Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Huyo poroshenko aliingiaje madarakani ndo ujiulize.

Anyway wewe unataka tu ubishi na unakataa facts.

Tukubali kutokukubaliana
 

Shida ya mrusi kuwa karibu na NATO ni ya mda mrefu sana

Ukumbuke Urusi wana mlengo wa ujamaa na huku NATO ni ubepari.

Hii milengo haiwezi kupatana hata siku moja.

Ndo maana baada ya vita ya pili ya dunia kulikua na COLD WAR.

Ndo maana NATO wanamkaribia Urusi na Urusi hataki kuwa karibu nao.

Ukifatilia historia utajua zaidi

Mfano miaka ya 1960's Urusi alitaka kuungana na Cuba aliye karibu na USA. Na kama wangeungana basi angeweka mitambo yake ya mabomu Cuba kama vile ambavyo NATO hufanya baada ya kuwa nchi ni mshirika.


Marekani waliwehuka na kuwa vichaa. Ilikua ni mgogoro mkubwa sana


Jiulize kwa nini Marekani hakutaka Cuba ajiunge na Urusi ndipo utakapojua kwa nini Urusi kafanya aliyofanya iwe sawa au isiwe sawa hizo ndo facts ukizikataa ni kwa hasara yako mwenyewe
 
Russia alishindwa kuilinda Soviet isianguke,Leo hii ayaweze ya mbali huko uingereza?
Masihara haya

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile ap

Weka Iraq,Libya,Vietnam na Afgahanistan bhana.

Usiweke vilainishi
 
[emoji779]️President of Ukraine Volodymyr Zelensky can only come to Crimea in a paddy wagon. [emoji1255][emoji601]

This was stated on Wednesday, November 2, by a member of the Russian State Duma (Russian Parliament) from the Crimean region, Mikhail Sheremet, commenting on Zelensky’s interview with Czech television, in which he expressed a desire to visit Crimea if Ukraine wins the conflict.

“He will really be able to come to Crimea, but only in a car for transporting war criminals. From the window of the paddy wagon, he will be able to see Crimea, the sea, and the Crimean bridge,” Sheremet said.
 

Unajua Vizuri kuhusu Minsk agreement??
 

Ukitaka kujua kwa nini anaogopa, Kasome “Cuban missile crisis” .. ambapo Cuba ilimualika Russia na Silaha zake. USA hakukubali na Ali kosa Amani kabisa. Mpaka wakaingia kwenye mgogoro
 
Mbona Amerika iliogopa wakati Cuba ilipokuwa karibu na Russia na Russia kuweka makombora yake ya nuclear?
Unadhani ni kwa nini?

Vipi kama Russia akiweka makombora yake ya nuclear Mexico unadhani Amerika itakuwa tayari kuvumilia hilo?
 
Mfano miaka ya 1960's Urusi alitaka kuungana na Cuba aliye karibu na USA. Na kama wangeungana basi angeweka mitambo yake ya mabomu Cuba kama vile ambavyo NATO hufanya baada ya kuwa nchi ni mshirika.
Wanajizima data vijana wa Hollywood. Kila Superpower anaogopa Preemptive strike inayotokea jirani Kwani Response time inakuwa ndogo sana.

Imagine Russia akaweke Nukes zake Mexico zielekee USA.

Hawatalala waaHollywood yaan
 

Mtu yoyote anayekejeli wengine ana asili ya dharau na hasira zisizo za msingi.

Ndugu embu toa maoni yako kuhusu mgogoro wa makombora wa Cuba miaka ya 1960's ambayo USA hakutaka Mrusi awe karibu yake

Kama Cuba alitaka kujilinda na kuamua kushirikiana na Urusi kwa nini hakuachwa afanye anavitaka na Marekani walipinga vikali.


Hawa Capitalists na Communist ni maadui wa milele hawawezi kuwa majirani

Ndo maana urusi haez kukubali nato wawe mlangoni mwake maana wale ni wazee wakuchukua nchi za watu

Ndo maana unaona hao West Europe walizunguka dunia nzima kunyanganya ardhi...Africa ikigawanywa kwa hao NATO huku USA wakija kuchukua watumwa kwenda kutumika huko America

Hawa wa ulaya wametawala kwa mabavu dunia nzima na Urusi hataki hayo yamfikie


Vita zote za dunia zimeanzishwa na NATO na Marekani huwa anakuja kumalizia kazi.


Hawa NATO asili yao ni uhaini na ufisadi huwa ni kweli wanatumia uongo na hadaa kutawala wengine

Ndo maana waliwapa waafrika pombe na nguo ili wasaini mikataba kuwa makoloni yao

Na ndo wanatumia hio mikataba kuungana na hizo nchi ndogo za ulaya huku wakimfata mrusi.


MRUSI anaeza kuwa kakosea

Ila unapodili na watu wa aina hio sidhani kama alikua na option ingine

Watapigana ila mwishoni wote watapata hasara.

THERE IS NO ONE WHO IS RIGHT IN A WAR ONLY WHO IS LEFT!!!
 
Wanajizima data vijana wa Hollywood. Kila Superpower anaogopa Preemptive strike inayotokea jirani Kwani Response time inakuwa ndogo sana.

Imagine Russia akaweke Nukes zake Mexico zielekee USA.

Hawatalala waaHollywood yaan
Yah watu wanakataa facts lakini facts hazidanganyi
 
Wanajizima data vijana wa Hollywood. Kila Superpower anaogopa Preemptive strike inayotokea jirani Kwani Response time inakuwa ndogo sana.

Imagine Russia akaweke Nukes zake Mexico zielekee USA.

Hawatalala waaHollywood yaan
Yah watu wanakataa facts lakini facts hazidanganyi
 
Urusi alilenga ku annex Ukraine moja kwa moja lakini Moto aliokutana nao Kyiv tu iilimlazimisha.atoroke mbio sasa hivi anajihami hateki tena miji mingine

Wanaume wa Ukraine wamemkomalia Putin mpaka kwenye matako yake
 
Wewe utakuwa bado ndotoni na makala uchwara zako ndefu.
Urusi ilijaribu kui annex Ukraine yote February ikashindwa vibaya sana, msafara wa km 64 kwenda Kyiv ulidonolewa kama mchele unavyodonelewa na Kuku.
 
Magaidi wa Wagner Group wanafanya harakati za Ukraine na sehemu nyingine nyingi tu duniani.
 
Narudia tena, ni ujuha kujaribu kumfanya Elon Musk rejea yako ya masuala ya silaha Nuclear duniani. Elon huyu ambaye sasa hivi yuko anaparuana na raia wa twitter kuhusu ku tweet conspiracy theories, memes za ajabu ajabu na kugombana kulipia twitter verification hapaswi kuwa rejea yako panapo silaha za Nuclear za US.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…