Nilishasema mtu anayekejeli wenzake bila hoja maalumu ana shida flani flani
Hayo maziwa unayoyadharau ndo yamekuleta hapo ulipo na hayo hayo maziwa ndo yatakuza uzao wako. In short bila maziwa hatupo. Nakushangaa unayadharau!
Mfano mzuri chukulia hapa TZ wewe si unaamini kuna demokrasia ya vyama vingi...na kweli si vipo ila jiulize kwa nini bado kuna chama kimoja madarakani.
Mrusi ni communist siku zote na haiezi kubadilika
China vile vile
Wanaeza kuwa na hizo chembe za democracy na ubepari lakin asili yao itabaki hivo hivo
Kama mrusi asingekuwa mjamaa basi angekua marafiki na NATO na USA
Hilo haliezekani.
Na hao maoligarchs sio ajabu kuwa matajiri ndo maana ata KIM JONG UN wa North Korea ni mjamaa ila ana kitambi na watu wake wanakufa njaa
Ideology haifi ndugu
ussr stil exists deeply in russia
Tuliwaambia humu kwamba Kuna siku waliuwawa wanajeshi zaidi ya 1000 wa urusi ndani ya siku Moja..,watu wakatubishia, lakini huo ndio uhalisia..,na haya ni matokeo ya kuwatuma vijana front line bila ya kuwa na mafunzo ya kutosha.., nashangaa kwa nini urusi haijiulizi hili swali.., uingereza na bahadhi ya mataifa mengine ya NATO yanatumia zaidi ya miezi 5 kuwafunza wanajeshi wa Ukraine Tena kwa mbinu za kisasa kabisa za kivita..,wewe unatumia wiki 2 kuwamobilize vijana na kuwatuma front line???[emoji848][emoji848]Kuna mwanajeshi 1 wa Urusi kasema siku 3 zilizopita kwenye platoon yake waliuawa watu 500+ sababu hawakuwa na silaha.
Walipewa kazi ya kuchimba trenches ndipo mvua ya artillery toka Ukraine ikaanza wamiminikia.
Yeye na wenzake waliopona wakakimbia kurudi kwa aliyewatuma. Walipofika wakaomba kutopelekewa frontline. Wakapewa silaha wakarudishwa nyuma kidogo sababu hawakujisalimisha.
Walikaa siku 3 bila chakula wala msaada
Finland wana maendeleo makubwa ki teknolojia kuliko hata Russia, wakitaka kuweka silaha zq nuclear nchini mwao leo ni dakika0 tu.
Pia USSR iliposambaratika silaha zote za nuclear zilizokuwa Ukraine na mataifa mengine ya USSR walizichukua Urusi. Miongo ya Nuclear iliyopo Ukraine leo ni ya kuzalisha umeme kama iliyopo Finland tu.
Kwa hiyo, serikali ya nchi yoyote inapoamua kufanya relocation kwa ajili ya kutekeleza miradi yake ya kimkakati inakuwa kwenye Hali ya kutokalika? Mfano, vijiji vya ujamaa, na suala la hivi majuzi huko kaskazini Mwa nchi ya Tanzania.jingine....Kherson kwa Sasa hapakaliki tena
Huwezi kubishiwa kama utaweka ushahidi usio na utata. Kwa sababu, ukibisha kitu ambacho kina ushahidi usio tiliwa mashaka waweza kuonekana 'mzwazwa'!watu wakatubishia, lakini huo ndio uhalisia..
Hata yeye anasaidiwa pia na sijabisha hilo na nimeliamdika kwa ufasahakwanin yeye aone halal kuvamia nchi iliyo huru kiutawala ila asione sawa nchi aliyoivamia kupewa msaada?
Yeah! Tunaweza kukubaliana kutokukubaliana, ndugu.Huyo poroshenko aliingiaje madarakani ndo ujiulize.
Anyway wewe unataka tu ubishi na unakataa facts.
Tukubali kutokukubaliana
Wapo wengi sana hao hawaishi. Nchi nzima wakizuiwa kutoka mpaka kifo kiwatenganisheWangekufa hivyo wasingesonga mbele na pia russia ungewakuta kiyv
Tukiweka ushaidi mtasema propaganda za west [emoji848]Huwezi kubishiwa kama utaweka ushahidi usio na utata. Kwa sababu, ukibisha kitu ambacho kina ushahidi usio tiliwa mashaka waweza kuonekana 'mzwazwa'!
