mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Wiki ya pili hii Kiev aina umeme.achana na propanganda njoo kwenye ukweli.Kama ndani ya muda mfupi namna Ukraine anaweza ku-cover uharibifu kwenye miundombinu.., Russia inabidi ajiulize mara mbili mbili juu ya ghalama anazotumia kufanya haya mashambulizi,alinganishe na matokeo yanayopatikana
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787]Leo itakua Kiev imepelekewa moto mpaka mpaka BBC wamechapia kuandika badala ya urusi wameandika uhuruView attachment 2403163
Mkuu hawa watu marekani kwao ni kama dini wamelewa kwa mvinyo wake kiasi kwamba hawawezi hata kujua simple history on how this lawless godless and diabolical empire came into existenceMkuu, tatizo hapa ni uelewa mdogo wa mambo pamoja na exposure, hilo ndilo tatizo kubwa nililo liona hapa.
Watu wanazungumza uporaji wa aridhi,wanasahau kabisa jinsi wahindi wekundu walivyo nyanganywa aridhi yao bila huruma na mamillion waka uuwawa in the process, wazungu hawakuishia kupora aridhi na kuwauua red indians, walikwenda mbali zaidi wakauuwa hata staple food ya red indians ambazo zilikiwa ni Buffaroes nao wakawa waulia mbali. Baadhi ya members wala hawajui kwamba kisiwa cha Hawaii kilikuwa a truly independent Island lakini kikaja kuporwa na Wamerikani wakamtoa madarakani kinguvu Malkia aliye kuwa anatawala kisiwa cha Hawaii kihalali kabisa,Guam ,je, kisiwa cha Diego Garcia na Pourteo Rico - hayo hawayasemi au hawayajui kabisa, kazi kumsema sema Putin na Urusi basi.
Shusha sketi uchanjweTaarifa inasema "crashed due to technical malfunctions" wewe unatuambia eti imetunguliwa na kuwaunguza wote waliomo. Na kwenye hiyo taarifa hakuna mahali walipoandika hali za marubani kama wazima au wamekufa lakini ewe umeshahitimisha kwamba wameunguzwa. Uongo uongo tu.
Haya mambo pro west wengi hawayajui au wameamua kutoyajua sab ya mapenzi ya zati kwa hao west...no matter where they went only death and destruction is their legacy
Japo umenijibu bila ya concept yangu ilipo au lengo. Kwa ufafanuzi nilivyokusudia kuuliza nikutokana na vita ya sasa na sio za zamani zilizopita.Ndiyo Marekani ilishawahi kujinasibu hivyo na siyo hivyo tu bali ni kweli alizitumia silaha hizo huko Hiroshima na Nagasaki huko Japan na
Umeeleweka msomi.Kuna muda ni vigumu kubishana na watu wasio na fact ambao hawajasoma hata cold war ilivoanza na kupelekea vita vya pili vya dunia watu wengi hawana uelewa koz bila nyuklia vita ya Japan na marekani angeshinda Japan sasa vijana wa Leo hawaelewi kabisa nafikir shida ipo kwenye mfumo wa elimu na upeo wao wasamehe mkuu
Inasikitisha sana yaani mgambo wamekaangwaa kama ndafu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]R.I.P wanajeshi wa Ukraine waliokuwepo kwenye helicopter.kiukweli aliyewatungua ni mtu m-bad sana
Kwanini nione aibu wakati nasema ukweli.Yani unandika huku wewe mwenyewe unaona aibu kwa unachokiandika
Suala la UKRAINE kurejesha ardhi yake hilo musahau kabisaaOooh sasa na yeye Russia anataka achukue ardhi ya Ukraine yeye kama Nani?! Ukraine safari hii imekataa kua dhaifu ndio maana inarejesha ardhi yake ambayo inataka kuchukuliwa na bwana mkubwa ambae ana liardhi likubwa kuliko nchi yoyote duniani lakini anapitwa kiuchumi na vinchi vidogo kama South Korea.
Shusha chupi iingie vizuri.Shusha sketi uchanjwe