye hao magharibi wala hawakuwa na muda nae , hakuridhika akapandikiza waasi huko mashariki ya ukraine , magharibu wakamchunia hakuridhika still akaivamia kabisa Ukraine , SASA SIJUI NAN MWENYE CHUKI HAPA , ALIEVAMIA NCHI YA WATU AU WANAOWASAIDIA WENYEJ KUJILINDA , CHUNGENI MSIWE VICHAA TU , TUNAWAZOOM TUTafsirini kwenye kiswahili - kuna kitu watu watajifunza - loh, Putin kichwa sana - a man who sees tomorrow!!! Leo ndio nimejifunza kwamba kumbe chuki zote za viongozi wa magharibi zinatokana na yeye kuwazidi akili,maarifa na kikubwa zaidi busara. Putin ananikumbusha sana busara za the late John F. Kennedy.
Wapi huko ambako Mrusi anaendelea kuchukua maeneo wakati hapo Bakhmut tu panamshinda,yupo hapo anapigana miezi karibu mitatu sasa anashindwa kuchukua huo mji Licha ya kua na lundo la wanajeshi wakiongozwa na wale WagnerUrusi anaendelea kuchukua Maeneo yote yaliyobaki hayo Maeneo hayatarudi milele Ukraine na Sasa hivi kila sehemu warusi wanaendelea kwenda mbele yaani ni uhakika asilimia 100 hayo maeneo hayatarudi milele nakupa kazi ya kufuatilia mambo Gani yanaendelea huko urusi anaendelea kusonga mbele.
[emoji23][emoji23][emoji23]Yani nijiaibishe kisa kukataa kulishwa propaganda?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na Sababu maalum ya Maeneo haya kurudi urusi yameandikwa kwenye hayo makala nakushauri kama unataka maarifa ili usiendelee kujiaibisha kasome Kwa nini yamerudishwa.Unasema Alaska Alaska iliuzwa kihalali.
Alivamia na SMO ilikuwa SMO ya siku 3 leo mwez wa 9 tunaingia , subir ubao umgeukia ataikimbia MoscowHehe tokea February huko mmefikia namba gani hadi sasa