Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nimejikuta nikicheka kijinga Sana na kufikili mbali Sana, jf ni kiboko unaweza kuta mtu unatukanana na boss, Ndugu ,mzazi wako bila kujua, ila mkikutana story ,na tabasam kibao
Itabidi tutafute siku iwe ya kutuma picha ili tufamiane vizuri maana unaweza ukamwambia mtu( Fara wewe) kumbe ni baba mkwe wako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Itabidi tutafute siku iwe ya kutuma picha ili tufamiane vizuri maana unaweza ukamwambia mtu( Fara wewe) kumbe ni baba mkwe wako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu nakwambia jf kiboko sana, au unaweza kuta mtu na mke wake wanatukanana, ila wakirudi nyumbani upendo Kama wote, baby nyingi kumbe walikua wanatoana ngeo jfπŸ˜‚
 
Nato wanapigana na urusi kwa akili wewe, hawatumii manguvu kama urusi.. akili mtu wangu
Anayetumia akili ni huyu general mpya wa Urusi.yeye atumi wanajeshi ovyo kama kumbikumbi wanavyofanya wanajeshi wa Ukraine.

Ukiangalia ramani ilivyo tu unaona kabisa jamaa anatumia akili kwenye hii vita.karudisha jeshi nyuma ili kuweka mpaka kati ya vikosi vyake na vikosi vya Ukraine.inamaana kwa sasa upande wa Kherson hakutakuwa na vita, upande wa zaphorozia napo hakutakuwa na vita,vita itakuwa kwenye jimbo la luhansk, kharkiv, na donesk .

Ili ukomboe maeneo ya zaphorozia na kherson yanayoshikiliwa na Urusi basi lazima uwe na meri vita au ujenge madaraja kama vile daraja la kherson lililobomolewa kwa sababu kuna mto Dnipro umetenganisha Kherson oblast upande wa kaskazini na upande wa kusini.ivyo ivyo napo zaphorozia umetenganisha kama ivyo.

Ili ukraine akomboe hayo maeneo yaliyobaki ni lazima nguvu zake zote awekeze Donesk na luhansk.
 
Leo jumatatu hakuna hata jiwe lililorushwa super power wa mchongo hana kitu hata ule upande wa pili waliokimbi upande wapili wa mto leo hawaonekani inamaanisha wamekimbia mbali zaidi
 
Mtaleta visingizio vya kukimbia ili ajipange ila ukweli vita imemshinda maji ya shingo hata snake island mlisema ni mtego zile drone za Iran hazisikiki tena na General mashavu alijua vita ni kushambulia umeme na maji hiyo hawajafanikiwa maana umeme upo na maji yapo kwa sasa
 
Tarehe 24/Feb hadi March 10 wanajeshi wazoefu wengi mno kutoka Urusi walikufa. Na wananchi wengi wa Ukraine waliuawa

Urusi alipoteza sana wanajeshi mahiri, maana waliaminishwa Ukraine wataweka silaha chini
 
Do you know anything about Russia???!!! Amekuaibisha ukiwa wewe na wenzako mnaodai mmeaibishwa ni akina nani??!! Mna maslahi gani na Russia??!!!
Matarajio mara nyingi huleta huzuni mkuu. Hasara ya vifaa vita na vifo kwa wanajeshi ni kubwa sana na kwa hali ilivyo hii SMO haishi siku za karibuni. Tunapigwa kwenye uwanja wa vita, tunapigwa kwenye propaganda.

Western wanaongeza misaada ya silaha kwa ukraine. Wanazidi kuajiri mamluki toka nchi mbalimbali. Tulishafanikiwa kwa kiasi kikubwa kumaliza nguvu ya jeshi la ukraine lakini kila siku wanapata misaada toka magharibi. Hii ngoma inabidi russia wabadili mbinu.
 
Tarehe 24/Feb hadi March 10 wanajeshi wazoefu wengi mno kutoka Urusi walikufa. Na wananchi wengi wa Ukraine waliuawa

Urusi alipoteza sana wanajeshi mahiri, maana waliaminishwa Ukraine wataweka silaha chini
Kwa kweli lilikuwa janga kubwa kwa jeshi la Urusi..,kule histomel airport waliwasubiri wote wakajaa .., alafu mvua ya maloket ikaanza kuwanyeshea..,wakaanza ku-fight for life [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ukrainian President Volodimir Zelensky reported on Sunday the death of a sapper working on the demining of the Kherson region, recently seized from Russian forces by the Ukrainian Army.

Four other people were injured in the explosion, Zelensky explained in his usual evening message on social networks
 
In addition, Zelensky has announced that he will address the G-20 summit next Tuesday. "We are actively preparing an important week for Ukraine.

The leaders of the 20 leading economies of the world are meeting in Indonesia and "our position will be represented," Zelenski has noted in his speech.
 
Kherson was the only regional capital to be captured by Russia since the February invasion of Ukraine.

The region, along with three others, was proclaimed by President Vladimir Putin to be part of Russia, at a ceremony in the Kremlin in September.

But Kherson city was liberated by Ukrainian troops on Friday. Crowds of flag-waving Ukrainians greeted Kyiv's soldiers with hugs and kisses.
 
Russia is very much prepared for this scenario....wait and you will see.
 
Nadhani jamaa data za Kherson alichukua hapa View attachment 2416044
Hizo kama unavyoziona hapo ni Sq Km... (Square Kilometres) kama alivyosema Venus Star

Sasa kuna yule wa "Tamaduni ndogo" akawa anadai ni Sq M... (Square Meter). Hicho ndicho kilichopo kwenye maelezo yangu.

Na by the way hizo Unit zilizopo kwe blacket pembezoni mwa 135.7Sq Km ni Miles sio Meter. Ambapo 1 Miles ni sawa na approximately kama 1.6 hivi KM.

Hope umeelewa sasa maudhui ya nilichoandika. 10 thousand na 10 million zinafanana numerical za awali tu ila zina value tofauti.

135sq KM na 135sq M... Ni vitu viwili tofauti hata kufikiria ukaribu wake. Hizo 135sq M nyumba yangu yenyewe kubwa kuliko hilo eneo πŸ˜‚.
 
T14 Armata ....hizi helikopta ni sawa na Apache ?
 
Sasa kama unayajua haya,Urusi kakuanguashaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…