Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Rais wa Turkey aliomba msamaha,alienda Hadi Moscow!
Nways,Iran alijibu US ilipomuua genera wake,Kambi ya kijeshi ya US ikashambulia na Iran na casualties kadhaa!
What did US do?Kwa tafsiri Yako Iran inamuweza US?
Si mnasema Russia ana nguvu, Turkey kapiga ndege wakafanya vikao yakaisha. Tena ilikuwa inaonya waziwazi Warusi wakaamini wao ni wakubwa sana kwa Uturuki ikawashangaza.

Marekani imemuua mkuu wa IRGC, ni four star GENERAL
Soleimani alikuwa General wa muhimu kuliko wote jeshini, kauwawa then unapiga blah blah za "casualties kadhaa". Hizo casualties za Marekani kuna vifo au majeruhi? Lengo la Marekani ni kumuua General, jibu la Iran ni kufyatua makombora bila kuua hata mmoja. Akili zinatofautiana
 
Ni kwamba mpaka sasa hujui au.

Makombora yamerushwa na Ukraine. Kwa mzoefu yeyote tangu hiyo jana asingethibitisha kusema makombora ni ya Urusi. Mpaka sasa upo tu
Kama Makombora yamerushwa na Ukraine,nadhani NATO wanatakiwa kumvamia Ukraine Kwa kushambulia mipaka ya NATO!Au article ziko Kwa ajili ya Urusi tu😃😃😃
 
Kuhusu mlipuko katika Plonand:
ejiltalk.org
As Far As We Know, There Has Been No Armed Attack Against Poland
Written by Marko Milanovic
Yesterday a missile struck a village in Poland, near the Ukrainian border, prompting immediate fears of escalation and of a more direct entry of NATO states into the Russian/Ukranian armed conflict. As I write this it remains unclear whether the missile was fired by Russian or by Ukranian armed forces. However, US President Biden and other US officials have expressed doubts that Russia fired the missile, while Russia itself has denied attacking Polish territory and asserted that the missile came from a Ukrainian S-300 air defence system.
Again, as things stand the facts are yet to be conclusively established. But from what we know at the moment it seems unlikely that Russia deliberately targeted Polish territory, including because it had nothing to gain and much to lose from such an action.
Two hypotheses seem more likely:
(1) that the missile was indeed fired by Russia, despite Russia’s protests to the contrary, but at a target in Ukraine and that it somehow got misdirected, through operator error or mechanical failure;
(2) that the missile, in fact, came from a Ukranian S-300 system that was fired in response to Russia’s ongoing missile strikes against Ukraine, but that again somehow got misdirected and hit Polish territory.
If either of these hypotheses is true, force was used against Poland, by Russia or Ukraine respectively, in a manner contrary to Article 2(4) of the UN Charter, and in violation of Polish territorial sovereignty. But the force did not rise to the level of an ‘armed attack’ within the meaning of Article 51 of the Charter, because Poland was not targeted intentionally. Rather, the force used against Poland was a ‘frontier incident’ within the meaning given to that term by the International Court of Justice in cases such as Nicaragua and Oil Platforms. Accordingly, the right of individual or collective self-defence under Article 51 does not arise, and Article V of the North Atlantic Treaty is therefore not applicable either.
There is little doubt that the notion of an armed attack in Article 51 includes not just considerations of gravity and scale of the force used, but also those of intentionality. (For probably the most comprehensive treatment of the subject I would direct readers to Tom Ruys, ‘Armed Attack’ and Article 51 of the Charter, at 158-168.) States have generally not treated accidental uses of force as armed attacks giving rise to self-defence – when its embassy in Belgrade was destroyed by NATO in 1999, for example, which NATO explained as an accident, China did not assert that it was a victim of an armed attack. To be clear here, the intention required by the notion of an armed attack excludes considerations of purpose or motive, but is simply one that the organs of state A have directed a hostile action against state B. On the hypotheses above, neither Russia nor Ukraine had such intent to attack Poland. And even if the notion of armed attack was construed as a purely objective one, contrary to what I have said above without incorporating any element of intentionality, in the case of an accidental spill-over scenario such as this one there would be no necessity for Poland and its allies to respond in self-defence by using force.
That Poland was likely not the victim of an armed attack does not mean that it has not been wronged. Prohibited force, in the sense of Article 2(4) of the Charter, and the duty to respect sovereignty, do not require a similar element of intentionality. Depending on who fired the missile, either Russia or Ukraine would have the duty to provide adequate reparation to Poland, including measures of satisfaction and compensation, especially because two lives were lost.
That said, a particular issue arises with respect to Ukraine (but not Russia): on the hypothesis that Ukraine was responding to a Russian attack and launched S-300 missiles in the exercise of its own right to self-defence, which in error spilled over onto Polish territory, would Ukraine be able to rely on self-defence against Russia as a circumstance precluding wrongfulness vis-a-vis Poland, thus obviating any duty to provide reparation? This would essentially be a ‘mistake of fact’ scenario in Ukraine’s own use of force in self-defence, which I have extensively previously examined on the blog here, here and here. To put a long story short, on one view Ukraine would be responsible for any errors its organs and agents have made, however innocent, and Poland in particular could not be expected to bear the cost of a use of force against it. On another view, an honest and reasonable mistake of fact could operate as an excuse or justification – if the relevant Ukrainian agents did all that could reasonably be expected of them to prevent the S-300 system from hitting Polish territory while defending Ukraine against Russian attacks, Ukraine’s own reliance on self-defence would preclude the wrongfulness of the injury done to Poland. (My own view is that the former option is at least generally the right one in the ad bellum context; this is of course also an issue that arises in other contexts, especially in responses to cyber attacks). It will be very interesting to observe what legal positions the affected states eventually take on this matter, in the case the hypothesis of a misdirected Ukranian S-300 strike ultimately proves correct.
 

