Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama wewe ni mvivu wa kufuatilia kaa hivyohivyo.
Mkuu huyo Ni ndama sio binadamu wa kawaida
Wew ndama ushanyonya!
 
Ona bangi hizi!
 
Makombora ya Russia ni symbolic lakini hayana strategic advantage yoyote. Sasa kama Mtu unarusha Makombora kwenye makazi ya watu unaacha wanajeshi maana yake nini[emoji23]
 
Haya Makombora ya Russia ni kukosa shabaha au wamedhamiria kuua Raia wasio na hatia?! Maana Makombora karibu yote yanapiga makazi ya Raia tu

Hawawezi kulenga. Sehemu kubwa ya makombora yao ni ya kale, wanakadiria tu halafu kombora lapiga popote......
 
Sasa kama yamepiga kwenye hayo majengo iweje Kharkiv, Kiev, odessa wakose umeme[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu, soma habari. Kwa mitambo ya umeme walitumia mara nyingi droni za Irani; hizo wanaweza kulenga, ingawa zinabeba mzigo usio mkubwa. Makombora yao ni tofauti,
 
Uzuri intelligensia ya Ukraine ulitabiri hili tangu last week kwamba Urusi itavurumisha Makombora Kiev baada ya kujiondoa Kherson.
Hiyo haipunguzi maumivu ya kushindwa kwake Kherson,yeye aendelee kuvurumisha tu ovyo hayo makombora lakini akitulia Jeshi Shupavu la Ukraine litakuwa lishasonga mbele zaidi kule frontline.
 
Wewe uko huko TZ Tena basi pengine kinyerezi unasema huoni ajabu...wenzio wako kule Kiev wanaangamizwa na kutokomezwa...
Lakini haiondoi ukweli kuwa kule Kherson alishindwa.Sasa akirusha makombora ovyo Kyiv atakuwa amearchieve nini hasa cha maana? Wakati Ukraine wanapigana kwa mipango na wana archieve kitu wanachokusudia,Russia anakuwa kama kifaru aliyekoswa na risasi anaishia kuparamia miti ovyo kumaliza hasira zake.
 
Urusi imerusha zaidi ya Makombora Mia ikishambulia makazi ya watu pamoja na miundombinu ya nishati.

Mpk sasa ni Mtu mmoja ambae amefariki.
 
Wew 🐄 Mooo a.k.a ndama bado hujachelewa kutubu ebu pitia hapa kabla hujaenda kunyonyeshwa.

MADHARA YA KUPIGA PUNYETO NA KUANGALIA FILAMU ZA NGONO

1.unakuwa sio rafiki wa Mungu utaona aibu kumdhalilisha Mungu kwenda naye kinyume na mpango wake aliobuni kwa viumbe wake jinsia ya kike na kiume so unakuwa sio mcha Mungu

3.hutaenda mbinguni Wala kurithi Ile ahadi kubwa na yenye thaman ambayo tunaitumaini ya kuonana na MUUMBA kwani dhambi haijawahi kumwacha yoyote salama

3.una develop tabia za ushoga na usagaji.wapiga punyeto wengi hupiga huku wakiangalia picha za ngono (X) so mule ndani Kuna michezo michafu unaweza kuiga kwa mfano kujiingizia vidole, vibrator,sex toys ambayo mwishowe hupelekea kujiingizia kwenye Aina nyingine za ngono

4.kupunguza nguvu zako za kiroho na kiakili na kimwili.kwa sababu mbegu za kiume ndio fluid ambayo Ina protein grade A.means uzalishwaji wake Ni wa process complex Sana yaani tata.nutrients za kutosha zinahitajika so naweza kusema uki cum unakuwa umepoteza kitu holy yaani kitakatifu kuliko vyote katika mwili bila sababu za msingi..unakuwa umeua roho nyingine ambazo hazina hatia.

So Mkuu moo a.k.a ndama usidanganywe kwamba punyeto Ni natural way ya kujiliwaza.hii Ni ibada ya kishetani.
 
Kutoka kushangilia kukamata maeneo mpk kushangilia Umeme kukatika Kiev!!!!? Kweli nyani katema bungo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Russia anataka Symbolic victory, unadhani aibu aliyoipata kwa kukimbia Kherson ni ndogo?! Lazima apate cha kuonyesha wananchi wake kupitia vyombo vyake vya habari ndio maana Ukraine tangu last week walisema wana taarifa za intelligensia kwamba Russia inataka kufanya massive missile attacks kwenye miundombinu ya nishati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…