Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji91][emoji298]Iranian banks are connecting to the Russian "analogue of SWIFT". In the summer, a roadmap was signed between the two central banks, now "everything is going according to plan," the Deputy Prime Minister of the Russian Federation said.
 
Say no more mkuu wa kuelewa ataelewa wa kushupaza shingo atashupaza ujumbe ushafika
 
ana miaka 66 hivi, next 5yrs atakua na 71....
kwanza sidhan kama atagombea 2024, keshakua mzee!

kama kushinda mshindeni leo kabla ya 24!
 
Kwa
Kwani Russia yeye haishiwi mkuu
 
anapiga ama anabomoa mitaro ya maji masafi na machafu na kukata nyaya ya umeme - vita hiyo. 😀
Vita ni vita mura usimchagulie pa kupiga au sila ya kutumia. Kama ww ulibeba rungu vitani usianze kumlaumu adui yako kuwa hatendi haki kwa sababu kabeba siko/mundu, bisibisi, nyembe, jambia na panga lenye kutu. Na usianze lalamika kuwa tuko vitani yeye anakimbilia kukata miguu na panga kabla hajakuchinja na siko
 
Drone Moja iliyopenya imepiga maeneo mangapi!!!?? Maana hesabu zenu nyie watu ni shida....
Shida ya hizi drone na missiles za russia zina tabia ya kudunda baada ya kulipua tageti moja na kwenda kulipua tageti nyingine yaani kwa mfano hizo kamikaze zina multiple stage ya kuji suicide yaani inajitoa mhanga eneo hili kisha inanyanyuka na kwenda kujitoa mhanga sehemu nyingine na nyingine tena. Kiufupi zina stage kama 7 au 10 hivi. Kwa hiyo hiyo moja inaweza kujilipua hata kwenye miji 3 tofauti
 
[emoji298]️73% of Americans support US aid to Ukraine, — the representative of the US State Department, Andrea Kalan.

"We will help as much as it takes, because ordinary Americans, and congressmen, and President Biden — we all see that help is needed to end this war," — she emphasized.

 
Pentagon "inatarajia" kutoa mifumo ya silaha kufikia katikati ya 2023

Ukraine inatarajiwa hivi karibuni kupokea idadi ya mifumo inayoitwa VAMPIRE kukabiliana na ndege zisizo na rubani, kulingana na katibu wa vyombo vya habari wa Pentagon Pat Ryder, ambaye alithibitisha dhamira ya Washington ya kuipatia Kyiv uwezo wa ulinzi wa anga. Kauli hiyo imekuja wakati Urusi ikiendelea na mashambulizi ya makombora na ndege zisizo na rubani kulenga miundombinu ya nishati ya Ukraine.

Akizungumza na waandishi wa habari siku ya Jumanne, Ryder alisema serikali ya Marekani bado haijapata kandarasi ya kurusha makombora ya leza lakini inatarajia moja kufikiwa ndani ya miezi michache ijayo. "Hivi sasa tunatarajia utoaji kuwa katikati ya 2023," alielezea, akibainisha kuwa "ulinzi wa anga unaendelea kuwa kipaumbele."

VAMPIRE, au Vehicle-Agnostic Modular Palletized ISR Rocket Equipment, inaweza kuwekwa kwenye kitanda cha mizigo cha takriban lori lolote la kiraia na hutumia risasi zinazoongozwa na leza zenye uwezo wa kugonga shabaha za ardhini na angani, ikijumuisha vyombo vya angani visivyo na rubani. Ingawa haijatangazwa kwa uwazi kama silaha ya kuzuia ndege zisizo na rubani, mifumo inayofanana na VAMPIRE imetumika sana nchini Ukrainia kwa madhumuni hayo.

Mifumo hii ni sehemu ya kifurushi cha silaha cha dola bilioni 3 kwa Ukraine kilichotangazwa na Pentagon mnamo Agosti. Hii pia inajumuisha Mifumo ya NASAMS, ambayo Washington pia inasema itawasili Ukraini "katika siku za usoni."
 
Hizi ndo air defenses za Russia ambazo @Bukyanangadi kila siku anazisifia na kuziita formidable air defenses [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

#Ukraine: A modern Russian Pantsir-S1 air defense system was found by a reconnaissance UAV of the Ukrainian army and then destroyed.


Video Pantsir ikiungua baada ya kulipuliwa

 
Iran Iran Iran Iran [emoji23]

[emoji635] [emoji1255] The head of the military administration of Krivoy Rog, Alexander Vilkul, reports that Iranian Geran kamikaze UAVs hit targets in the city.

It is curious that Iranian drones bypassed the Ukrainian air defense in the Zaporozhye region and Dnepropetrovsk, reaching the objects of interest in Krivoy Rog.

Update!
[emoji635] [emoji1255] Local sources report a loss of electricity in a part of Krivoy Rog after the arrival of a UAV kamikaze.
 
The way it has presented khoh khoh...
Technically sijui tunaitaje this type of presentation?
Inachoma flan hivi
Hahaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…