mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Tunajitaftiaga vijisababu vya kijinga tuTanzania tumeshindwa hata safirisha watu hadi Moro, walio vitani wanaweza
Makumbusho hapa napajuaaaaaKwa wale wazee wa location.hapa ni mkoa gani nchini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2417844
Wawashe mishumaa. Kesho utarudi.Neno moja kwa watu wa KiEV usiku[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Bora wao wako vitani,mbona wewe upo gizani na maji huna na unaona fresh tuNeno moja kwa watu wa KiEV usiku[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Acha tu Kaka. Ni huzuni Kwa kweli.Sema Tanzania hatuna Vita lakini chaajabu hatuna umeme
Tena utarudi fasta,tumuulize yeye hayupo vitani na ana mgao mkali wa umeme na maji pia.Wawashe mishumaa. Kesho utarudi.
Ziko chache na ni gharama kuzioperateKwani zile air defence zimeenda wapi
Sasa kama mtu mmoja ndio amefariki huoni ya kwamba taarifa za kushambulia makazi ya watu ni propaganda?Urusi imerusha zaidi ya Makombora Mia ikishambulia makazi ya watu pamoja na miundombinu ya nishati.
Mpk sasa ni Mtu mmoja ambae amefariki.
Leo sio kuua raia lengo ni kuvunja maficho ya magaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji854][emoji1787][emoji1787][emoji854][emoji1787][emoji854][emoji1787][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Urusi imerusha zaidi ya Makombora Mia ikishambulia makazi ya watu pamoja na miundombinu ya nishati.
Mpk sasa ni Mtu mmoja ambae amefariki.
Propaganda wakati kuna ushahidi wa video Makombora yakitua kwenye makazi ya watuSasa kama mtu mmoja ndio amefariki huoni ya kwamba taarifa za kushambulia makazi ya watu ni propaganda?
Hii mifumo imepambwa na mashoga pamoja na wapiga punyeto ila kiuhalisia hamna kitu... Urusi amempakia mtoto mkongo anajipigia tu 😊😊Sasa hii mifumo kazi yake ni nini.ebu mnijuze wakuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2417747View attachment 2417748
Sasa mbona idadi ya watu waliofariki haina uhalisia ?Propaganda wakati kuna ushahidi wa video Makombora yakitua kwenye makazi ya watu
Hapo ni Timbuktu Mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]Kwa wale wazee wa location.hapa ni mkoa gani nchini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2417844
Mali huwa zipo vijijiniHuko anacontroll Russia ni vijijini, city center Ukraine kaichukua, ni kama Arusha kwa mjin na pa maana tuirudishe Tanzania, uko vijijin na machakani wachukue Wakenya, ko kiufupi Kerson ipo kwa Ukraine
Umewahi kujiuliza hizo air defence systems zikimiss target Huwa zinaenda kutua wapi?Madhara yake??Putin ni chizi pamoja na kamanda wake, kuna haja gani ya kupiga makazi ya watu badala ya kupiga sehemu vita inapiganwa, its a shame, kama ameshindwa kupigana na wanajeshi ni bora arudishe askari wake na maisha mengine yaendelee.
Kosa kafanya Baba so why upige watoto?
Ndio kitu anachofanya dikteta Putin, tupigane kwenye uwanja wa vita na sio kupiga wananchi ambao wamelala kwenye nyumba zao bila sababu za msingi.
Kuwa na viongozi kama hawa kwenye Dunia hii iliyostaarabika ni kero sana