President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
I don't argue with morons.Pale umeuliza swali la kipuuzi. Unauliza kama Libya na Iraq zilikuwa NATO. Sasa hii hata tumlete class 7 kweli atafikiria Libya au Iraq kuwa na uwezekano wa kuwa wanachama wa NATO. Mtu kama wewe ndio unataka nije na notisi, elimu bure haijakusadia?
🤣🤣🤣🤣🤣👏👏👏👏👏🤝🤝🤝🤝Kama Makombora yamerushwa na Ukraine,nadhani NATO wanatakiwa kumvamia Ukraine Kwa kushambulia mipaka ya NATO!Au article ziko Kwa ajili ya Urusi tu😃😃😃
Kumbuka Iran ilitoa taarifa kabla ya kurusha Makombora yake, Marekani ikaondoa wanajeshi wake pamoja na vifaa. Iran ikaambulia kulipua vibanda na mahema ya kulala wanajeshi maana hakuna hata mlinzi wa Geti wa Marekani aliyefariki.Kuweka kumbukumbu sawa,Iran hakuufyata Bali alirespond Kwa kupiga Kambi ya kijeshi ya US!
Baada ya hapo,US akaufyata!
👏👏👏👏👏🤣🤣🤣🤝🤝I don't argue with morons.
Umeuliza Kama Ukrane ni NATO, umeulizwa kamaLibya na Iraq zilikuwa NATO. Kwa sababu huna akili huwezi kuelewa hata kile ambacho wewe mwenyewe umeanza kukihoji.
Hii ingekuwa sahihi bila mashaka iwapo Urusi angeishambulia Ukraine bila kuchukua ardhi kwa sababu ya kutaka kujiunga NATO.Nachomaanisha Ukraine kaingia chaka akiamini hao wakubwa watapigana kwa ajili yake. Hiyo mikopo anayopewa atalipaje na atalipa lini???
NATO kwa unyonge wao wamekubaliana kwa pamoja kuipiga Ukraine kwa sababu Ukraine imeipiga nchi mwanachama wa NATO.Ndugu Poland.🤣🤣🤣🤣Ebu nipeni taarifa ya kikao cha NATO.nini kimeamuliwa au jeshi lishaingia moscow[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kadri muda unavyokwenda ndivyo Kasi ya kusonga mbele ya majeshi ya Ukraine inavyoongezeka[emoji848]Ukraine has now liberated some 74,000 sq km of territory captured by the russians, estimates Institute for the Study of War . That is over 50% of the territory that russia seized since the start of the invasion
🤣🤣🤣🤣🤣👏👏👏👏👏😅😅🤸🤸🤸🤸💥💥💥Dmitry Medvedev: "Russia is ready to provide Poland with the most powerful air defense systems to protect itself from Ukrainian aggression"
Not a joke💥💥💥
Kihistoria, Russia haijawahi kuwa rafiki mwenye manufaa kwa jirani zake. Mara kadhaa katika historia, Russia imekuwa ikitafuta namna ya kuwatawala jirani zake 'kikoloni', suala ambalo limechochea uhasama mkubwa kati yao.Binafsi naona Ukraine hakupaswa kumuhofia Russia, alipaswa kuihofia USA na washirika wake. Russia ilipaswa kuwa rafiki na kumlinda kutokana na ukaribu wao kiasili.
Kuchukua Ardhi ni kutengeneza mgogoro wa muda mrefu na kuzuga kuhusu malengo hasa ya uvamizi.Hii ingekuwa sahihi bila mashaka iwapo Urusi angeishambulia Ukraine bila kuchukua ardhi kwa sababu ya kutaka kujiunga NATO.
Kitendo cha kuchukua ardhi kinaleta mashaka kuwa Urusi ilikuwa na sababu ya uvamizi tofauti na ilizozisema.
Binafsi naona Ukraine hakupaswa kumuhofia Russia, alipaswa kuihofia USA na washirika wake. Russia ilipaswa kuwa rafiki na kumlinda kutokana na ukaribu wao kiasili.
Wewe si uliaga hapa kuwa hutochangia tena siku ile majeshi ya Russia yamekimbia Kherson? Kumbe bado upo [emoji1]Tumepiga Poland kama Poland ilivyo na majeshi Ukraine MNASEMAJE SASA . Mengine ni diplomasia tu Ukweli tumewapiga mjichanganye tuwape kale ka nuke technical
Majimbo 5 ya ardhi ya Ukraine hayawezi kurudishwa kwa misaada ya vifaa vya kijeshi na fedha.Sweeden yatoa mzigo mpya..thamani ya Tshs Billion 700 kwa Ukraine...
Sweden to deliver its biggest military aid package yet to Ukraine
Sweden will deliver new military aid worth 3 billion crowns ($287m) to Ukraine, its biggest package of defence material to date which included an air defence system, Prime Minister Ulf Kristersson has said.
Jambo baya hiliKihistoria, Russia haijawahi kuwa rafiki mwenye manufaa kwa jirani zake. Mara kadhaa katika historia, Russia imekuwa ikitafuta namna ya kuwatawala jirani zake 'kikoloni', suala ambalo limechochea uhasama mkubwa kati yao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hujatuletea link ya ile habari ya wanajeshi wa Ukraine kuzamishwa kwa mto DniproSasa Poland adabu imewakaa wanajua fika KOMBORA limetoka wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Leo NATO ndo tumeuona udhaifu wao
Kwani hiyo Kherson imerejea Ukraine ??Kwenye zile referendum tulikubaliana Kherson ni Russia milele na tutailinda hata kwa nuke.....sasa Leo mbona tunaanza kuikimbia ardhi yetu? Zile nuke zimeexpire?
Hehehehehe ardhi ya urusi inashambuliwa na ka nchi kadogo ka Ukraine na mnaikimbia poleni sana