Kuna mwanajeshi 1 wa Urusi kasema siku 3 zilizopita kwenye platoon yake waliuawa watu 500+ sababu hawakuwa na silaha.
Walipewa kazi ya kuchimba trenches ndipo mvua ya artillery toka Ukraine ikaanza wamiminikia.
Yeye na wenzake waliopona wakakimbia kurudi kwa aliyewatuma. Walipofika wakaomba kutopelekewa frontline. Wakapewa silaha wakarudishwa nyuma kidogo sababu hawakujisalimisha.
Walikaa siku 3 bila chakula wala msaada
Anasimulia akiwa frontline . Usicheze na upinde mkuuNa nyinyi mnaona habari hizi niza kweli? Hata maelezo yenyewe ni highly flawed - mtu aliyewahi kupitia jeshini anajua platoon ina wanajeshi wangapi - eti Ukraine iliwapiga na mizinga kwenye matrech karibu wote wakafa lakini yeye kapona kimiujiza na kufanikiwa kuja kusimulia the tale the morning after - na stori anayo simulia inahusu wanajeshi wa Urusi wanavyo uwawa kama nzinge na wasivyo kuwa na ujasiri ni waoga, sijui kaja kupewa AK47 sijui na mfadhili gani - yaani stori nzima inaonekana imetungwa tu vyombo vya propaganda vya Serikali/jeshi la Ukraine, lakini kwa bahati mbaya baadhi ya members wala hilo hawalioni kabisaa!!
Ukipata mda pitia hiyo article imewekwa jana, ya The washington post, wafadhili wakubwa wa Ukraine washaanza kumwambia aangalie uwezekano wa kufungua negotiations na Russia.[emoji298]️The USA will provide financial aid and weapons to Ukraine regardless of the elections, — US National Security Advisor Jake Sullivan.
"I am sure that the support of Ukraine from the United States will be steadfast and decisive. And I'm not saying that it is "probable"
Naunga mkono hojaNiliwahi kusema kwamba Uingereza inajihusisha sana na suala hili la Ukraine, nikaongezea kwa kusema kwamba niwajuavyo Waingereza wataleta maafisa wao wa kikosi chao cha makomandoo wa SAS kufundisha kikosi maalumu cha Ukraine katika masuala ya kufanya hujuma behind enemy lines ie partsians - Waingereza ni mabingwa sana kwenye nyanja hizo, lakini wakumbuke kwamba na Warusi si mchezo watawafatilia nyenendo zao na kuwashugulikia ipasavyo, juzi hapa makao makuu yao nchini Ukraine ilitiwa kiberiti na high precision missile ya Urusi sijui kama kuna mtu aliye nusurika.
Kama vipi na Warusi nao wafanye mpango wa kuwapatia silaha na mafunzo kwa mara nyingine tena wapigania uhuru wa I.R.A ili wafufue harakati zao za miaka ya 1970/80s, na ikiwezekana wawa instigate raia wa Scotland nao wajitenge na England kwa nguvu i.e kwa mtutu wa bunduki, tuonena hilo Serikali ya White Hall watalichukulia vipi?
Binafsi,kwa maoni yangu naona Urusi ikitaka kumaliza tatizo hili la Wamerikani na Waingereza kuitumia Ukraine kuihujumu Urusi, mchezo huu utaendelezwa indefinitly hivyo ili kumaliza tatizo hilo Warusi wafanye mpangowa kui-annex Ukraine kiujumla, hata kama itawalazimu kupigana na NATO/US moja kwa moja -hawana jinsi.
Teh teh teh 😂😂 propaganda tu hizi, angekua analinda huo ubinadamu asingeivamia Ukraine.Kwa hiyo, serikali ya nchi yoyote inapoamua kufanya relocation kwa ajili ya kutekeleza miradi yake ya kimkakati inakuwa kwenye Hali ya kutokalika? Mfano, vijiji vya ujamaa, na suala la hivi majuzi huko kaskazini Mwa nchi ya Tanzania.
