Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu huoni mazungumzo hayo ni kitoto kabisa?
A) Kila mtu anayetaka kujua anajua ilikuwa S300;
B) uwezekano ni mkubwa ilikuwa S300 ya Ukraine - kwa sababu S300 za Kirusi haziwezi kufika umbali huu kutoka pale ambako Warusi walirusha roketi - ni tabia ya S300. (ambayo kimsingi ni roketi ya kutetea anga lakini Warusi wameanza kuzitumia kutoka ndege kwa kulenga ardhini kwa sababu hawana vifaa vya kutosha kama Kalibr n.k. - ila haziendi umbali huu)
C) kila mtu anayejua mambo kidogo anajua kwamba vitani kila upande unajitahidi kupiga propaganda iwezekanavyo
D) kila mtu anajua kwamba tukio hili linaonekana kama ajali na sasa hakuna mwenye nia ya kuingia katika vita NATO-Urusi (pande zote mbili - labda isipokuwa Zelenski mwenye upande wake);
Tushukuru kwamba upande wa Urusi kuna akili ya kutosha kwamba hawakujaribu uchokozi mpumbavu na hatari - na upande wa NATO kuna akili ya kutosha ya kutotafuta sababu ya kupiga Urusi.
 
ww huwa ni kichaa siku za nyuma mliita SMO sasa hv mmeanza kukiri kuwa ni vita , Na kibaya bado hamtak kukumbuka kuwa Feb 2022 Urusi ndio aliivamia Ukraine na sio Ukraine kuivamia Urusi , kwahiyi Ukraine alilazimishwa kupigana hata kama hakuwa tyr
 
pumbav moja lisilo na akili , tumia hizo nguv kukemea ukosef wa maji , unaandika utumbo sana
 
Wewe unaharibu mada ya jamaa...hatutaki mipasho humu...tunataka tuone wachangiaji huru wenye data na maoni kwa ajili ya kujifunza
ww pia kilaza , Jamaa kaandika hoja zake ww unaita mipasho kisa kaizungumzia Urusi in negative way
 
Na silaha anazopewa nyingi zinaishia kuharibiwa na high precision russia's missiles....
Anatamani ku-quit lakini ameshavuka mstari wa no return sababu kala sana hela za NATO na hajadeliver matokeo.
na Urusi hajapigww popote bali anaachia maeneo kwa utashi wake tu [emoji23][emoji23]
 
Nje ya mada mbona..

Pro Russia nani?

Labda uniite Pro Superpowers. Sababu sipiganishi US, NatoEu wala Russia sababu nawajua ndo mighty powers duniani.

Mada haiongelei hilo lako mzee
akil yako haijakomaa bado., utoto mwing
 
Urusi kaanza tangu 2013 , Urusi amekuwa anaingilia siasa za majiran zake na kupandikiza viongoz kama Rwanda anachofanya DRC kwann jiran wa hivyo usiwe na hofu nae ?
 
Reactions: Tsh
Kuchukua Ardhi ni kutengeneza mgogoro wa muda mrefu na kuzuga kuhusu malengo hasa ya uvamizi.

In the end ni kugeuza dishi kutoka suala la kujoin Nato. Lets see sababu wengi wetu huku Chamazi tunabunibuni tu
pointless sijui hata operator umeokota wapa , empy brain
 
unazungumza Kama vile unatembea na FILe la ukaine
 

Top US general: Russia has lost strategically, operationally and tactically​

From CNN's Michael Conte

Chairman of the Joint Chiefs of Staff General Mark Milley speaks at a press conference at the Pentagon in Washington, DC, on November 16. (Mandel Ngan/AFP/Getty Image)

Joint Chiefs of Staff Chairman Gen. Mark Milley says Russia has failed "every single" objective in its war against Ukraine.
“Russians have failed every single time. They’ve lost strategically, they’ve lost operationally and, I repeat, they lost tactically. What they’ve tried to do, they failed at,” Milley said Wednesday at a press conference with Defense Secretary Lloyd Austin after a meeting of the Ukraine Defense Contact Group. “The strategic reframing of their objectives, of their illegal invasion, have all failed, every single one of them.”
Milley listed Russia’s failure to “overrun all of Ukraine” at the start of the war as well as after their refocus on the Donbas region and the capture of Zaporizhzhia and Kherson.
“Across the entire frontline trace of some 900 or so kilometers, the Ukrainians have achieved success after success after success, and the Russians have failed every single time,” said Milley.
 
Kumbe componets za makombora ya iskander zinatoka US
The Iskander missiles wouldn’t be accurate if the Navis Design Bureau didn’t use the intellectual and technological resources of U.S. companies. Deliveries from Analog Devices and Texas Instruments were carried out through intermediary companies based in Switzerland, Israel, China, and Malaysia.

In nine out of ten cases, the logistics supply chain from the United States to Russia passed through Swiss company NVS Technologies AG. It has a very close relationship with Russia, as its CEO, Vasily Engeltsberg, is also a co-founder of DB Navis and owns more than 8% of its shares. Another co-founder of the Russian company, Valery Babakov (owns more than 29% of the company), worked as the chief designer of consumer navigation equipment at Almaz-Antey, a company that is being supplied with equipment from U.S. firms Nvidia, Indium, Zoller, Walter, and Techlub, Swiss Blaser Swisslube, and UK GARANT.
 
7:50 pm
Pentagon chief: NASAMS intercept all Russian missiles in Ukraine.
The U.S. Defense Secretary Lloyd Austin said that the NASAMS air defense systems provided to Ukraine have a "100% success rate," Sky News reported.
Hiyo habari ya kubumba iliyoandikwa Kyiv Independent. Nimefuatilia link waliyoweka kutoka Sky news wanaposema wamepata habari hiyo, nimekuta huko Sky news Kuna habari za Bush kumuita Zelensiky ni 'Dude'!

Tafuteni ukweli vinginevyo mtaaibika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…