Sasa kama hayo mambo mimi na wewe hatuyajui,then why unapoteza muda wako na nguvu kujadili vitu ambavyo hata hatuvijui? Ulipaswa uishie hapo hapo nilipokuquote maana huko kwingine sijatilia tena maanani.
 
Sio kurushwa au kupigwa kule iraq na Libya walianzaje?
 
Nilijua baada ya shambulio kwenye Kambi ya kijeshi ya US,basi US angejibu Kwa kumchapa Iran,ila ikawa kimya!
Kama Rais wa Turkey alienda kuomba msamaha Kwa Putin na yakaisha Kwa vikao,basi Mimi na wewe hatuwezi jua Turkey alimuoffer Nini Russia mpaka Russia akakubali!
 
Ukraine mpaka Sasa mamilioni wamekimbia nchi,uchumi umecollapse halafu Bado mnaleta porojo!Ni wangapi wamekufa Ukraine?Itabidi baada ya SMO Ukraine wafanye sensa!
 
Huyo mwandishi naye kanjanja,yaani kaweka scenario mbili pekee,vipi kama Ukraine alirusha Hilo Kombora intentionally Ili asingiziwe Russia then NATO waingie vitani na Russia?Hapo Kuna motive katika scenario hiyo!
Zelensky aliomba NATO Waweke no fly zone Ukraine,NATO wakagoma Kwa sababu hiyo ingemaanisha vita dhidi ya Russia!
Kwa mwandishi makini,hawezi kuacha kuweka scenario hiyo!
 
Je wewe ni mNATO?
Mkuu, nina wasiwasi kuhusu afya yako! Huko juu #85,200 uliwaza "HAWA WANATO TUNAWAPIGA KAMA NGOMA " .... Sijui kama una nguvu gani, lakini ukiwaza kwamba -pamoja na nani?- utapiga "Wanato" , unaleta wasiwasi.
Nimeangalia habari zote, sijakuta taarifa kwamba yeyote anawapiga "Wanato". Kuona vitu ambavyo havipo ni dalili ya matatizo ya fahamu au hata ya akili! Hapo nimeuliza kama uko chini ya athira ya madawa fulani?
 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Kiislamu ya Irani nchini Tanzania Mhe. Hossein Alvand Behineh, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Novemba, 2022.
 
