Anaupenda sana ndio maana mda wote uko mdomoni mwake kulala na kuamka.Kwa nini unapenda sana kutumia hayo maneno ya mashoga mkuu vip? Tupo kwenye mada za Vita unachomekea hizo mambo vip mazee...
Na baada ya hii vita kila mmoja atamheshimu mwenzake.., urusi atamheshimu Ukraine, lakini pia Ukraine atamheshimu urusi..,Yale mambo ya kupangiana marafiki hayatapata Tena nafasi
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mnaongea sana ila mkianza kushushiwa vitu vizito mnapoteanaIla nadhani tusiwasimange sana hawa pro-russia, siyo matakwa ya utashi wao kupenda russia, shida ninayoiona mimi hawq wenzentu wanapenda sana magwaride, wakiona ile mistari imenyooka wanasema yeeees, jeshi sasa ndio hili. Zikipita scraper yale mapipa makubwaa wanadata kabisa.
Sasa tukija field.....
Vita huwa ni silaha kusingekuwa na silaha ndani ya hii dunia kusingekuwa na vita.Kumbe unajua kabisa kuwa anachosaidiwa Ukraine ni silaha tu lakini frontline anapigana mwenyewe.Sasa kulikoni kuwasingizia hao Nchi 40+ kuwa wanapigana na Russia?
Kina Morogoro Kaskazini na wenzake [emoji3][emoji3]Wazee wa trap
Huenda watalipua kama vituo viwili au vitatu vya miundombinu ya maji na umeme Ili kuwafuta machozi wafuasi wao,,[emoji23][emoji23]Jumatatu nying zimekuwa ni kilio kwa Ukraine tusubir jumatatu tuone Russia watafanya kitu gan
Duh! Imetokeaje wakaacha hii store yote ya silaha? Mbona walipewa muda wa kutosha Ili wajiandae kutoka huko kheson?[emoji848][emoji848]Zawadi walizoacha wanywa gongo wa Putin
Habari dada....tangu juzi Jana na leo umeonekana Mara nyingi humu...uendelee hivi hivi mpendwa...usiwe unapotea Sana....Mambo mazuri yaja🤣🤣Nilidhani upo Jiji la Kherson kulinda lisitwaliwe na Jeshi shupavu la Ukraine [emoji3][emoji3]
HatujatokaRussia anatoka Ukraine Kazi na Malengo yetu yametimia . Uraah
Vita huwa ni silaha kusingekuwa na silaha ndani ya hii dunia kusingekuwa na vita.
Kwa hiyo bila silaha hao wanajeshi walioko frontline wangekuwa wanainama kisha matako yao yanatoa risasi ,mizinga na mabomu sio?
Mbona huwa mnajitoa akili hata kwenye mambo ambayo yako wazi ?
Silaha ndio kitu muhimu kwenye uwanja wa vita na si vinginevyo.
Mwanajeshi akiishiwa silaha kwenye uwanja wa vita huwa kama kuku aliyenyeshewa mvua tu huwa hana maajabu yeyote.
Hata sababu kubwa ya Urusi kuondoka kherson ni baada ya kugundua kuwa hawataweza tena kupeleka silaha za kutosha kwa wanajeshi wake walio kherson kutokana na kuharibika kwa daraja la Cremea ambalo ndo ilikuwa njia kuu ya usambazaji kwenye mkoa huo kwa hiyo waliofia kuwa wange poteza maelfu ya wanajeshi wake iwapo Ukraine ingefanya shambulizi kubwa dhidi ya mji huo.
Eti jeshi la Urusi litadharaulika una chekesha kweli dada yangu,
yaana lishindwe kudharaulika jeshi la Marekani lililo shindwa na wanamgambo wa kiafghanisitan ambao hawana silaha zaidi AK-47, lije lidharauliwe jeshi la Urusi linalo pambana na jeshi lenye kila aina ya silaha bila shaka unatania haukuwa siliasi.
Hii misaada ya kijeshi kwa Ukraine kutoka mataifa mbali mbali na Israel kusema haina silaha za ulinzi wa kutosha kuipa Ukraine ilikuwa ni uongo?Litadharaulika sana kwakuwa linapigana na Ukraine.Hiyo ya kupigana na Nchi 40+ ni porojo zenu.Huo uwezo wa kupigana hata na UK tu hana ije kuwa hizo Nchi zote.
Duuh kumbe kuna silaha kutoka syria na North korea zimeenda Russia!Mkuu sorry kuingilia! Kwa mantiki yako na Ukraine aseme kwamba anapigana na nchi 4 tofauti? Maana Russia anapata misaada ya wapiganaji na Siraha kutoka Syria, Iran na N.korea.
Halafu baada ya muda Urusi itaanza kufurumisha makombora ya Cruise toka mbali kwenda kwenye maeneo anayodai ni ardhi yake bila kujali wananchi anaodai alikuja kuwakomboa.tunashangaa inakuwaje taifa linalojiita super pawer linashindwa kulinda ardhi yake iliyojimilikisha!?
Teh teh teh 😂😂 hawaamini macho yaoIla nadhani tusiwasimange sana hawa pro-russia, siyo matakwa ya utashi wao kupenda russia, shida ninayoiona mimi hawq wenzentu wanapenda sana magwaride, wakiona ile mistari imenyooka wanasema yeeees, jeshi sasa ndio hili. Zikipita scraper yale mapipa makubwaa wanadata kabisa.
Sasa tukija field.....
Kuna maamuzi magumu zaidi ya kuvamiaSasa mkuu kwenye post yako hapo juu umesha sema kuwa hata washirika wa putin ndani ya ikulu wenda hawajui lengo la Putin sembuse sisi warusi wa singida?
Kila mtu humu anajaribu kubashiri tu lakini kitakacho tupa majibu ni muda maana muda ndio hakimu wa haki, na ni razima muda utafika tu na majibu tutayapata hata iwe miaka 10.
Lakini mm kwa mtazamo wangu japo mm sio mtabiri naona siku za mbeleni taifa la Ukraine likikabiliwa na maangamizi makubwa sana iwapo Putin ataamua kujitoa akili na kuchukua maamuzi magumu.