Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hiyo haipunguzi maumivu ya kushindwa kwake Kherson,yeye aendelee kuvurumisha tu ovyo hayo makombora lakini akitulia Jeshi Shupavu la Ukraine litakuwa lishasonga mbele zaidi kule frontline.
Sasa mnalialia Nini?Ikilipuliwa miundombinu ya Russian mnashangilia,mkuki ukigeuka mnalialia!
Tulieni dawa iingie!
NB:Ikiwa target mojawapo ni Kambi ya kijeshi ya Ukraine na ikalipuliwa,haiwezi kuona habari hizo kwenye media,watareport tu maeneo ya kiraia!
 
Kuna bahadhi walikuwa wanajifariji kwamba baada ya urusi kwenda upande wa pili wa mto Ina maana kheson hapatakuwa na mapigano Tena maana majeshi ya urusi na Ukraine yatakuwa yametenganishwa,na itamsaidia urusi kupunguza ghalama za vita, kumbe walikuwa wanajidanganya tu,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Unaijua Kinburn pensula au unaongea tu kujifariji
 
Nani kalialia? Mbona mnapenda kulazimisha mambo yasiyo na uhalisia? Ukraine yupo anatembeza kichapo kukomboa ardhi yake,hayo mambo ya kulialia umesema wewe,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Na wewe umekurupuka kama mwenzako[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Kutoka hapo kinburn penisula mpaka Kherson katikati ni zaidi ya km 99 kukatiza kwenye maji.ili upeleke jeshi ni lazima uwe na meri za kubeba vifaa na wanajeshi, uwe na battle ship kwa ajili ya kulinda wanajeshi na vifaa vikingia nchi kavu.kwa ukraine inawezekana ilo?.

Ukraine kuvuka kherson ya kusini msahau kabisa na haiwezekani kijeshi
 
Kama umekasirika nenda MOSCOW kamkamate PUT IN

Haya makasiriko yako yenu hayatafanya field kubadilika

NATO waliingia LIBYA kumpiga gadafi alipokua etu anaua raia wake kama mlivyodai ila chakushangaza wanashindwa kuingia UKRAINE kulinda raia waliovamiwa

RUSSIA inatoa somo adim mnooo wachache tu ndio mtaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🚨🚨🚨 Ukrainian resources publish a list of areas where there are now power outages:

Kyiv;
Zhytomyr;
Ternopil;
Lvovskaya;
Odessa;
Kharkov;
Zaporozhye;
Rivne;
Volynskaya;
Dnepropetrovsk⚑⚑⚑
 


πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡ΊπŸ‡¦βš‘Retribution Strikes 2.0 - Summary as of 11/15/2022 10:00 AM PT

From such activity of retaliation strikes, we have already managed to wean a little! Some have already called today's wave of rocket attacks the most powerful during the hostilities. Apparently, it will still continue today, problems with electricity and water are already in the vast majority of large cities.

πŸ’₯At the moment, we know about arrivals in:

β€” Kyiv
β€” Kyiv region
β€” Sumy
β€” Sumy region
β€” Kharkov
β€” Kharkiv region
β€” Kremenchug
β€” Cherkassy
β€” Zaporozhye
β€” Krivoy Rog
β€” Kirovohrad
β€” Dnepropetrovsk
β€” Nikolaev
β€” Nikolaev region
β€” Odessa
β€” Odessa region
β€” Vinnitsa
β€” Zhytomyr
β€” Khmelnytsky
β€” Ternopil
β€” Chernivtsi
β€” Ivano-Frankivsk
β€” Lviv
β€” Lviv region
β€” Kovel
β€” Rivne

⚠️Infrastructure facilities were hit in:

β€” Lviv
β€” Khmelnytsky
β€” Poltava region (Kremechugsky district)
β€” Kirovograd region
β€” Vinnitsa
 
πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ’₯It is possible that today we witnessed one of the largest missile strikes on the territory of Ukraine. Consequently, a spokesman for the Ukrainian Air Force said that during today's massive missile attack, the Russian army used about 100 cruise missiles. According to him, this raid surpasses the missile attack on October 10, during which 84 missiles were used.
 
Leo sio kuua raia lengo ni kuvunja maficho ya magaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji854][emoji1787][emoji1787][emoji854][emoji1787][emoji854][emoji1787][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji23][emoji23][emoji23] apartments za watu zimekua maficho ya magaidi[emoji23]...Kweli Russia inapumulia Gas
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2417818
Ila Putin ni badass flan hivi.
Yaani baada ya jamaa kutoa points zake huko G20 Putin kapiga mibomu. Aisee this man is never scared of any person.

Ila amalize operation Sasa.
Halafu atujibie kuhusu mmatumbi wetu wa Zambia. I want to hear the tone of Russia on Zambian issue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…