Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298]️ Governor: Ukraine liberates 9 settlements in Luhansk Oblast.

Luhansk Oblast Governor Serhii Haidai said on Oct. 31 that Russian forces attempted to launch a counteroffensive from Kreminna and Svatove, but Ukraine’s military repelled the attacks.

Haidai added that Russian troops shelled the village of Nevske as Ukrainian authorities attempted to evacuate civilians.
 
Missile Moja ilikuwa inapiga inadunda na kupiga kwengie inadunda tena ipiga kwengine. Yaani missile Moja inapiga maeneo matatu Mikoa tofauti mkuu. Mrusi ni noma kama missile 6 zinapiga maeneo 18. Once Wiseman said
Inadunda ka kitenesi, that's miracle of 21th century kutoka kwa Manabii wa "Yukurayiniiii"...

One Wiseman said "UKIWA MUONGO UWE NA KUMBUKUMBU" .....hakuna kitu kigumu kama KUDANGANYA NAFSI YAKO.... Ila kuna watu humu wanadanganya mpaka roho zao.
Ha ha like father like son, kama haka kazee kanakodai kamehudhuria 54 states out of 50 🤣. Pure Math hii dadeki...
Your browser is not able to display this video.


Ana mwaga upendo tu kama bwana Extrovert 🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌
Saaana 😂😂
 
Putin kuhusu Grain deal!

[emoji298]DEVELOPING[emoji298]

EU policy to exclude Russia from various international formats is unrealistic, 34% of the grain exported under grain deal goes to Turkey, 35% to EU countries and ONLY 3-4% to the poorest countries, listen. Is this what we did everything for? - Putin.

UPDATE: Moscow has NOT withdrawn from grain deal, has ONLY suspended participation - Putin.

[emoji2772] Hawa watu washenzi sana!
 

Weka na hii basi

Russia tells UN it will inspect Black Sea ships​

Ukraine’s “abuses” of the humanitarian corridor forced Moscow to suspend it, an envoy has told the Security Council

 

UN hana ubavu kwa Russia bhana….

Mnayarudia haya.
 
UN hana ubavu kwa Russia bhana….

Mnayarudia haya.
Mbona unahamisha magoli Mzee,wewe si ndo ulikua unatuambia hapa warships za Russia zilikua hapo kulinda hizo Meli zinazobeba nafaka,au sio wewe?!

UN imeweka rekodi Sawa,imekata mzizi wa fitina na uongo.
 
Mbona unahamisha magoli Mzee,wewe si ndo ulikua unatuambia hapa warships za Russia zilikua hapo kulinda hizo Meli zinazobeba nafaka,au sio wewe?!

UN imeweka rekodi Sawa,imekata mzizi wa fitina na uongo.

Why walimuomba Aachie Korido hiyo?… Bila kufanya hivyo unafikiri Grain zilikuwa zinapakiliwa hapo?..

Kwa taarifa bandari ilikuwa inashambuliwa na Kremlin. Ndo maana akaombwa asitishe ili nafaka zitoke.

Tusiwe watabiri , let’s wait utekelezaji wa Russia. Shida iko wap?
 
Mkuu unataka kweli kujivunia una elimu kuliko hao unaoita "vitoto vya tisini"? (bila kuwajua?). Lakini unaandika kuhusu "kumpiga mkoloni" bila kujua kwamba mkoloni mkubwa katika mchezo huo ni Urusi? Kweli hujui?
Sijui kama inasaidia ukisoma kitabu, hebu jaribu Mrusi anayeitwa Lenin , akiandika kuhusu Imperialism, the Highest Stage of Capitalism.
Halafu tuongee tena. Karibu!
 
Mkuu sijui elimu yako ya uchumi inasemaje? Je kama kuna uhaba inawezekana bei zinapanda kwa wote? Ilhali kuna ya kutosha, bei zinashuka kwa wote? Hata kama namba zako zingekuwa kweli, mizigo hii inashusha bei kwa nchi maskini!

Halafu namba zako si sahihi, unarudia tu propaganda ya Bwana Putin. Lete ushahidi! Je unaweza?
Mfano kati ya mizigo yote ya ngano, nchi zifuatazo zilipata asilimia 45:
Algeria
Bangladesh
Djibouti
Egypt
Indonesia
Kenya
Lebanon
Tunisia
Afghanistan
Ethiopia
Somalia
Sudan
 
Mku unapenda mbinu huohuo lakini unaanza kuchosha kidogo. Unaanza malalamiko "niye mnasema" ilhali hakuna anayesema hivu.
Nani alisema hapa Venezuela pandikizi la Urusi?
Nani anasema Assad pandikizi la Urusi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…