mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Omba msamaha kwa Warusi wala hakuna kingine zaidi ya icho.unatesa raia wako bure
Nilijua tu haya yatatokea[emoji1787][emoji1787][emoji1787].kwani kusoma ajui hata picha haoni kule Ukraine wenzake wanavyojifungia kwenye maandaki
Tukiachana na Ng'ombe na Masai,ulichokisema hapa sio kweli mkuu,labda tu kabla ya yote utuambie AKILI ni nini?....then tuendelee!!Watu huwa wananishambulia sana na hii statement.
" Huwezi kuta ng'ombe akichunga kundi la masai"
Siku zote hata katila level ya familia, ukiruhusu kuongozwa na mamlaka isiyo na akili ujue ww huna akili zaidi.
Asiye na akili akitwaa mamlaka hata kwa bahati mbaya dhidi ya wenye akili, hawezi kudumu kwenye hiyo nafasi, wenye akili watamuondoa tu.
Acha uwongo wewe hiyo mara 100 umepima kwa kipimo gani au kipimo mahabaIli uweze kuwa Rais wa Taifa lolote Duniani,mojawapo ni utatakiwa uwe na utimamu wa akili. Ni wewe na mawazo yako mfu na ujuaji wa hapa JF tu ndiyo utamuona hana akili kwakuwa upeo wako ndiyo umefikia hapo.Kumbuka Zelesky ni Rais wa taifa lenye nguvu mara 100 kuliko Taifa lako katika nyanja zote na wewe hata kwa Taifa lako hujawahi kuwa hata balozi wa nyumba 10 [emoji1][emoji1].
Na yule anayewatoa wafungwa magerezani na kuwapeleka front line kwa nguvu anafanyaje vile??Omba msamaha kwa Warusi wala hakuna kingine zaidi ya icho.unatesa raia wako bure
NATO wampige Ukraine Sasa, wanasubiri nini?Kombora lilirushwa na Ukraine
Hii imesemwa na Marekani, Poland
Huyu ndiye kiboko wa fashisti anayejiita Putin.., fashisti katoa mikwara yote lakini imegonga mwamba kwa huyo jamaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akili ni nini 🤔 🤔Tukiachana na Ng'ombe na Masai,ulichokisema hapa sio kweli mkuu,labda tu kabla ya yote utuambie AKILI ni nini?....then tuendelee!!
Vita ni vita mura!Na mfano mzuri wa viongozi wendawa zimu ni hao wanaopiga makombora hovyo kwenye makazi ya watu,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hizo sababu zisizo na msingi unazijua ww kwa sababu sio Mrusi na wala sio mwana siasa.Wewe ukivamiwa nyumbani kwako na mtu anataka kuchukua kila kitu ulichonacho utafanyaje ili kulinda vitu vyako visichukuliwe? Putin hakutumia akili kwa sababu hakukuwa na lazima ya kuanzisha vita iloyopelekea umwagikaji mkubwa wa damu na kuwafanya watoto wa wenzie wakafie vitani bila sababu ya msingi.
Wanadhani bado tutaendelea kua online JF tunatukanana[emoji23][emoji23][emoji23]Wapuuzi wanaparara tu hapa wapigane, wapigane wanasahau kuwa wakianza hizo ngumi mipaka ikafungwa na mitandao ikapotea kitakachobaki ni kutegemea tbc redio kutoa updates, mafuta kukosekana, na mafuta yakishakosekana hakuna usafirishaji wa chochote, mijini hakutakalika sababu hakuna chakula, serikali itashindwa kufanya kazi maana hata polisi hawataweza kuwa na usafiri, uhalifu utakuwa juu, Madawa hayatakuwepo, sindano hazitakuwepo, umeme utakata na mabalaa mengine mengi.
Sijui wanadhani vita vya NATO na Urusi vitakuwa vinatazamwa kama world cup [emoji2] [emoji2]
HahahaWanadhani bado tutaendelea kua online JF tunatukanana[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kwamba mpaka sasa hujui au.
Makombora yamerushwa na Ukraine. Kwa mzoefu yeyote tangu hiyo jana asingethibitisha kusema makombora ni ya Urusi. Mpaka sasa upo tu[emoji16][emoji23][emoji16]
Kwahio mwanachama akiguswa kidogo hakuna shida
Hilo la meli nkuache ukalipitie vyema kujifunza sio vibaya
No Action Talk Only
Sent using Jamii Forums mobile app
Taliban ya Afghanistan right? Hapa USSR walifanyajeHuyo huyo Marekani aliye iangusha USSR ndio huyo huyo aliye shindwa kuiangusha Vietnam na Talban kwa hiyo acha kukalili.
Na hapa hiyohiyo Turkey utasingizia mlango bahariNdio maana siku hizi nakuita kilaza kwahiyo unataka kuniambia ya kuwa hujui ya kwamba mlango wa kuingia kwenye bahari nyeusi inamilikiwa na Uturuki kisheria ndio maana unahitaji ruhusa ya Uturuki kupita?
Angekuwa kazizuia kupita kwenye maji ya kimataifa ndo ningeiona Uturuki ni mbabe kweli.
Tuongee yote lakini NATO na Urusi wanaogopana kutokana na nguvu za maangamizi walizo nazo.
Kwa hiyo tupupunguze ujuaji wa kijinga.
Mkuu sijui ulikunywa au kuvuta nini?? Tulia tu, hakuna anayetaka kutisha kunguru wala inzi za Urusi! Ila kwa bahati mbaya nchi mbalimbali zinashirikiana kusaidia silaha zinazoua binadamu kutoka Urusi walioingia katika nchi ya jirani, tena maelfu.[emoji23][emoji16][emoji23]
Basi nanyie kapigeni bahati mbaya kule mpakani halaf muone kitakacho wakumba
Tena nyie musiue hata inzi muue hata kunguru ya RUSSIA muone mtakumbwa na nini
Hawa watu nyuma ya pazia hua wanaongea wakati huo Sisi hapa Jf tunatukanana mitusi ya 5GVita haviendeshwi kihisia ,
- The Kremlin praises Washington’s “measured” response after a missile landed in Poland.
- US President Joe Biden said it was “unlikely” that it had come from Russia.