Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Former US President Trump predicted Biden's resignation. According to him, the United States is unlikely to be able to exist for another two years - until the next presidential election.
He also stressed that America is now in a bad state.
Mkuu je unaona sababu gani kumtangaza tena na tena yule Trump? Tunajua ndiye mwizi, mbaguzi mbaya, na mwongo.
 
[emoji1258] The conflict in Ukraine has shown that the ability of the United States to deter rivals on the world stage by military force is declining - Wall Street Journal

This opinion was expressed by the head of the Strategic Command of the US Armed Forces, Admiral Charles Richard. He believes that America has little to no ability to contain China. He compared the states to a sinking ship.


[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Huyo katoa maoni yake kama tunavyotoa maoni yetu Mimi na wewe..!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Huyo katoa maoni yake kama tunavyotoa maoni yetu Mimi na wewe..!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kuna Makombora yoyote ya US au NATO yaliyoukuwepo Ukraine hadi inavamiwa?
Unafahamu kuna nchi tatu za NATO zinazopakana na Russia ? Mbona hizo hazijavamiwa??
Mbona Finland imeomba kujiunga NATO na haijavamiwa??
Inabidi uijue historia kwanza ndugu yangu

Embu rudi nyuma kwanza

Wakati USSR inavunjika miaka ya 80's

Ukraine ilikua sehemu ya USSR

"After the dissolution of the Soviet Union, Ukraine held about one third of the Soviet nuclear arsenal, the third largest in the world at the time, as well as significant means of its design and production.[2]"

USSR Ilivovunjika Ukraine ilikua ina sehemu kubwa sana ya silaha za nyuklia na mitambo yake pamoja na uwezo wa kuyatengeneza.

Na ndo maana hata sa hivi unasikia kuna vinu vya nyuklia huko Ukraine vinapiganiwa. Mara Chernobyl mara Zaporizia mara huku.

Jiulize hao Finland na wenzake wana hizo miundombinu ya nyuklia.


Unadhani mrusi hajui kuhusu hao wengine?

NATO wakikaa hapo Ukraine wana uwezo wa kutumia hio miundombinu kumpiga mrusi kwa haraka zaidi na ndo maana mrusi hataki NAto kuweka kambia hapo.


Ni somo rahisi lisilohitaji ata tuition

Ila kwa sababu unakaza kichwa na hutaki kufatilia historia basi unapata shida kungamua mambo
 
Oyaaa ivi kufika Russia natakiwa niwe na bajeti kiasi gani kwa pesa za madafu?
 


Nilishasema mtu anayekejeli wenzake bila hoja maalumu ana shida flani flani


Hayo maziwa unayoyadharau ndo yamekuleta hapo ulipo na hayo hayo maziwa ndo yatakuza uzao wako. In short bila maziwa hatupo. Nakushangaa unayadharau!


Mfano mzuri chukulia hapa TZ wewe si unaamini kuna demokrasia ya vyama vingi...na kweli si vipo ila jiulize kwa nini bado kuna chama kimoja madarakani.


Mrusi ni communist siku zote na haiezi kubadilika

China vile vile

Wanaeza kuwa na hizo chembe za democracy na ubepari lakin asili yao itabaki hivo hivo


Kama mrusi asingekuwa mjamaa basi angekua marafiki na NATO na USA
Hilo haliezekani.


Na hao maoligarchs sio ajabu kuwa matajiri ndo maana ata KIM JONG UN wa North Korea ni mjamaa ila ana kitambi na watu wake wanakufa njaa

Ideology haifi ndugu

ussr stil exists deeply in russia
 
Kazi nzuri.., lakini wawe makini yasije kutokea Tena haya.., mambo ya misafara Huwa siyaamini sana[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tuangalie kama tutaona tofauti na misafara ya Warusi huko Kiev... Maana Warusi walipopanga foleni, Waukraine waliweza kuwapiga kwa mizinga na droni makini sana .
Sasa tumesikia mara nyingi Warusi wanakosa silaha makini, angalau hawana idadi kubwa. Kama misafara ya Ukraine inaweza kuendelea, itakuwa kama uthibitisho kwamba Warusi wanakosa silaha makini
 
Warusi wanakufa wengi sababu Rais wao anaamini katika wingi, hajawapa vifaa zaidi ya Risasi
Warusi hawaogopi kuwatoa muhanga maelfu ya askari wao ili kufikia malengo yao (ndio tabia ya wajamaa na wa comunisti)...

Hata kwenye Vita vya Chechnya walifanya hivyo na kuishia kubeba hasara kubwa ya vifo, uharibifu na majeruhi.
lee van cliff T14 Armata dudus
 
Kuna mwanajeshi 1 wa Urusi kasema siku 3 zilizopita kwenye platoon yake waliuawa watu 500+ sababu hawakuwa na silaha.
Walipewa kazi ya kuchimba trenches ndipo mvua ya artillery toka Ukraine ikaanza wamiminikia.
Yeye na wenzake waliopona wakakimbia kurudi kwa aliyewatuma. Walipofika wakaomba kutopelekewa frontline. Wakapewa silaha wakarudishwa nyuma kidogo sababu hawakujisalimisha.
Walikaa siku 3 bila chakula wala msaada
 
The Armed Forces of Ukraine are pulling a large number of tanks and armored vehicles to the Kherson direction, - Kirill Stremousov.
 
Finland wana maendeleo makubwa ki teknolojia kuliko hata Russia, wakitaka kuweka silaha za nuclear nchini mwao leo ni dakika0 tu.

Pia USSR iliposambaratika silaha zote za nuclear zilizokuwa Ukraine na mataifa mengine ya USSR walizichukua Urusi, miondombinu ya Nuclear iliyopo Ukraine leo ni ya kuzalisha umeme kama iliyopo Finland tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…