====
Turudi kwenye hoja Kherson. Sababu zimetolewa za Kwa nini Russia Ina relocate raia wake. Rejea maelezo ya Dimitri Medvedev, ni kuwa Russia wanathamini uhai wa binadamu tofauti na US na wenzake wanaowaza kuangamiza uhai wa binadamu(kutoka Nagasaki -Iroshima Nicaragua, Afghanistan, Libya, Yugoslavia, Iraq, Yemen, Syria Vietnam).
Kwa msingi huo Russia anatimiza agizo takatifu la kulinda uhai wa binadamu huko Kherson. Hafanyi hivyo, kwa uwoga, kwa sababu hawezi kuogopa chochote kutoka kwa waharibifu wa uhai, Maana Russia yupo upande wa yule awezaye yote. Upo?
Umetoa maoni yakoTuliwaambia humu kwamba Kuna siku waliuwawa wanajeshi zaidi ya 1000 wa urusi ndani ya siku Moja..,watu wakatubishia, lakini huo ndio uhalisia..,na haya ni matokeo ya kuwatuma vijana front line bila ya kuwa na mafunzo ya kutosha.., nashangaa kwa nini urusi haijiulizi hili swali.., uingereza na bahadhi ya mataifa mengine ya NATO yanatumia zaidi ya miezi 5 kuwafunza wanajeshi wa Ukraine Tena kwa mbinu za kisasa kabisa za kivita..,wewe unatumia wiki 2 kuwamobilize vijana na kuwatuma front line???[emoji848][emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hapo UN kuna ujinga unaendelea, aliyekuwa rais wa venezuela marehemu hugo chaves kipindi alipokua akihutubia hapo hasa mwaka 2008 kuna mengi alikua anaongea kuhusu dunia yetu na huo umoja wa mataifa uliowekwa mfukoni na marekani ili kusimamia maslahi yake. So sad CIA kill him.Ukweli Ni kwamba UN ni just tawi la US.
Na UN imeisaidia Sana US kuweza ku establish hiki wanachokiita Rule Based Order .
Kinachotokea sasa kinapelekea UN kuwa useless (ndio huko ku establish mihimili mengine), kitu ambacho US hataki kabisa kukisikia.
Cheap propaganda.....humu JF bila Shaka kuna watu wanalipwa kueneza uzushi na propaganda dhidi ya Russia...haiwezekani mtu uje na comment za ajabu Kama hizi....eti Rais wao anaamini katika wingi na kwamba eti hajawapa vifaa zaidi ya risasi ...how can someone believe that?! Rubbish...Warusi wanakufa wengi sababu Rais wao anaamini katika wingi, hajawapa vifaa zaidi ya Risasi
Kama yamekuuma pole mkuu, najua ni ngumu kumeza,Umetoa maoni yako
Unapoteza muda wako bure kubishana na habari zao.habari zao ukienda kwenye chanzo unambiwa kamanda wa ukraine ndo kasema[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Na nyinyi mnaona habari hizi niza kweli? Hata maelezo yenyewe ni highly flawed - mtu aliyewahi kupitia jeshini anajua platoon ina wanajeshi wangapi - eti Ukraine iliwapiga na mizinga kwenye matrech karibu wote wakafa lakini yeye kapona kimiujiza na kufanikiwa kuja kusimulia the tale the morning after - na stori anayo simulia inahusu wanajeshi wa Urusi wanavyo uwawa kama nzinge na wasivyo kuwa na ujasiri ni waoga, sijui kaja kupewa AK47 sijui na mfadhili gani mtoa stori hii anajifanya ni mwanajeshi wa Urusi, hii wapi na wapi.
Yaani stori nzima inaonekana wazi wazi kuwa imetungwa na vyombo vya propaganda vya Serikali/jeshi la Ukraine, lakini kwa bahati mbaya baadhi ya members wala hilo hawalioni kabisaa!!
Vipi kama Russia akiweka makombora yake ya nuclear Mexico unadhani Amerika itakuwa tayari kuvumilia hilo?
Mexico ina haki ya kutafuta usaidizi ama hakikisho la usalama wake kutoka jumuiya ya kimataifa ama nchi nyingine yeyote yenye nguvu ikiwa Marekani itaonesha tishio la kijeshi dhidi yake ama uhuru wake wa kujitawala (sovereignty).Imagine Russia akaweke Nukes zake Mexico zielekee USA.