Ukraine mpaka Sasa mamilioni wamekimbia nchi,uchumi umecollapse halafu Bado mnaleta porojo!Ni wangapi wamekufa Ukraine?Itabidi baada ya SMO Ukraine wafanye sensa!
Mkuu tafadhali jaribu kuangalia jibu langu lilihusu nini, nilijibu #85,158 . Bila shaka hali ya kila nchi inayoshiriki katika vita ni ya kusikitisha; kila upande walikufa makumi elfi, wengi zaidi wamejeruhiwa. Ukraine nyumba nyingi ziliharibika, Urusi uchumi wake umepokea pigo utakaoendelea kuonekana katika miaka ijayo. Urusi na Ukraine watafanya sensa, wataona wanachi wangapi waliondoka nchini hawarudi, wangapi wamepotea ...
Hata hivyo, nilisoma tishio fulani katika #85,158 ambalo sijaelewa msingi wake. Hapo nimejibu.
 
Hivi vile vifurushi vya Air-Defenses vilivyoshangiliwa vinafanya kazi gani?

Soma:
Mashambulizi ya Urusi pia yalisababisha kuzimwa kwa vinu vya nyuklia na kusababisha kukatika kwa mawasiliano, rais wa Ukraine alisema.

Takriban raia milioni kumi wa Ukraine wameachwa bila umeme kutokana na msururu wa makombora ya Urusi, Rais Vladimir Zelensky alisema Jumatano. Katika wiki za hivi karibuni, Moscow imekuwa ikilenga gridi ya umeme ya Ukraine baada ya Moscow kuishutumu Kyiv kwa kufanya mashambulizi ya 'hujuma' kwenye miundombinu yake muhimu.

Katika video kwenye Telegram, Zelensky alisema kuwa miji mingi ya Ukraine inakabiliwa na kukatika kwa umeme, na Mikoa ya Kyiv, Kharkov, Zhytomyr na Lviv imeathiriwa zaidi. "Takriban watu milioni kumi wa Ukraine hawana umeme," alisema.

Rais wa Ukrain pia alibainisha masuala ya muunganisho wa intaneti na mawasiliano kote nchini. Zaidi ya hayo, kutokana na mashambulizi ya mifumo kadhaa ya nyuklia imefungwa kiotomatiki kwenye vinu viwili vya nyuklia, Zelensky alidai, bila kutoa maelezo

"Haya yalikuwa matokeo yaliyohesabiwa: adui alijua alichokuwa akifanya," aliongeza.

Zelensky pia alidai kuwa kwa jumla vikosi vya Urusi vilirusha makombora 90 huko Ukraine. Siku ya Jumanne, Kirill Timoshenko, naibu mkuu wa utawala wa rais, aliita hali hiyo kutokana na mashambulizi kuwa "muhimu," akiongeza kuwa makombora mengi ililenga vituo katikati na kaskazini mwa nchi.

"Hali katika mji mkuu ni mbaya sana, ratiba maalum za kukata umeme wa dharura zinawekwa," alisema.

Ukraine imekuwa ikikabiliwa na matatizo ya umeme tangu Moscow ilipoanzisha mashambulizi kwenye miundombinu yake ya nishati mnamo Oktoba 10, baada ya kuishutumu Kyiv kwa kulenga maeneo ya Urusi, likiwemo daraja la kimkakati la Crimea.

Mapema mwezi huu, Zelensky alidai kukatika kwa umeme kuliwaathiri zaidi ya raia milioni nne wa Ukraine, huku wakazi wa mji mkuu na vitongoji vyake wakibeba mzigo huo. Kulingana na mamlaka ya Ukraine, mashambulizi ya mara kwa mara ya Urusi yameharibu au kuharibu hadi 40% ya miundombinu ya nishati nchini.
 
Ina maana RUSSIA hadi leo wameshindwa kuyatambua mapango anapojificha ZELENSKY au wanataka wamkamate kama GADDAF?
Mkuu tafadhali utumie mantiki kidogo.
1. anwani ya Bwa Zelenski inajulikana, kama wakuu wa nchi nyingi ana handaki katika ikulu yake hahitaji mapango tena hajifichi.
2. Urusi haikumkamata Bw Gaddafi . Aliuawa na wananchi wake wenye hasira alipojaribu kukimbia.
Naona hata tukilenga kuwachokoza wale walio na mawazo tofauti tusiachane na mantiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…