Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wewe umejuaje sasa kama hawataki uzione?
 
Kuna muda ni vigumu kubishana na watu wasio na fact ambao hawajasoma hata cold war ilivoanza na kupelekea vita vya pili vya dunia watu wengi hawana uelewa koz bila nyuklia vita ya Japan na marekani angeshinda Japan sasa vijana wa Leo hawaelewi kabisa nafikir shida ipo kwenye mfumo wa elimu na upeo wao wasamehe mkuu
 
Ni kama unavyoona mapato yanatoka Tanganyika na kughalamia huko Zanzibar.., nafikiri umepata concept

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Counteri offensive zimekwama. Russia anazidi kujiimarisha kupitia mobilization , more soldiers more equipments . Nilitegemea Ukraine asingempa Russia muda wa kuimarisha vikosi vyake . Kama Russia akifanikiwa kupeleka 150000 vita itakua ngumu sana kwa Zele na iwapo atafanikisha 300000 ni hatari
 
Your browser is not able to display this video.

US Congressman Ruskin said that Russia must be destroyed at any cost because it is an Orthodox country with traditional values
“Russia is an Orthodox country professing traditional values. That is why it must be destroyed, no matter what price the US pays for it.”
 
Israel yasema Ukraine yoote imepelekewa moto mkali sana leo hii

 
Unaaamini asikari waliokuwa mobilized wiki 2 tu na kuletwa front line sio?.., Russia anaamini katika quantity sio quality.., wakati uingereza na bahadhi ya mataifa mengine ya NATO yanatumia zaidi ya miezi 4 kuwapa mafunzo na kuwaandaa wanajeshi wa Ukraine Tena kwa mbinu za kisasa kabisa, Russia anatumia wiki mbili tu kisha anawatuma vijana front line, Tena bila kuwa na zana muhimu, unategemea nini,
Ndio maana Huwa nawaunga mkono wale wasemao kwamba urusi siku zote Huwa hawajari uhai wa watu wake.., kuleta askari wengi kiasi hicho,Tena hambao hawana uzoefu na kuwaweka front line,hapo ni Kama kuwatoa kafara vijana

Marekani na washirika wake walifanya mobilization ya kijeshi 1990 kabla ya gulf war iliyoanza January 1991.., tatizo urusi anapenda kufanya mambo kwa kuungaunga tu,jambo hambalo litakuja kumgharimu sana

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
ALL MISSILES WERE INTERCEPTED-GOSPEL ACCORDING TO PRO-THEM

The result of the missile strike by the Russian Army, 11:00 a.m. on 10/31/2022
The following regions and cities are affected:
  • Kiev
  • Dnepropetrovsk
  • Vinnitsa
  • Zaporozhye
  • Poltava
  • Kharkiv
  • Kirovograd
  • Lviv

Attacks on important facilities:
  • CHPP-5 (Kiev)
  • CHPP-6 (Kiev)
  • Lviv CHP (Lviv)
  • TE Kremenchug
  • DniproGes
  • Novodniester TPP

Stopped metro in Kiev and Kharkiv. There is no electricity.
In many cities of Ukraine there are problems with water supply and electricity. In Kiev, an energy facility that supplies 350,000 apartments was damaged.
 
Kwasasa jiji la KIEV lipo kama mkoa wa jirani zetu tz kule dar [emoji16][emoji23][emoji4]


[emoji779]️80% (!) Kiev without water supply. Also, part of the city is without electricity, — Vitali Klitschko [the mayor of Kiev]. And now think about it, was it worth cutting off the water supply to the Crimea at the time? How does it feel to live where water is supplied on schedule? Until you try it on your own skin, you won't know.

@ukr_leaks_eng
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…