kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Wazee wa trap wamekula Kona, sijui wamejibanza wapi,wanaichungulia hii thread kwa uchungu kweli [emoji23][emoji23][emoji23]Wazee wa trap. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lini utakenda ukweni EthioKwa jinsi mambo yanavyokwenda hata ukiwauliza Pro Russia wa hapa JF nini hasa malengo ya hii vita kwa Russia,hakuna mwenye jibu la moja kwa moja
Nilidhani upo Jiji la Kherson kulinda lisitwaliwe na Jeshi shupavu la Ukraine [emoji3][emoji3]
Kumbe unajua kabisa kuwa anachosaidiwa Ukraine ni silaha tu lakini frontline anapigana mwenyewe.Sasa kulikoni kuwasingizia hao Nchi 40+ kuwa wanapigana na Russia?Kwa hiyo bila silaha kutoka hizo nchi 40 Ukraine ingekuwa inapigana kwa kutumia fimbo?
Kwa hiyo unashabikia vita ambayo hata malengo yake huyaelewi[emoji848]
Tuache kwanza tunakunywa Vodka huku tukitafakari kinachoendeleaWazee wa referendum mpooooooooooooo [emoji12][emoji2957][emoji2957]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]utasikia huo ni mtego tu wamewekewaWazee wa trap. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani wameumia sana, plus in reality Russia inapitia wakati mgumu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji24] utasikia huo ni mtego tu wamewekewa
Mambo Bwana Utam. Eti Kherson bado ipo chini ya Warusi? Leta update!hvyo vimitaa sio LUHANSK sio DONESTK sio ZAPO wala KHERSON
Mda wa kunywa vodka mnaupata wapi wakati moto wa ukraine haujazimika[emoji23][emoji23]Tuache kwanza tunakunywa Vodka huku tukitafakari kinachoendelea
Kumbuka jeshi la Ukraine lina kila technical support kutoka NATO since 2014,Ukraine hata wachukue 200 yrs hawawezi kuja kubwa na jeshi la kuiyumbusha Russia.The only solution ambayo western & Ukraine wanaweza wakafanya ili kukabikiana na Russia ni kuweka Silas za Nuclear hapo Ukraine na hilo haliwezi kuja kutokea maana ndio utakuwa mwisho wa Taifa hilo.
Hii ndo lugha rahis ya kuelezea operation ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo [emoji2][emoji28][emoji1787]yeyote atakae Ingilia oparation hii.
basi jibu la Rusia litakua ni hapo kwa hapo.
na matokeo yake itakua ni pigo la historia ambalo haijawahi kukutana nalo.
Mwisho wa kunukuu
PUTIN feb.23/2022 saa 3:47 usiku saa za moscow
Na baada ya hii vita kila mmoja atamheshimu mwenzake.., urusi atamheshimu Ukraine, lakini pia Ukraine atamheshimu urusi..,Yale mambo ya kupangiana marafiki hayatapata Tena nafasiSince 2014? Check your record upya. Since 2014 training zimeanza, and kumbuka hawa watu walikuwa wanalitoa jeshi lao from soviet standards to european standards. Even military structure yao imebadilika.
Tofauti ya 2014 na sasa ni kuwa by 2014 hakukuwa na haraka, things were slow. Lakini sasa mambo ni tofauti
Sisemi jeshi la ukraine ni bora, but changes ambazo wame receive over muda mfupi zime prove success kwenye uwanja vita.
If russia ata relax akimin kuwa ukraine hawatoendelea na mabadiliko yao, basi wanafanya kosa kubwa sana sana sana.
Itachukua muda ukraine army kuimarika, but muda ni jibu. They will get there
Nashangaa tupo kwenye mambo ya vita wanatamka mambo yasiuohusiana kabisa baadae wanasema USA wamewalazimisha kumbe wao wenyewe kutwa kutamka...Afganistani moto hata Russia mwenyewe alikimbia.we leta hoja nzito acha kujifichia kwenye kichaka Cha ushoga kudhulumu haki za watu.mbona hapa bongo wapo Kwa uwahi ishiwa damu mkuu?
Mkuu wapi pameandikwa siku tatu?! Au umekunywa vodka?!Nyie wachafuzi wa jf mna vituko kwel kwel aseee
Yaani CIA wajue sirikali ya UKRAINE itaanguka kwasiku tatu wakat hao NATO hawakutumia hata mwezi kuiangusha hata LIBYA ambayo ilikua tayar ishavuruganwa
Halaf RUSSIA hawakujua hayo yote kama wanapigana nanani
RUSSIA sio ZIMBABWE na alijua na anajua yote yanayoendelea nayatakayoendelea baada ya hii SMO
Sent using Jamii Forums mobile app